Ni uzushi kwamba Makonda kaua? Hukusoma press release ya US department of state??Hoja gani unayotaka ujibiwe katika huo uzushi na ujinga wako?
Wewe endelea na fitina,uzushi, Majungu na umbea wako wakati Mheshimiwa Makonda akiendelea kubebwa katika mioyo ya watanzania.endelea kuumia moyo wako wakati Mheshimiwa Makonda akiendelea kuombewa kila lililo jema na watanzania. Huna uwezo wa kushindana na mheshimiwa Makonda.Rimoti ya Msoga iko inatafuta channels za TV ndiyo maana ikaona acha iwashe redio kwanza (kawekwa Bashite apige kelele). Channels zikipatikana redio itazimwa.
Kuna namna 2 za kumbeba mtu moyoni:- kwa ubaya wake ama kwa wema wake.Makonda akiendelea kubebwa katika mioyo ya watanzania.
Na hao mbwa Ambao wanatumilizwa kumwaga tumbo za watu hua wanaakili timam.Haitokaa itokee Makonda akampigia Nape simu kama anavyofanya kwa mawaziri wengine.
Kwa bifu lililopo kati ya Nape na Makonda sitegemei kuliona hili likitokea.
Makonda akiwa RC wa DSM aliwahi kutoa amri haramu ya kumtoa utumbo Nape kwa bastola pale Ubungo Plaza. Shukurani zimwendee Maulidi Kitenge aliyezima jaribio hilo.
Itakua mara ya kwanza katika historia washamba kuwashinda wahuni.Kwa karata zilivyokaa mezani muda huu, Makonda anayo future ndani ya chama na serikali, Nape hana.
Labda vijana wa msoga wapindue meza 2025. Wote presha zinapanda na kushuka.
Wahuni walishajiapiza kuwa haitakaa ijirudie tena. Rejea hotuba ya Kinana alipoteuliwa kuwa MM baada ya kifo cha Mungu wa washamba.Itakua mara ya kwanza katika historia washamba kuwashinda wahuni.
Wewe nawe huwa mwongo,mzushi na mfitini.Ni kweli mzee Kinana alikasirika sana baada ya kuona muuaji, mtekaji na mporaji ndiye kayteuliwa kuwa mwenzezi wa ccm taifa.
Shukurani zenu zimwendee mama Samia aliyetumia takribani mwezi mzima kumbembeleza mzee Kinana asijiuzulu.
Tupingane kwa facts.Wewe nawe huwa mwongo,mzushi na mfitini.
Mheshimiwa Makonda kabebwa mioyoni mwa watanzania kwa upendo mkubwa sana kutokana na uchapa kazi wake na kugusa Maisha ya watanzania.angalia anakopita namna anavyosaidia watu wa shida za aina mbalimbali na kurejesha tabasamu katika mioyo ya watu.Kuna namna 2 za kumbeba mtu moyoni:- kwa ubaya wake ama kwa wema wake.
Ni kweli Makonda kabebwa mioyoni mwa watanzania kwa maovu makubwa aliyowafanyia. Muuaji mkubwa yule.!!
Kama walimlaza mzee magu watashindwa mlaza makonda...inabid awe makin na watoto wa mjini gangMakonda amekuwa habari ya mjini kote nchini Tanzania!
Makonda anawanyima usingizi Chadema kila anavyozidi kupasua anga!
Makonda anawanyima usingizi WAHUNI ndani ya CCM.
Makonda anawanyima usingizi mafisadi ndani ya CCM wanaowaza uraisi wa 2030.
Haya mengine mnahangaika wapumbavu wa keyboard warriors bila mafanikio.
Sijui kubenea wa Chadema anajisikiaje kwa sasa?
Huo ushahidi upo wapi? Pia tambua kuwa yupo kwenye uenezi kwaajili ya kukitumikia chama na wananchi.hayupo kwa ajili ya kuangalia anapendwa na wangapi.akipendwa na wananchi ndio heshima kubwa sana mbele za Mungu kwa kuwatumikia na kuwasaidia waja wake. Chama ni kimoja na viongozi wetu ni wamoja na ndio maana kazi na shughuli za chama zinaendelea vyema kabisa.Tupingane kwa facts.
Makonda hakupendwa na Chongolo.
Makonda hapendwi na Kinana.
Makonda hapendwi hata na Nchimbi.
Anatumia kama dekio ama karai kusafisha nyumba, ikitakata tupa kule.
Uhai wa mtu upo mikononi mwa Mungu pekee .hayupo mwenye hati miliki ya kuishi milele hapa Duniani. Mheshimiwa Makonda ataendelea kutimiza majukumu yake na kulindwa na Mwenyezi Mungu.usiwaogope wale wanao na kuudhuru mwili lakini wakashindwa kuiangamiza roho.Muogope sana yule awezaye kuitoa roho ya mtu na haya kumpa mtu uhai.Kama walimlaza mzee magu watashindwa mlaza makonda...inabid awe makin na watoto wa mjini gang
Kama kweli anaweza kuwanyima usingizi wahuni ndani ya lichama letu basi hata mimi nitamuunga mkono !!Makonda amekuwa habari ya mjini kote nchini Tanzania!
Makonda anawanyima usingizi Chadema kila anavyozidi kupasua anga!
Makonda anawanyima usingizi WAHUNI ndani ya CCM.
Makonda anawanyima usingizi mafisadi ndani ya CCM wanaowaza uraisi wa 2030.
Haya mengine mnahangaika wapumbavu wa keyboard warriors bila mafanikio.
Sijui kubenea wa Chadema anajisikiaje kwa sasa?
Tuambie wewe ilikua wapi?? Kwani lile eneo lina umbali kiasi gani kutoka hapo ubungo plaza.Haikuwa Ubungo Plaza ile bana.
Mawazo ya watu wa dunia ya 3.Uhai wa mtu upo mikononi mwa Mungu pekee .hayupo mwenye hati miliki ya kuishi milele hapa Duniani. Mheshimiwa Makonda ataendelea kutimiza majukumu yake na kulindwa na Mwenyezi Mungu.usiwaogope wale wanao na kuudhuru mwili lakini wakashindwa kuiangamiza roho.Muogope sana yule awezaye kuitoa roho ya mtu na haya kumpa mtu uhai.
Mheshimiwa Makonda yupo hai kwa sababu Mungu anakusudi naye na mipango naye katika kuwasaidia na kugusa maisha ya watanzania wanyonge.kila mtu wakati wake ukifika wa kuishi hapa Duniani ataondoka kwa njia yake kwa kadri Mungu alivyompangia kuishi na njia ya kuondoka kwake.
Tena watakuja kumuomba msamaha hahaha, na kutubu dhambi zao kwakeMheshimiwa Makonda atakuwa Rais wetu na hao Marekani watakuja wenyewe hapa Tanzania.
Nape kutishiwa bunduki mpaka Hamorapa kutoka nduki na kuapa hatataka sifa za kijinga haikuwa mlimani city,ni hotel Moja hivi Iko Masaki.Haitokaa itokee Makonda akampigia Nape simu kama anavyofanya kwa mawaziri wengine.
Kwa bifu lililopo kati ya Nape na Makonda sitegemei kuliona hili likitokea.
Makonda akiwa RC wa DSM aliwahi kutoa amri haramu ya kumtoa utumbo Nape kwa bastola pale Ubungo Plaza. Shukurani zimwendee Maulidi Kitenge aliyezima jaribio hilo.
Sikiliza wewe nikwambie ya kuwa siku zako wewe za kusihi hapa Duniani zipo Mikononi kwa Mungu.siku yako ikifika huna ujanja wa kukwepa kifo chako.kwa hiyo Mwanadamu hata akitaka kukatisha uhai wako kama Mungu hajaamua atakuepusha na hila zote za shetani na kukilinda kama alivyomlinda na kumpigania Mfalme Daudi dhidi ya mipango ovu ya Sauli aliyetaka kumuangamiza.Mawazo ya watu wa dunia ya 3.
Kwamba wanaoish hapa dunia wako kwa mpango wa mungu na waliokufa bas ndo hvyo...watu wanauwawa kila siku kongo,syria,palestine..etc..tena wengne ni watoto wachanga..wanauwawa kwa ujinga wa wanasiasa..halaf unasema ni mipango..
Hiv watu mkoje.
Nape form four alikula four ya 29.Na alikuwa Nsumba Moja ya shule nzuri Kwa wakati huo ,ikifaulisha vizuri sana.Kweli Nepi ni kilaza.Kilaza Nape Nnauye njoo huku