Kama Magufuli alikuwa kichaa kama watu wanavyodai, kwanini Kikwete na Mkapa walimteua kama Waziri?

Hapo hapo kwenye issues za Uwaziri; kama tunakumbuka vizuri, JK alivoingia madarakani, alimtoa Magufuli kwenye wizara ya ujenzi na kumuweka Dr. Shukuru Kawambwa, haukupita muda, JK mwenyewe alimrudisha "kichaa" wizara ya ujenzi na mwaka alivorudi tu, alianza kuwatingisha wakandarasi wale waliolipua ujenzi kwamba watajenga kwa gharama zao na ikawa hivo. As we speak, nani kavunja record ya Magufuli kwenye wizara ya ujenzi kwa utendaji?
 
Yule hakuteuliwa kwa kupangwa aliteuliwa kwa sababu walikuwa wanatafuta mbadala wa Lowassa hawakutaka Lowassa agombee. Kuanzia Nyerere mpaka Kikwete Rais wa Tanzania walikuwa anajulikana toka harakati za mwanzo za kugombea. Ila mwaka 2015 Chama hakikuandaa mtu na Lowassa ndio alikuwa anakubalika kuliko wote. Sasa chama ikabidi imteue Mvuta Bangi mwenye kichaa cha mbwa.
 
Watu mna stori kushinda hata wahusika 🤣.
 
Ila Bongo ina maajabu, ndio yaleyale ya Lissu kuonekana hafai kuwa mwenyekiti wa chama cha siasa tena cha upinzani ila anafaa kuwa rais wa nchi kabisa.
 
Hata wao walijuta baadae
 
Nimefanya kazi taasisi moja kubwa...... kulikuwa na mwenzetu, one of the brightest minds nimewahi kukutana nazo. Ila alikuwa na monthly injections zake Muhimbili pale, akikosa tu, tulikuwa tunajua na kuwastua ndugu zake mapema.
 
Bongo kila kitu kinawezekana.

Hata Kingwendu akijipanga vizuri, kesho anaweza kuwa Amiri Jeshi Mkuu na mpaka astaafu, atakuwa na PhD za heshima za kutosha kabisa kutoka vyuo vya jalalani, n.k.

Sisi tu ndio tunalialia.
Kingwendu hana sifa ipi ya Urais?
 
Mimi nilikuwa napenda kumuita JP MKALI MWAMBA! That guy wasn't prepared to be a PREZIDAA kabisa, You Know 😂
 
Kwa mujibu wa sheria gani wewe? Kubembeleza kupata mkopo maana yake ni mzazi wako kushindwa majukumu ya kulea familia yake, hivyo anaomba msaada wa serikali. Kama utakiri wazazi wako walishindwa majukumu, basi ntakubaliana na wewe.
Wewe ni mjinga mkopo maana yake unarudisha kwa maana yako basi hata gsm,Mo weti wameshindwa majukumu maana kutwa kucha wanakopa tu.acha ujinga kama serikali inasaidia basi itoe bure sio mkopo.Unaandika kama umekatwa kichwa.
 

Argument yako ni ya kijinga sana.

Wewe babaako na mama ako wamefanya nini nchi hii? Au wewe ni Jesca Magufuli, mtoto wa magu?

Kwa hiyo mtu ili awe na impact kwa Watanzania ni lazima awe na umaarufu kama wa Jiwe?

Hayo mambo ambayo Jiwe alikuwa anafanya, hela zilikuwa zinatoka mfukoni kwake au ni kodi zetu?

We kweli mtoto wa shule. Hoja yako inaendana na jina la ID yako.

Ka Jinga!
 
Kwa hiyo unataka kusema Watanzania wote wana ugonjwa wa akili sawa?

Kama.mnataka kufuata sheria, mnaona mmetuhumiwa uongo, mshitakini Kabendera tupate ukweli mahakamani
Nyie wenye utimamu wa akili ndo mnajua nani ana ugonjwa wa akili kwa hiyo inabidi muwachagulie viongozi wasiyo na ugonjwa wa akili.
 
UTAMU WA PIPI NI MATE YA MMUNG'UNYA PIPI.
 
Aliweka rekodi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…