Kama Marekani ni nchi ya Kishetani ni kwanini mamilioni ya watu duniani hutamani kuishi Marekani?

Marekanj ndiko dunia ya sasa iliko,free world. Kila mwanadamu anatamani kuishi ulaya na usa
Hata maandiko matakatifu yanasema hivyo, kuwa dunia inamilikiwa na shetani;

Matthew 4:8-9
[8]Then the Devil took Jesus to a very high mountain and showed him all the kingdoms of the world in all their greatness.

[9]“All this I will give you,” the Devil said, “if you kneel down and worship me.”
 
Jibu rahisi tu. Mambo ya kishetani ndiyo yenye kuvutia zaidi watu hapa duniani. Si unaona hata night clubs....
shetan uliwai muona wap na je nan alithibitisha hayo unayoamin ni kwel matendo ya kishetan ? au ndo walitaka kututisha tusiish kwa amani tu?
 
Umemalizaaaaaaa haswaaaaah.
 
 
Mt 7:13-14 SUV

Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo. Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.

Hakuna dhambi chungu
 
shetan uliwai muona wap na je nan alithibitisha hayo unayoamin ni kwel matendo ya kishetan ? au ndo walitaka kututisha tusiish kwa amani tu?
Shetani ni kiumbe mtenda maovu hata binadamu anaweza kuwa shetani kama mfumo wake wa maisha alioichagua ni wa laana tupu.
Kwahiyo kama hujawahi muona tafadhali omba hivyo hivyo usimuone.
 
naenda RUSSIA
 
Muulize mtoa post usiniulize mimi. Mimi nimejibu kulingana na swali. Yeye ndo amesema ya kishetani na mimi nimejibu kulingana na vitu vingine vya kishetani vinavyopendwa kama "beer" nk.
We tema mate chini beer sio kitu chakishetani
 
Huwa natamani sana yale mafukwe yanayooneshwaga kwenye video sijui ni Brazil au Jamaica sio siri huwa yananishawishi sana hakika watu wanastarehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…