Kama Makonda ana uthubutu, ajaribu kumpigia Nape simu akiwa jukwaani

Kama Makonda ana uthubutu, ajaribu kumpigia Nape simu akiwa jukwaani

Haitokaa itokee Makonda akampigia Nape simu kama anavyofanya kwa mawaziri wengine.

Kwa bifu lililopo kati ya Nape na Makonda sitegemei kuliona hili likitokea.

Makonda akiwa RC wa DSM aliwahi kutoa amri haramu ya kumtoa utumbo Nape kwa bastola pale Ubungo Plaza. Shukurani zimwendee Maulidi Kitenge aliyezima jaribio hilo.
Hiyo Wizara ya kike Haina changamoto za kupigiwa simu
 
Ni kweli mzee Kinana alikasirika sana baada ya kuona muuaji, mtekaji na mporaji ndiye kayteuliwa kuwa mwenzezi wa ccm taifa.

Shukurani zenu zimwendee mama Samia aliyetumia takribani mwezi mzima kumbembeleza mzee Kinana asijiuzulu.
Kinana ni Mkimbizi ...CDF
 
Back
Top Bottom