Kama Magufuli alikuwa kichaa kama watu wanavyodai, kwanini Kikwete na Mkapa walimteua kama Waziri?

Kwa hiyo unataka kusema Watanzania wote wana ugonjwa wa akili sawa?

Kama.mnataka kufuata sheria, mnaona mmetuhumiwa uongo, mshitakini Kabendera tupate ukweli mahakamani
 
Uteuzi wake ulikua wa ghafla sana,haukupangwa


Acha yaliyojificha yafumuliwe yote
 
Sekou toure/bugando sio mirembe
 
Hii mtu anakuwa haambiliki, hasemezeki, hajali kabisa hisia za wanaomzunguka, hataki kukosolewa au kuchalenjiwa (ukimkosoa unakuwa ugomvi), anapenda zaidi kusikilizwa na kusifiwa yeye tu muda wote.
Ohoo jitu la namna hiyo kweli ni lijiwe
 
Wivu tu na nongwa vinawasumbua, maana waliyoshindwa kufanya mwenzao kayafanya maradufu tena kwa miaka 6 tu.

Mapenzi ya Watanzania kwa JPM ni makubwa sana hapo ndio wivu mwingine ulipo.
Leo hii ukiitisha kura Kati ya marehemu JPM bila chama na hawa wengine basi marehemu anaweza kushinda.
 
Maendeleo aliyoyaleta JPM angekuwa Mjerumani angesifiwa. Yakifanywa Malaysia, Singapore, Korea wanapongeza.

Yakifanywa Tanzania na Mtanzania wanatukana. Kabendera amewahi kulifanyia nini chanya hili Taifa zaidi ya kukandia kila kitu kizuri kinachofanywa na hili Taifa? Yupo kwa maslahi ya Magharibi, kuliangamiza hili Taifa.
 
Kumwongelea sana marehemu, hasa kama itakuwa ni kwa ubaya, haipendezi.

Mimi ninachojua ni kuwa marehemu hakuwahi kutibiwa Mirembe.

Nilichoambiwa na mtu mmoja aliyekuwa kwenye nafasi za juu huko Serikalini ni kwamba Marehemu akiwa Waziri, wakati wa Mkapa, ndipo alipogundulika kuwa na hilo tatizo, na waliogundua ni maofisa wake wa chini wizarani. Wakamtaarifu Mkapa. Ndipo baada ya mipango kukamilika kwaajili ya matibabu, Mkapa alimwita na kumweleza kuwa unaenda Ujerumani kwaajili ya matibabu. Marehemu alikataa kuwa yeye haumwi. Mkapa akamwambia kuwa sijakuita kukuuliza kama unaumwa au huumwi bali nakutaarifu kuwa unaenda kwenye matibabu Ujerumani. Ndipo alipopelekwa kutibiwa Ujerumani. Hakutibiwa Mirembe.

Mtu mwingine aliyetajwa kutamka hilo (hilo nilisimliwa na watu) inatajwa kuwa mwenzi wake, ni wakati alipojiwa
 
Kwani hao marais walikuwa ni psychiatrist kupima akili za wateule wao?
 
Hizi stori zenu bana 😀.
 
Kama Paulo Makonda pamoja na ujinga wake mwingi ameteuliwa kuwa RC wa Arusha, kinachokushangaza nini Magufuli kuteuliwa kuwa waziri ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…