Kama Makonda ana uthubutu, ajaribu kumpigia Nape simu akiwa jukwaani

Kama Makonda ana uthubutu, ajaribu kumpigia Nape simu akiwa jukwaani

Sikiliza wewe nikwambie ya kuwa siku zako wewe za kusihi hapa Duniani zipo Mikononi kwa Mungu.siku yako ikifika huna ujanja wa kukwepa kifo chako.kwa hiyo Mwanadamu hata akitaka kukatisha uhai wako kama Mungu hajaamua atakuepusha na hila zote za shetani na kukilinda kama alivyomlinda na kumpigania Mfalme Daudi dhidi ya mipango ovu ya Sauli aliyetaka kumuangamiza.
Narudia tena..sio kosa lako..ni mawazo ya 90% ya watu wa dunia ya 3...
Hiv ushawai jiuliza kwann life expectancy ya watu wa bara ulaya au japan na life expenctancy ya wachumia tumbo huku africa ni tofaut sana
55 /85

Na hapo utasema ni mipango ya mungu.

Bwana mwashambwa
 
Haitokaa itokee Makonda akampigia Nape simu kama anavyofanya kwa mawaziri wengine.

Kwa bifu lililopo kati ya Nape na Makonda sitegemei kuliona hili likitokea.

Makonda akiwa RC wa DSM aliwahi kutoa amri haramu ya kumtoa utumbo Nape kwa bastola pale Ubungo Plaza. Shukurani zimwendee Maulidi Kitenge aliyezima jaribio hilo.
Kama makonda alitoa hiyo amri basi aliona mbali sana ...maana huyo nape ni mmoja wapo ya watesi wa taifa tena alitakiwa kumwagwa ubongo kabisa ...hafai kuishi
 
Kwa karata zilivyokaa mezani muda huu, Makonda anayo future ndani ya chama na serikali, Nape hana.

Labda vijana wa msoga wapindue meza 2025. Wote presha zinapanda na kushuka.
Huelewi kitu, wanaccm wote hawana future na nchi hii. Dalili za ccm kuondoka madarakani ziko wazi eitha kwa hiari yaani uchaguzi au kwa nguvu na sijui ni nguvu gani but yaja hayo upesi

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Nape form four alikula four ya 29.Na alikuwa Nsumba Moja ya shule nzuri Kwa wakati huo ,ikifaulisha vizuri sana.Kweli Nepi ni kilaza.
Na huyo mwingine naye anatakiwa kutuambia hadharani Daudi Albert Bashite kutoka Kijiji cha Kolomije ni nani yake.
 
Haitokaa itokee Makonda akampigia Nape simu kama anavyofanya kwa mawaziri wengine.

Kwa bifu lililopo kati ya Nape na Makonda sitegemei kuliona hili likitokea.

Makonda akiwa RC wa DSM aliwahi kutoa amri haramu ya kumtoa utumbo Nape kwa bastola pale Ubungo Plaza. Shukurani zimwendee Maulidi Kitenge aliyezima jaribio hilo.
Akitaka atampigia tu ccm kwenye maendeleo ya chama chao hawana ugomvi wanazuga kama wanagombana hili kuwa Hadaa watu lakini lao linakua moja
 
Wewe kubali tu kuwa Mheshimiwa Makonda ndiye mwenezi wetu wa CCM Taifa na Anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya watanzania,ambao wanaendelea kupaza sauti zao kutaka apokee Urais kutoka kwa Mh Rais Samia Mwaka 2030.

Si ni wewe ulikuja na uzushi wako humu kuwa makamu mwenyekiti wa CCM mh kinana anataka kujiuzulu kwa sababu hakubaliani na uteuzi wa Mh Makonda? Yapo wapi sasa uliyozusha ewe mnafiki mkubwa usiye na haya wala soni.?

Wewe ni mnafiki na unayeteseka sana kuona mh Makonda akikubalika kwa watanzania.lengo lako limeshindwa na utaendelea kushindwa siku zote ,.maombi yako mabaya kwa mh makonda yatakurudia mwenyewe na uzao wako.

Huwezi kushindana na mheshimiwa Makonda kwa namna yoyote ile,hutaweza kumzuia Mheshimiwa Makonda kwa njia yoyote ile. Makonda ni mpango wa Mungu katika kumuandaa kwa nafasi za juu kuongoza Taifa letu.hivyo vita yoyote ile na silaha yoyote ile utakayo iinua kamwe haitafanikiwa maana itakutana na mkono wa Mungu ulio imara na hodari.

Fanya uwezavyo lakini huwezi kuzuia wala kuondoa kibali cha Mwenyezi Mungu kilichowekwa kwa Makonda.hujiuliza kwanini anakubalika kiasi hiki? Hujiulizi kwanini anapokelewa kwa kishindo huko mikoani? Hujiulizi kwa nini Taifa limekuwa na matumaini makubwa juu yake na kumtabilia makubwa huko mbele?

Ungekuwa na akili japo kidogo tu ungetambua ya kuwa Mheshimiwa Makonda ni mpango wa Mungu Mwenyewe
Umesahau kuweka namba ya simu wewe mavi yako
 
Haitokaa itokee Makonda akampigia Nape simu kama anavyofanya kwa mawaziri wengine.

Kwa bifu lililopo kati ya Nape na Makonda sitegemei kuliona hili likitokea.

Makonda akiwa RC wa DSM aliwahi kutoa amri haramu ya kumtoa utumbo Nape kwa bastola pale Ubungo Plaza. Shukurani zimwendee Maulidi Kitenge aliyezima jaribio hilo.
Makonda na nape wanaweza siSa ndog ndogo. Hata huyo mwingine hawezi
 
Dogo anajikosha na huenda anatumika tu pasipo kujua. Ila sidhani ndani ya hii CCM ya watoto wa mjini, kama ana chake.
Hakuna Cha watoto wa mjini hapo subir anguko la mwenye kilinge Cha msoga kabla ya uchaguzi mkuu ndiyo utajua hujui kuwa system na wananchi wakichoka hicho kilinge
 
Yaani wewe tangia Mheshimiwa Makonda aingie na kupewa uenezi na kuona namna alivyopokelewa na watanzania kwa shangwe na matumaini makubwa, umekuwa ukiweweseka sana na kuhangaika sana na mheshimiwa Makonda.

Umepiga Majungu umeona kila mtu amekupuuza na sasa unaendelea kubuni na kuandika vimaneno vya hovyo hovyo tu.lengo ni kutaka angalau uone watu wakimchukia Mheshimiwa Makonda lakini unaendelea kupuuzwa tu
Kwanza Wana CCM wanasamehe chadema wao ni bifu bifu hovyo kbs angalia Dr Slaa na wale wanawake 19
 
Ni kweli mzee Kinana alikasirika sana baada ya kuona muuaji, mtekaji na mporaji ndiye kayteuliwa kuwa mwenzezi wa ccm taifa.

Shukurani zenu zimwendee mama Samia aliyetumia takribani mwezi mzima kumbembeleza mzee Kinana asijiuzulu.
Hujui chochote zaidi ya upimbi
 
Toka Rais aseme anamuunga mkono Makonda kwa hicho anachokifanya, yeyote kwa sasa anapokea simu na kujieleza!
 
Haitokaa itokee Makonda akampigia Nape simu kama anavyofanya kwa mawaziri wengine.

Kwa bifu lililopo kati ya Nape na Makonda sitegemei kuliona hili likitokea.

Makonda akiwa RC wa DSM aliwahi kutoa amri haramu ya kumtoa utumbo Nape kwa bastola pale Ubungo Plaza. Shukurani zimwendee Maulidi Kitenge aliyezima jaribio hilo.
Akili yako imejaa utoko.mtupu
 
Back
Top Bottom