Kama mafuta yatapatikana kesho au keshokutwa Baada ya bei kupanda ntaidharau sana serikali hii

Hata ningekuwa Mm ndo muuza mafuta lazima nngesubiri yapande bei ndipo nianze kuuza, roho yangu imekaa kikatili tuu msimu huu
 
Dkt. Dotto Biteko anza na hili, tuna vyombo vya kuweza kufuatilia hili, vinginevyo tunawashawishi wananchi kununua mafuta na kuweka ndani kama njia ya kujihami na athari za ongezeko la bei za mafuta, jambo ambalo linaweza kuathiri usalama wa wananchi. Kituo A hakikua na mafuta kwa siku mbili ,tatu, leo kina mafuta baada ya bei rekodi yote ya kituo hicho kuingiza mafuta ! Hii ni uhujumu wa uchumi na kuhatarisha usalama wa nchi.
 
Wanaohujumu mafuta ya Petroli ni serikali wenyewe,CCM ni mafisadi👇
Your browser is not able to display this video.
 

Imeshatekwa way back, umechelewa kufahamu
 
Lazima yapatikane Kwa sababu wao wafanyabiashara wanasema waliuliziwa bei kubwa Kwa hiyo lazima wasubirie bei ipande
 
Nchi ikisha shikwa na wahuni haya ndiyo madhara yake, mama hana hata habari na maswala kama haya yanayo gusa mwananchi moja kwa moja yeye yuko busy kizmkazi huko
 
Vyombo vya ulinzi havimsaidii mama samia hata kidogo
 
Kama walinunua Kwa bei kubwa hawatakubali kuuza.

Pia wauzaji ni viongozi na wabunge wa ccm na washirika wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…