Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amechagua kunyamaza huwa anasema siku hizi hasemi tena hilo mkalitizameYenyewe haijali hata kama utaidharau. Kazi na iendelee
Na kesho yatakuwepo sheli zote.Yashapanda tayari wametangaza
Nilikuwa na mafuta kidogo kwenye gari. Nimezunguka vituo kibao mafuta hakuna, nimeahirisha safari muhimu. Afadhali mzuge zuge mafuta yapatikane wiki ijayo. Kama endapo mafuta yatapatika kesho Baada ya bei kupanda for sure tutajua Serikali imeshatekwa.
Lazima yapatikane Kwa sababu wao wafanyabiashara wanasema waliuliziwa bei kubwa Kwa hiyo lazima wasubirie bei ipandeNilikuwa na mafuta kidogo kwenye gari. Nimezunguka vituo kibao mafuta hakuna, nimeahirisha safari muhimu. Afadhali mzuge zuge mafuta yapatikane wiki ijayo. Kama endapo mafuta yatapatika kesho Baada ya bei kupanda for sure tutajua Serikali imeshatekwa.
Nchi ikisha shikwa na wahuni haya ndiyo madhara yake, mama hana hata habari na maswala kama haya yanayo gusa mwananchi moja kwa moja yeye yuko busy kizmkazi hukoNilikuwa na mafuta kidogo kwenye gari. Nimezunguka vituo kibao mafuta hakuna, nimeahirisha safari muhimu. Afadhali mzuge zuge mafuta yapatikane wiki ijayo. Kama endapo mafuta yatapatika kesho Baada ya bei kupanda for sure tutajua Serikali imeshatekwa.
Si kweli hii nchi ina wezi walio kwenye uongozi wa juuLazima yapatikane Kwa sababu wao wafanyabiashara wanasema waliuliziwa bei kubwa Kwa hiyo lazima wasubirie bei ipande
Vyombo vya ulinzi havimsaidii mama samia hata kidogoBraza mafuta yapo. Tuna Serikali ya ajabu ndo maana watu wanajiachia tu.
Nimekaa Chato miezi miwili nimetoka leo, karibu kila siku ukienda sheli unaambiwa mafuta hakuna, lakini wadau wanaofanya kazi sheli wanatusanua wese lipo wanasubiria bei ibadilike saa sita usiku wa siku hiyo ama siku 2/3 zinazofuata! Mfano tangu jana mafuta hawatoi wanadai hayapo ila inasemekana wanasubiri alhamisi bei ipande!
Ajabu ni kuwa magari ya Serikali (halmashauri etc) yanauziwa mafuta katika sheli hizohizo. AJABU ZAIDI ni kuwa wale wauzaji wa mtaani kwa vichupa wanakamatwa kwa kisingizio cha kupandisha bei! Sasa bidhaa imeadimika bei inabakije constant? Principle ya supply & demand inaepukikaje?
Serikali iache uzembe! Watu wanahujumu uchumi mchana kweupe mamlaka zimelala tu zinawaza kugawa bandari!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio mjinga wa kiwango Cha kuamini uzushi,weka ushahidiSi kweli hii nchi ina wezi walio kwenye uongozi wa juu
Za kibaba zinakuaje ?Serikali za kimama hazifai kwa bara la Afrika, muda wetu bado sana!
Kama walinunua Kwa bei kubwa hawatakubali kuuza.Dkt. Dotto Biteko anza na hili, tuna vyombo vya kuweza kufuatilia hili, vinginevyo tunawashawishi wananchi kununua mafuta na kuweka ndani kama njia ya kujihami na athari za ongezeko la bei za mafuta, jambo ambalo linaweza kuathiri usalama wa wananchi. Kituo A hakikua na mafuta kwa siku mbili ,tatu, leo kina mafuta baada ya bei rekodi yote ya kituo hicho kuingiza mafuta ! Hii ni uhujumu wa uchumi na kuhatarisha usalama wa nchi.