- Thread starter
- #41
Ni uzushi kwamba Makonda kaua? Hukusoma press release ya US department of state??Hoja gani unayotaka ujibiwe katika huo uzushi na ujinga wako?
Ni uzushi kuwa Makonda kampata mtoto kwa njia ya test tube?? Hujui kuwa hili ni mojawapo ya mambo yanayomliza makanisani na misikitini??