Kama Mama hahusiki na kutoa amri za mauaji Kuna maswali yangu hapa

Kama Mama hahusiki na kutoa amri za mauaji Kuna maswali yangu hapa

Kama Mama hahusiki na kutoa amri kwanini baada ya kuzima internet haikurusiwa kurecord matukio kama nia ni njema Nini walikuwa wanaficha?

La pili, kwanini kulikuwa na order ya kuzuiwa watu kuchukua maiti ya wapendwa wao na hili lilikuwa linafanyika nchi nzima na polisi
D9 atajibu maswali yote hayo kwa pamoja..
 
Mamlaka walifanya makosa??
Makosa Gani walifanya?? Yani maandamano yalitokea

Kwa maana hiyo wewe binafasi ulikuwa unafurahishwa au kuridhishwa na nchi yetu inavyoendeshwa?? Au na wewe ni mnufaika??
Kabla yakufanyika maandamano kila mmoja alikuwa anaongea la kwake Mimi nilikaa kwenye upande wa hakutatokea maandamano na niliongea hivyo nikiwa na sababu zangu maalumu, sababu kuu tatu ni hizi
1. Walichelewa kuzima internet, walitakiwa kuzima siku ya Jana yake kabla ya siku yenyewe ingezuia husambazwaji wa taarifa

2.waliwadharau wachache walijitokeza pale ubungo wale ndio waliosababisha maandamano kuwa makubwa.

3. Nature ya watanzania ni waoga so sikuamini Kama wangekuwa na uthubutu wa kuandamana.

NB: jamaa alikuwa ananisema kwamba nilisema kwamba maandamano hayatokea ndio nimemjibu kwanini niliongea hivyo asinipe lawama kwasababu niliongea vile kwa kuangalia mazingira husika kwa wakati huo kwahiyo sio dhambi.Ila kwa maandamano ya Tarehe 9 naona yatatokea kwa kulinganisha na 29 October kilichofanyika so hata wakizima internet still haitasaidia
 
Kabla yakufanyika maandamano kila mmoja alikuwa anaongea la kwake Mimi nilikaa kwenye upande wa hakutatokea maandamano na niliongea hivyo nikiwa na sababu zangu maalumu, sababu kuu tatu ni hizi
1. Walichelewa kuzima internet, walitakiwa kuzima siku ya Jana yake kabla ya siku yenyewe ingezuia husambazwaji wa taarifa

2.waliwadharau wachache walijitokeza pale ubungo wale ndio waliosababisha maandamano kuwa makubwa.

3. Nature ya watanzania ni waoga so sikuamini Kama wangekuwa na uthubutu wa kuandama
Yani unasema walichelewa kuzima internet. Kwa tafsiri nyingine, walichelewa kusababisha hasara ya mabilioni iliyo tokana na kuzima internet. Pia walichelewa kuminya haki ya kupata taarifa & mawasiliano 🤔.

Ndiyo kusema Tanzania ya Leo uminywaji wa haki za binadamu ni kitu Cha kawaida, na utaonekana wa ajabu ukishangaa

Watanzania siyo waoga, hawajawahi kuwa na sababu jumuishi ya kuleta maandano yenye impact. Kama wewe ni muoga usiwajumlishe Watanzania wote kwenye kundi lako.
 
Back
Top Bottom