kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Wanawake wanadanganywa na vitu vidogo sana. Ona mke wa tajiri, hakosi kitu ila anatembea na house boy wake. Huenda ni swala Zima la "matango".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfalme aliweka Oda za ulimu katkia Kila buchaUnakumbuka hadithi ya mfalme na nyama ya ulimi? Mapenzi ni sanaa na si ukwasi
Kuna watu wengi wanafikiri kwamba mapenzi ni pesa tu sio kweli.
Manara pamoja na kutumia pesa zaidi ya Milion 100+ kufanya show off na mademu zake lakini bado demu mpya kampiga chini!!!
Hawa viumbe nashindwa Sasa kuwaelewa kumbe tatizo sio pesa kweli kama tunavyo aminishwa!! Hawa viumbe wanataka nini hasa je ni
Wanapenda Pesa?.
Wanapenda mastaa?
Wanapenda Bao 7 per night ?
Wanapenda Kuolewa na handsome boy ?
Wanapenda Kuolewa na vibabu?
Nashindwa kuelewa mpaka Sasa Hawa viumbe Wanapenda nini?
Nani kakwambia huyo mwamba hana kibunda?. Huyo mwamba sio marioo aisee.ASAP rocky
Waulize tasafali ,utumie na mrejesho hapa jamvini,,😂Kuna watu wengi wanafikiri kwamba mapenzi ni pesa tu sio kweli.
Manara pamoja na kutumia pesa zaidi ya Milion 100+ kufanya show off na mademu zake lakini bado demu mpya kampiga chini!!!
Hawa viumbe nashindwa Sasa kuwaelewa kumbe tatizo sio pesa kweli kama tunavyo aminishwa!! Hawa viumbe wanataka nini hasa je ni
Wanapenda Pesa?.
Wanapenda mastaa?
Wanapenda Bao 7 per night ?
Wanapenda Kuolewa na handsome boy ?
Wanapenda Kuolewa na vibabu?
Nashindwa kuelewa mpaka Sasa Hawa viumbe Wanapenda nini?
Rihanna kamzidi mkuuNani kakwambia huyo mwamba hana kibunda?. Huyo mwamba sio marioo aisee.
Ondoa sifuri mbili.Mmhhhh....... Million 💯???? Seriously!!!
Ni maitiWakati wanyama wetu wanachukuliwa sisi tumeundiwa kitu cha kushadadia na kusahau nchi inavyoporwa, Manara hajaachana na mke wake na wale sio wanandoa bali ni kuja kuzima mambo makubwa wanachi tukitaka kushtuka bahati mbaya sana mtanzania ni mwepesi kuzikwa
Sawa.Unajidanganya, kuna wanaume wanakula Raha ya mapenzi hata pesa nyingi hawana , na ndo wengi kuliko wenye pesa .... Kama huna muonekano mzur utaishia kuwa stressed na kutafta pesa , wanaume wenye muonekano mzur only little money needed to enjoy ...
Matusi kawaiidaaa yake yule baba kwanza mlevi Hata Ile anayosema kazimia muongo itakua alikua kalewa akazina[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]anatukana mnooo manaraNimesikiliza audio zinazosemekana ni sauti ya Haji kuna moja ilinisikitisha sana yaani anamtukana Mama wa mkwe wake kwa kutaja sehemu za sir..[emoji15]