Kabla yakufanyika maandamano kila mmoja alikuwa anaongea la kwake Mimi nilikaa kwenye upande wa hakutatokea maandamano na niliongea hivyo nikiwa na sababu zangu maalumu, sababu kuu tatu ni hizi
1. Walichelewa kuzima internet, walitakiwa kuzima siku ya Jana yake kabla ya siku yenyewe ingezuia husambazwaji wa taarifa
2.waliwadharau wachache walijitokeza pale ubungo wale ndio waliosababisha maandamano kuwa makubwa.
3. Nature ya watanzania ni waoga so sikuamini Kama wangekuwa na uthubutu wa kuandama