Kama Magufuli alikuwa kichaa kama watu wanavyodai, kwanini Kikwete na Mkapa walimteua kama Waziri?

Yule bwana alikuwa kichaa wa mageuzi kama kina alexander the great, sankara, Castro, Tesla, Napoleon, wenzake wote waliomzunguka wanaona haiwezakani yeye aliona inawezekana lazima wakuone kichaa.
Na wizara zote ali overpoform.
Yule alikua dikteta ambaye alikua anachipua kuja kuwa mojawapo ya madikteta nguli waliowahi kutokea hapa duniani, mpaka leo angelikua hai kwanza, chadema ameshaifuta kwenye usajili, pili wale wanasiasa wa kuhoji angekuwa wakimbizi wa kisiasa nje, kufungwa, na kutekwa na kuuliwa, tatu, chato ingekua jiji. Nne, ilikua chaguzi hakuna
 
Yule bwana alikuwa kichaa wa mageuzi kama kina alexander the great, sankara, Castro, Tesla, Napoleon, wenzake wote waliomzunguka wanaona haiwezakani yeye aliona inawezekana lazima wakuone kichaa.
Na wizara zote ali overpoform.
Hapa umemaliza kila kitu asee,vile wengi
Walikuwa wanaona haviwezekani yeye alikuwa anaona vinawezakana bila kupepesa macho na ndo ivyo inakuwa.
 
Muasisi wa nchi Nyerere alikuwa na matatizo ya akili, mpaka karithisha familia yake matatizo hayo.

Kwani Tanzania kuna vetting process?
Matatizo yake ya akili , yalia athiri vipi nchi au Maamuzi yake
 
Hizo years of tedious and careful editorial zimetokea lini Hadi lini.
Na hizo legal due diligence mbona halikufanyika Tz, afanye ughaibuni na hakuna wa kumshtaki huko. Unakumbuka weapons of mass destruction chini ya uvungu WA kitanda cha Saddam Hussein
 
Trump ni Mziima??? Mbona amepitishwa
 
Wewe ni mjinga mkopo maana yake unarudisha kwa maana yako basi hata gsm,Mo weti wameshindwa majukumu maana kutwa kucha wanakopa tu.acha ujinga kama serikali inasaidia basi itoe bure sio mkopo.Unaandika kama umekatwa kichwa.
Povu ruksa dogo!
 
Povu ruksa ila ukweli utasimama na Mwamba Magufuli!
 
Unakumbuka weapons of mass destruction chini ya uvungu WA kitanda cha Saddam Hussein
Pompeo alishasema uongo kwao ni jadi ili watimize lengo lao. Kabe sina hakika kama anaweza kuwa kwenye orodha ya walipwaji wa Kitengo alichowahi kalia Pompe!
 
Chai hizi!!! Ulikuwepo wakati huyo bi mkubwa akimuonya Kikwete. Huyo Kikwete na Mkapa ukiwambia wakutajie mawaziri wake bora watakuambia Magu, Kikwete alikuwa akimwita Magu Jembe. Hebu achenii kuwauzia watu chai na story zenu za kutunga.
Ingekuwa kila issue lazima kuwepo ndiyo tusikie basi hii ingekuwa dunia ya hovyo. Shirikisha ubongo wako, kichwa siyo chungu cha kutunzia mifupa
 
Inawezekana wote tuna matatizo ya akili, tunazidiana viwango tu.
Kuna mwalimu wangu Mmoja alinifundisha CBE_Dodoma alikuwa nzuri sana wa kufundisha!Tena Jamaa alikuwa anaota kichwani.Lakini alikuwa na tatizo la Afya ya Akili Ndio maana wataalamu wakapendeza tusiite kichaa.Hapa mtani kwangu kuna mwenye duka mmoja Huwa anajishtukia kinapotaka kumtokea anameza sawa mapema na kulala!Kuna Sina tatu za hizo afya za Akili ukiwauliza wataalamu watakufafanulia.
 
Chai hizi!!! Ulikuwepo wakati huyo bi mkubwa akimuonya Kikwete. Huyo Kikwete na Mkapa ukiwambia wakutajie mawaziri wake bora watakuambia Magu, Kikwete alikuwa akimwita Magu Jembe. Hebu achenii kuwauzia watu chai na story zenu za kutunga.
Kuwa Bora kazini hakuondoi dhana ya mtu kuwa na Afya ya Akili mkuu!Waulize wataalamu wa magonjwa ya Akili watakufafanulia vizuri tuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…