mbenge
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 4,864
- 10,483
Mkuu, katika siasa hakuna adui ama rafiki wa kudumu, isipokuwa kuna maslahi ya kudumu. Wewe subiri tu, tuelekeapo uchaguzi wa 2025, kuna siku utawaona wakiwa katika picha ya pamoja huku wote wawili wakionyesha sura zenye kujaa bashsha.Haitokaa itokee Makonda akampigia Nape simu kama anavyofanya kwa mawaziri wengine.
Kwa bifu lililopo kati ya Nape na Makonda sitegemei kuliona hili likitokea.
Makonda akiwa RC wa DSM aliwahi kutoa amri haramu ya kumtoa utumbo Nape kwa bastola pale Ubungo Plaza. Shukurani zimwendee Maulidi Kittenge aliyezima jaribio hilo.