Kutaka watu wakae ndani sio maana yake kwamba atakaekua nje anauawa. Polisi anaweza kuua kwenye mazingira ambayo hakuna namna nyingine, sio yale ya kuwavizia watu na bodaboda. Dealth warranty inatolewa na Rais. Kama IGP alifanya hivyo bila baraka za Rais maana yake Rais anatakiwa kumwondoa kwenye hiyo nafasiAliyetoa order si anajulikana ni igp ndo alikuwa front kutangaza watu wakae ndan ili akawamalize vizur
Mpaka nilisema hakuna maandamano nilipima vitu vingi Kuna makosa yalifanywa na mamlaka ndio iliyopelekea maandamano Kama yasingekuwa hayo makosa maandamano yalikuwa hayapoNakumbuka Kuna comment Yako iliyojaa kejeli, kwamba hakuna maandamano yanayo anzishwa mtandaoni, sijui sasa hivi una lipi la kusema.
Nilitaka nikutane sema nikajizuia tu. Tujifunze kuwa kitu kimoja kwenye mijadala ya kitaifa. Kama wewe hauwezi kuandamana, basi usiwakatishe tamaa wanao taka kuandamana
Wewe ni mkund.uMpaka nilisema hakuna maandamano nilipima vitu vingi Kuna makosa yalifanywa na mamlaka ndio iliyopelekea maandamano Kama yasingekuwa hayo makosa maandamano yalikuwa hayapo
Sasa mkuu ukisema hivyo itanipunguzia hela au nitakasirika?la hasha tafuta tusi jipya Hilo limezoelekaWewe ni mkund.u
AiseeNakumbuka Kuna comment Yako iliyojaa kejeli, kwamba hakuna maandamano yanayo anzishwa mtandaoni, sijui sasa hivi una lipi la kusema.
Nilitaka nikutane sema nikajizuia tu. Tujifunze kuwa kitu kimoja kwenye mijadala ya kitaifa. Kama wewe hauwezi kuandamana, basi usiwakatishe tamaa wanao taka kuandamana
IGP kwa niaba ya amiri jeshi mkuu, IGP yeye kama yeye hana mamlaka hayo.Aliyetoa order si anajulikana ni igp ndo alikuwa front kutangaza watu wakae ndan ili akawamalize vizur
Hahusiki kivipi wakati kipindi chote kabla ya mauaji alikuwa akiimba kuwa ataua? Nywinywi wala nywinywinywi huikumbuki au??Kama Mama hahusiki na kutoa amri kwanini baada ya kuzima internet haikurusiwa kurecord matukio kama nia ni njema Nini walikuwa wanaficha?
La pili, kwanini kulikuwa na order ya kuzuiwa watu kuchukua maiti ya wapendwa wao na hili lilikuwa linafanyika nchi nzima na polisi
Mamlaka walifanya makosa??Mpaka nilisema hakuna maandamano nilipima vitu vingi Kuna makosa yalifanywa na mamlaka ndio iliyopelekea maandamano Kama yasingekuwa hayo makosa maandamano yalikuwa hayapo
Kwenye hotuba yake bungeni Kama ameonesha kujitoa ndio maana nikauliza maswali yangu kwenda kwakeHahusiki kivipi wakati kipindi chote kabla ya mauaji alikuwa akiimba kuwa ataua? Nywinywi wala nywinywinywi huikumbuki au??