Uchaguzi 2020 Kama leo haya yametokea kwa NEC, vipi kuhusu kesho Matokeo ya Uchaguzi?


Huu ni ukweli mchungu, ndio hapo na sisi tunashangaa hii hadithi ya kuwa ccm itashinda kwa sababu eti Magufuli kajenga bwawa, kajenga reli, kanunua ndege nk tunajua sio kweli. Hizi sababu kuwa wanashinda kwa sababu kuna idadi fake na vituo fake vya kura, ndio sababu hasa ya ccm kutangazwa washindi na sio kushinda. Suala ni sio ccm kutangazwa washindi, wataendelea kukaa muda gani madarakani kwa mbinu hizi ulizotaja? Ni dhahiri njia ya kura ni kupoteza muda, njia mbadala ndio pekee sahihi.
 
Je sheria inasema wapeleke huko au watahakikiwa siku ya kuteuliwa?
Narudia kwako pia, Being Mataga is not a justification of being an Idiot
Unaelewa maana ya NEC kwanza?
 
Nilivyo muelewa Tundu Lissu ni kwamba," picha iliyowekwa si ya kipindi cha karibuni pia picha iliyowekwa haina vigezo ya kuitwa pasipoti size. Mpingeni kwa vifungu vya sheria vilivyo wekwa na tume ya uchaguzi.
Vigezo vya pasport size ni vipi?

Ndio maana tume imeina yale maoingamizi ni taka tu
 
Kweli mna mambo mengi yakufanya kwani uongo 😂😂😂😂😂 unadhani kutumia wasanii zaidi ya 200 mchezo!!! Mlijua battle itakuwa kama yule mzee wa maneno matatu Elimu Elimu Elimu😂😂
😂😂😂Hawa jipya hawa
 

Kwani kanuni na sheria za NEC zinasemaje kamanda? Wewe unazijua? Kwani wewe ulitegemea waitishe press wamjibu mgonjwa?
 
Inashangaza jinsi ccm walivyo na hofu hata baada ya kuachwa kufanya siasa wenyewe kwa miaka 5 bado hawajiamini kabisa, itakuwaje upinzani ukishinda jimbo, kutakuwa na haki kweli kama tu kurudisha fomu ya kugombea hakuna haki?
 
Shujaa wa familia yenu tu,wengine tunamuona ni fala tu
 
Je kwa "haja sijui hoja" hizi ndio inahalalisha uharamu wa haramu?
 
Chadema wana watu wengi kuliko vyama vyote na wanawashibiki tanzania yote ila hawana wapiga kura ikifika siku ya kupiga kura wanapuuzia wenzao ccm wanaenda kwa kishindo
 
Mbona unaidhalilisha CCM? Una maana huwa wanashinda kwa kuwarubuni kwa pesa wasimamizi wa vituo! Huo udhalilishaji haukubaliki na CCM haiukubali.
Halafu unatumia lugha chafu ya kuwatukana watu yaani wale wanaoamini Lisu atashinda ni wapumbavu, lakini wewe mwenyewe tukisoma katikati ya mistari, unaamiani kuwa lisu atashinda ila kwa sababu ya pesa zaidi za CCM, wasimamizi watarubumiwa> Kwa lugha yako mwenyewe na wewe ni MPUMBAVU (maana unaamini lisu atashinda ila watu watarubuniwa)
 
Tatizo Lisu kawapora akili zenu zote.

Lisu kasema Magufuli hakuweka picha. Nec wameangalia kwenye form za Magufuli wamekuta picha, hilo pingamizi bado lina maana ya kuwapotezea watu muda?
Hajasema hajaweka picha, amesema picha iliyowekwa imepigwa upande hivyo haionyeshi uso na masikio yote mawili kama itavyotakiwa kwa picha za kuweka kwenye pasi. Nakubaliana na tume kuwa hilo siyo kosa kubwa la kumuengua mgombea maana picha hiyo inatosha, Lakini pia vigezo kama hivyo visitumike kuwaengua wagombea wa upinzani kwenye ngazi yoyote ile - fair play.
Finally tufike mahali haya mambo ya kuwekeana mapingamizi yafutwe kwenye utaratibu labda liwe ni kosa kubwa kama la uraia nk. Ukisoma maelekezo ya tume, kuna mahali mkurugenzi wa uchaguzi anaruhusiwa kuweka pingamizi, wakati huo huo uamuzi wa tume ambao yeye ni mkurugenzi ni wa mwisho! Hapo si viroja tu
 

 
Kwani kanuni na sheria za NEC zinasemaje kamanda? Wewe unazijua? Kwani wewe ulitegemea waitishe press wamjibu mgonjwa?
binadamu hatujakamilika mkuu,siasa isitufanya tukamkufulu Muumba. Binafsi hakupenda awevile,wote tunajua kipi kimemfanya awevile. Usijitoe ufahamu mkuu,siasa sawa lakini isikufanye ukakosa nidhamu kwa aliye kuumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…