Hulda-Tamarri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 1,412
- 1,669
[emoji1787][emoji23] umenena mkuu akizingua aondoke haraka sana aje mwingine.Usijiulize sana, wewe kama mwanaume jukumu lako ni kutimiza yote!! Mpe bao nyingi, mpe pesa, mpe maisha, akizingua aondoke aje mwingine haraka sana.
Hao mwalimu wao ni kipofu, elewa hilo tu!!
Ni uongo hajui anachoandika a.k.a ndoto za abunuasiMmhhhh....... Million 💯???? Seriously!!!
Kuna watu wengi wanafikiri kwamba mapenzi ni pesa tu sio kweli.
Manara pamoja na kutumia pesa zaidi ya Milion 100+ kufanya show off na mademu zake lakini bado demu mpya kampiga chini!!!
Hawa viumbe nashindwa Sasa kuwaelewa kumbe tatizo sio pesa kweli kama tunavyo aminishwa!! Hawa viumbe wanataka nini hasa je ni
Wanapenda Pesa?.
Wanapenda mastaa?
Wanapenda Bao 7 per night ?
Wanapenda Kuolewa na handsome boy ?
Wanapenda Kuolewa na vibabu?
Nashindwa kuelewa mpaka Sasa Hawa viumbe Wanapenda nini?
SpinningWakati wanyama wetu wanachukuliwa sisi tumeundiwa kitu cha kushadadia na kusahau nchi inavyoporwa, Manara hajaachana na mke wake na wale sio wanandoa bali ni kuja kuzima mambo makubwa wanachi tukitaka kushtuka bahati mbaya sana mtanzania ni mwepesi kuzikwa
Kwahiyo Manara ametumia 100+ eeeh??Kuna watu wengi wanafikiri kwamba mapenzi ni pesa tu sio kweli.
Manara pamoja na kutumia pesa zaidi ya Milion 100+ kufanya show off na mademu zake lakini bado demu mpya kampiga chini!!!
Hawa viumbe nashindwa Sasa kuwaelewa kumbe tatizo sio pesa kweli kama tunavyo aminishwa!! Hawa viumbe wanataka nini hasa je ni
Wanapenda Pesa?.
Wanapenda mastaa?
Wanapenda Bao 7 per night ?
Wanapenda Kuolewa na handsome boy ?
Wanapenda Kuolewa na vibabu?
Nashindwa kuelewa mpaka Sasa Hawa viumbe Wanapenda nini?
Exactly bro hii ni fact muonekano una matter Sana mf. Kibenten wa zari, ASAP rocky na riri hii ni kweli Sana na nimeiona pia loooh 🤣Unajidanganya, kuna wanaume wanakula Raha ya mapenzi hata pesa nyingi hawana , na ndo wengi kuliko wenye pesa .... Kama huna muonekano mzur utaishia kuwa stressed na kutafta pesa , wanaume wenye muonekano mzur only little money needed to enjoy ...
Inatakiwa ampate mwanamke aliyekata tamaaInawezekana
Manara ana pesa? Manara ni ombaomba kama hao wengine wanaokaa pembeni ya barabara sema yey kajiongeza akawa chawaKuna watu wengi wanafikiri kwamba mapenzi ni pesa tu sio kweli.
Manara pamoja na kutumia pesa zaidi ya Milion 100+ kufanya show off na mademu zake lakini bado demu mpya kampiga chini!!!
Hawa viumbe nashindwa Sasa kuwaelewa kumbe tatizo sio pesa kweli kama tunavyo aminishwa!! Hawa viumbe wanataka nini hasa je ni
Wanapenda Pesa?.
Wanapenda mastaa?
Wanapenda Bao 7 per night ?
Wanapenda Kuolewa na handsome boy ?
Wanapenda Kuolewa na vibabu?
Nashindwa kuelewa mpaka Sasa Hawa viumbe Wanapenda nini?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Yaani unazungumzia Mwanaume aliyeoa wanawake 5 na wote kawapa taraka hata kama wewe ungedumu na Mwanaume huyo.
Kuna watu wengi wanafikiri kwamba mapenzi ni pesa tu sio kweli.
Manara pamoja na kutumia pesa zaidi ya Milion 100+ kufanya show off na mademu zake lakini bado demu mpya kampiga chini!!!
Hawa viumbe nashindwa Sasa kuwaelewa kumbe tatizo sio pesa kweli kama tunavyo aminishwa!! Hawa viumbe wanataka nini hasa je ni
Wanapenda Pesa?.
Wanapenda mastaa?
Wanapenda Bao 7 per night ?
Wanapenda Kuolewa na handsome boy ?
Wanapenda Kuolewa na vibabu?
Nashindwa kuelewa mpaka Sasa Hawa viumbe Wanapenda nini?
Nimesikiliza audio zinazosemekana ni sauti ya Haji kuna moja ilinisikitisha sana yaani anamtukana Mama wa mkwe wake kwa kutaja sehemu za sir..😳Pesa si Kila kitu ukinipa ndo niwe mtumwa?mapenzi maridhiano,heshima na uvumilivu