Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,415
- 29,584
Nimesikiliza video za hawa vijana ambao ndio wanaomaliza mafunzo ya JKT wakiongelea kuhusu mtu atakaendamana atatolewa haja kubwa, au atoe Shs 20,000 nk.
Imenisikitisha sana.
Japo watu wanasema vijana hao ni mihemuko yao bonafsi, sikubali hilo hata kidogo. Haiwezekani vjana wote hao, wa kike na kiume, wakawa na mtazamo sawa. Ingekuwa ni mhemuko basi angalau angekuwa mmoja na wengine wakamkataza. Au labda wasingefikia hatua ya ku-post utumbo wao uliooza.
Ninachoelewa, ni kwamba wanachofanya ni matokeo ya mafunzo waliyopitia. Kumbukeni kwamba zamani tulipoenda JKT tulifundisjwa kwa lengo la kuwa jeshi la akiba dhidi ya adui wa nje. NI wazi siku hizi vijana wanapelekwa JKT kuwa jeshi la akiba dhidi ya Watanzania wenyewe.
Nina mapendekezo hapa chini, ili JKT na JW iweze kujisafisha na hili tukio
Soma Pia: https://www.jamiiforums.com/threads...-wakikuta-mtu-akiandamana-watamdhuru.2472936/

- Vijana wote waliohusika na hii video wachukuliwe hatua kali za kinidhamu pamoja na kuwa blacklisted kutojiunga na jeshi lolote nchini
- JKT itoe tamko rasmi kukana kwamba kwamba haya sio aina ya mafunzo yanayotolewa kwa vijana wanaojiunga na JKT