Kama Manara kaachwa kumbe tatizo sio pesa

Wakati wanyama wetu wanachukuliwa sisi tumeundiwa kitu cha kushadadia na kusahau nchi inavyoporwa, Manara hajaachana na mke wake na wale sio wanandoa bali ni kuja kuzima mambo makubwa wanachi tukitaka kushtuka bahati mbaya sana mtanzania ni mwepesi kuzikwa
Kuna watu wengi wanafikiri kwamba mapenzi ni pesa tu sio kweli.

Manara pamoja na kutumia pesa zaidi ya Milion 100+ kufanya show off na mademu zake lakini bado demu mpya kampiga chini!!!

Hawa viumbe nashindwa Sasa kuwaelewa kumbe tatizo sio pesa kweli kama tunavyo aminishwa!! Hawa viumbe wanataka nini hasa je ni

Wanapenda Pesa?.
Wanapenda mastaa?
Wanapenda Bao 7 per night ?
Wanapenda Kuolewa na handsome boy ?
Wanapenda Kuolewa na vibabu?

Nashindwa kuelewa mpaka Sasa Hawa viumbe Wanapenda nini?
 
Kwahiyo Manara ametumia 100+ eeeh??
Ana Biashara gani ya kuspend such amount?
Kuweni serious basiii.
 
Unajidanganya, kuna wanaume wanakula Raha ya mapenzi hata pesa nyingi hawana , na ndo wengi kuliko wenye pesa .... Kama huna muonekano mzur utaishia kuwa stressed na kutafta pesa , wanaume wenye muonekano mzur only little money needed to enjoy ...
Exactly bro hii ni fact muonekano una matter Sana mf. Kibenten wa zari, ASAP rocky na riri hii ni kweli Sana na nimeiona pia loooh 🤣
 
Mkuu huyo manara huwenda pia tatizo, kwanza mwanaume haupaswi kuwa mropokaji vile kama manara.

Alafu manara ameshaoa mara kibao tu anaachana nao hao wanawake kwahyo labda tatizo yeye
 
Lengo la pesa sio uhonge ili mwanamke akupende, kwa wajuba pesa ni ili wapate kugonga warembo

Mwanamke kama hakupendi hakupendi tu hata uwe bilionea in terms of dollars la sivyo atakuigizia kama anakupenda ili ale mihela yako
 
Kuna watu wengi wanafikiri kwamba mapenzi ni pesa tu sio kweli.

Manara pamoja na kutumia pesa zaidi ya Milion 100+ kufanya show off na mademu zake lakini bado demu mpya kampiga chini!!!

Hawa viumbe nashindwa Sasa kuwaelewa kumbe tatizo sio pesa kweli kama tunavyo aminishwa!! Hawa viumbe wanataka nini hasa je ni

Wanapenda Pesa?.
Wanapenda mastaa?
Wanapenda Bao 7 per night ?
Wanapenda Kuolewa na handsome boy ?
Wanapenda Kuolewa na vibabu?

Nashindwa kuelewa mpaka Sasa Hawa viumbe Wanapenda nini?
Manara ana pesa? Manara ni ombaomba kama hao wengine wanaokaa pembeni ya barabara sema yey kajiongeza akawa chawa
 
Kuna watu wengi wanafikiri kwamba mapenzi ni pesa tu sio kweli.

Manara pamoja na kutumia pesa zaidi ya Milion 100+ kufanya show off na mademu zake lakini bado demu mpya kampiga chini!!!

Hawa viumbe nashindwa Sasa kuwaelewa kumbe tatizo sio pesa kweli kama tunavyo aminishwa!! Hawa viumbe wanataka nini hasa je ni

Wanapenda Pesa?.
Wanapenda mastaa?
Wanapenda Bao 7 per night ?
Wanapenda Kuolewa na handsome boy ?
Wanapenda Kuolewa na vibabu?

Nashindwa kuelewa mpaka Sasa Hawa viumbe Wanapenda nini?

You see tatizo linaanzia hapo? Uko focuse kufikiria wanataka nini. Huto kaa huelewe maana wenyewe hawajui wanacho taka.

Focus on you and waache wa determine if they want to come with you or not
 
Back
Top Bottom