Mkuu, katika siasa hakuna adui ama rafiki wa kudumu, isipokuwa kuna maslahi ya kudumu. Wewe subiri tu, tuelekeapo uchaguzi wa 2025, kuna siku utawaona wakiwa katika picha ya pamoja huku wote wawili wakionyesha sura zenye kujaa bashsha.Haitokaa itokee Makonda akampigia Nape simu kama anavyofanya kwa mawaziri wengine.
Kwa bifu lililopo kati ya Nape na Makonda sitegemei kuliona hili likitokea.
Makonda akiwa RC wa DSM aliwahi kutoa amri haramu ya kumtoa utumbo Nape kwa bastola pale Ubungo Plaza. Shukurani zimwendee Maulidi Kittenge aliyezima jaribio hilo.
Wewe endelea kupiga Ramli zako kama mganga wa kienyeji tu. Makonda siyo saizi yako na humuwezi kwa lolote lileMsoba ndiyo rimoti (rejea wimbo wa Roma).
Wanazichanga karata muda huu, subiri surprises za 2025, sukuma gang hamtaamini.
Kwani Marekani ni Mbinguni?Basi hatakaa atie magumu yake USA muuaji yule.
Ni kweli Comrade,lakini kumbukumbu bado zipo, kidiplomasia imekaa vibaya hasa Kwa future yake.Kutokulisemea hili mapema ni sawa sawa na kusema waliotoa tamko walikuwa wapumbavu....Hana huo muda wa kijinga kujibu uzushi.kazi yake kwa sasa ni kuwatumikia wananchi kwa kusikiliza kero zao na kuzipatia majibu stahiki.
Katika medani y siasa bashite anatumika tu kama dekio, maana hata aliyemtumq ananguv ya nafasi aliyonayo...Hawezi kutoboa.
Nape ni mdogo sana kwa chama chetu cha Mapinduzi, muda wowote kama kuna issue atapigiwa simu atoe ufafanuzi. Sisi chamani hatuna mkubwa kuzidi chama.Haitokaa itokee Makonda akampigia Nape simu kama anavyofanya kwa mawaziri wengine.
Kwa bifu lililopo kati ya Nape na Makonda sitegemei kuliona hili likitokea.
Makonda akiwa RC wa DSM aliwahi kutoa amri haramu ya kumtoa utumbo Nape kwa bastola pale Ubungo Plaza. Shukurani zimwendee Maulidi Kittenge aliyezima jaribio hilo.
Mheshimiwa Makonda atakuwa Rais wetu na hao Marekani watakuja wenyewe hapa Tanzania.Ni kweli Comrade,lakini kumbukumbu bado zipo, kidiplomasia imekaa vibaya hasa Kwa future yake.Ni sawa sawa na kusema waliotoa tamko walikuwa wapumbavu....
Ni kweli, Makonda ni habari ya mjini kwa kuwa watu wanamshangaa muuaji, mporaji na mtekaji anakuwa mwenezi wa chama. Kwahiyo gumzo ni kubwa sana.Makonda ndio habari ya mjini kwa sasa.wewe kaa hapo hapo subiri uone siku akiapishwa kuwa Rais wetu.
Rimoti ndiyo inayochagua channel. Wewe endelea kuwapigia uchawa wasiotakiwa na Msoga uone kama utaoboa.Wewe endelea kupiga Ramli zako kama mganga wa kienyeji tu. Makonda siyo saizi yako na humuwezi kwa lolote lile
Mheshimiwa Makonda atakuwa Rais wetu na hao Marekani watakuja wenyewe hapa Tanzania
Akili nyingi........Mheshimiwa Makonda atakuwa Rais wetu na hao Marekani watakuja wenyewe hapa Tanzania.
Ndiko walikompatia yule mwanaye Kaegan kwa njia ya test tube. Makonda kajaliwa makalio makubwa halafu kanyimwa mbegu za uzazi. Kwahiyo kwake yeye kwenda US ni muhimu mno, vinginevyo atabakia na mtoto mmoja.Kwani Marekani ni Mbinguni?
Usimuite mheshimiwa. Huyu ni muuaji.Mheshimiwa Makonda
Wewe ndiye muuaji lenye roho mbaya na katili kubwa wewe. Mheshimiwa Makonda ni tuamini la wanyonge.ni sikio la wenye kero na shida ndio maana Anaendelea kupata mapokezi makubwa yasiyo na kipimo.Usimuite mheshimiwa. Huyu ni muuaji.
Umesahau kuandika namba yako ya simu chini ya comment mkuuYaani wewe tangia Mheshimiwa Makonda aingie na kupewa uenezi na kuona namna alivyopokelewa na watanzania kwa shangwe na matumaini makubwa, umekuwa ukiweweseka sana na kuhangaika sana na mheshimiwa Makonda.
Umepiga Majungu umeona kila mtu amekupuuza na sasa unaendelea kubuni na kuandika vimaneno vya hovyo hovyo tu.lengo ni kutaka angalau uone watu wakimchukia Mheshimiwa Makonda lakini unaendelea kupuuzwa tu
Wewe utaendelea kuhangaika sana.utateseka sana moyo wako.utaumia sana .utahangaika sana lakini utaendelea kuona Mheshimiwa Makonda akichanja mbuga katika mioyo ya watanzania na kuendelea kukubalika kwa watanzania utashangaa Mheshimiwa Makonda akiendelea kupaa na kushika nafasi za juu zaidi katika Taifa letu huku wewe ukisalia hapo hapo na uzushi na fitina zako za kishetani .Ndiko walikompatia yule mwanaye Kaegan kwa njia ya test tube. Makonda kajaliwa makalio makubwa halafu kanyimwa mbegu za uzazi. Kwahiyo kwake yeye kwenda US ni muhimu mno, vinginevyo atabakia na mtoto mmoja.
Mbona hujengi hoja ??? Hufuati hata maelekezo ya mwenyekiti wako!!!Wewe utaendelea kuhangaika sana.utateseka sana moyo wako.utaumia sana .utahangaika sana lakini utaendelea kuona Mheshimiwa Makonda akichanja mbuga katika mioyo ya watanzania
Hehe kweli msoba mana wanapelekeshwa msoba msoba,,,, tunajua hali zao zilivyo sasa,, wale wataalam wa mambo yao hali mbayaMsoba ndiyo rimoti (rejea wimbo wa Roma).
Wanazichanga karata muda huu, subiri surprises za 2025, sukuma gang hamtaamini.
Hoja gani unayotaka ujibiwe katika huo uzushi na ujinga wako?Mbona hujengi hoja ??? Hufuati hata maelekezo ya mwenyekiti wako!!!
Mm nimejenga hoja ya kwann safari za Marekani ni muhimu kwa Makonda kufuatia swali lako kuwa "Kwani US ni mbinguni??"
Badala ya kupinga kwa hoja unamwaga sifa za ubwete kwa Makonda tu.
Rimoti ya Msoga iko inatafuta channels za TV ndiyo maana ikaona acha iwashe redio kwanza (kawekwa Bashite apige kelele). Channels zikipatikana redio itazimwa.Mwenezi wa mchongo huyu kama nilivyo wa mchongo mie