Ukitaka kuthibitidha hili pitia andika la Mwigamba, linapatikana humu.Unajua indoctrination* ina nguvu sana, na siku zote CCM wamejua hilo
Indoctrination = the process of teaching a person or group to accept a set of beliefs, values, or ideas completely, without questioning or examining them critically
Na wewe acha wehu kama wao. Wewe umeona hiyo video inahusisha mtu mmoja aliejifungia chumbani? Wewe ndie unaehitaji kujiongeza elimu na kujitoa kwenye mental slavery ya watawala dhalimuUJUE WEWE NDIO UNASAMBAZA HUO UPOTOSHAJI.......
ELIMU YA MTANDAO INAHITAJIKA SANA KWA WATANZANIA/WAAFRIKA.
YAANI HATA MTU MMOJA AKIJIFUNGIA NDANI AKIJIRIKODI CLIP YA HOVYO HOVYO AKARUSHA
WATU WENYE AKILI KABISA WANAENDELEA KUTUMIANA HIYO CLIP!.....TUNASAFARI NDEFU YA KUFIKA KAANANI...
Magaidi wamo ndani ya CCM; wanaua, wanateka, wanaiba, wanafundisha vijana ugaidi,kwa jina la uzalendo, nkDuh,
Hao madogo wamerubuniwa kuwa kundi la magaidi kamili.
Inasikitisha sana
Uzalendo bandia.Magaidi wamo ndani ya CCM; wanaua, wanateka, wanaiba, wanafundisha vijana ugaidi,kwa jina la uzalendo, nk
Halafu utasikia hao hao ndio wanasema diaspora wasipewe uraia pacha, sio wazalendo!Uzalendo bandia.
Uzalendo wa kweli unapaswa kuwa nchi, siyo kwa mtu fulani, kikundi cha watu au chama
Yule mzee mbona alishasema "Za kupewa changanya na za Kwako".Nimesikiliza video za hawa vijana ambao ndio wanaomaliza mafunzo ya JKT wakiongelea kuhusu mtu atakaendamana atatolewa haja kubwa, au atoe Shs 20,000 nk.
Rejea hapo juu; "Ujana ni maji ya moto hayaunguzi nyumba". Usishindane na hao vijana. Mbona Wakibananishwa kisawasawa utawasikia wakisema "Oh! Tulikuwa hatujui"........Imenisikitisha sana.
Japo watu wanasema vijana hao ni mihemuko yao bonafsi, sikubali hilo hata kidogo. Haiwezekani vjana wote hao, wa kike na kiume, wakawa na mtazamo sawa. Ingekuwa ni mhemuko basi angalau angekuwa mmoja na wengine wakamkataza. Au labda wasingefikia hatua ya ku-post utumbo wao uliooza.
Hakuna mafunzo ya KIJINGA namna hiyo huko Jeshini. Never.Ninachoelewa, ni kwamba wanachofanya ni matokeo ya mafunzo waliyopitia.
Swadaktaa. Ndivyo ilivyo na haijabadilika, labda imeboreshwa zaidi.Kumbukeni kwamba zamani tulipoenda JKT tulifundisjwa kwa lengo la kuwa jeshi la akiba dhidi ya adui wa nje.
HAPANA-HAPANA -HAPANA; No Never. Hiyo vid inaviashiria vya maruweruwe ya akili za Ujana. Hakuna ukweli wowote hapo. Believe me. Kama sio AI, inaweza kuwa kweli wamerekodiwa/wamejirekodi lakini sio wamerekodiwa na JKT. JKT hawana muda wa kufanya upuuzi huo. Je, inamaana wakikutana na Baba yao, Kaka, Dada, Mjomba etc ni uhakika watamtoa kinyesi,watamdai 20,000?? Let's be Realistic.NI wazi siku hizi vijana wanapelekwa JKT kuwa jeshi la akiba dhidi ya Watanzania wenyewe.
JKT na JW wanajisafisha kwa tukio lipi Broo? Mbona hawahusiki hapo? Wamechafukia wapi? Kama ni Magwanda yanayofanana na yale yaJKT mbona mtu yeyote anaweza kujishonea au hujui? JKT na JW wanayo majukumu mengi sana hususan kipindi hiki cha Kidigitali; tuwaache tusiwashinikize eti wajitumbukize kwenye malumbano ya kijinga au ya KIPUMBAVU kama haya ya vijana kujirekodi na kutishia nyau.Nina mapendekezo hapa chini, ili JKT na JW iweze kujisafisha na hili tukio
Hao ni vijana Ghosts. Hutokaa uwapate au Uwaone kwa macho haya ya nyama milele.
- Vijana wote waliohusika na hii video wachukuliwe hatua kali za kinidhamu pamoja na kuwa blacklisted kutojiunga na jeshi lolote nchini
Mbona aina ya mafunzo yanayotolewa kwa vijana wanaojiunga na JKT yako BAYANA/WAZI sana (Tembalea tovuti yao).
- JKT itoe tamko rasmi kukana kwamba kwamba haya sio aina ya mafunzo yanayotolewa kwa vijana wanaojiunga na JKT
Hapana. Sisi wazazi kwa umoja wetu hatutawazuia au kuwashauri vijana wetu Kukacha/Kutoroka/Kujongo mafunzo ya JKT. Faida itokanayo na kupata mafunzo ya JKT ni kubwa mno hatuwezi kudiriki au kuthubutu kuyakosa kisa eti kutokana na li-Clip la video lililotupwa Mtandaoni na vijana Hewa (Ghost youths).Kama haya yasipofanyika, nawashauri wazazi wote nchini wakatae katakata kuwaruhusu vijana wao kwenda mafunzo ya JKT,
Hii nimeshajitahidi kueleza. By the way, mimi sio msemaji wa JKT au JW. Ngoja ikiwapendeza watakuja kujizungumzia wenyewe.kwa sababu ni wazi wanapelekwa huko ili kuja kuwa wauaji wa akiba dhidi ya Watanzania wenzao
Nini faida ya kwenda JKT.Nimesikiliza video za hawa vijana ambao ndio wanaomaliza mafunzo ya JKT wakiongelea kuhusu mtu atakaendamana atatolewa haja kubwa, au atoe Shs 20,000 nk.
Imenisikitisha sana.
Japo watu wanasema vijana hao ni mihemuko yao bonafsi, sikubali hilo hata kidogo. Haiwezekani vjana wote hao, wa kike na kiume, wakawa na mtazamo sawa. Ingekuwa ni mhemuko basi angalau angekuwa mmoja na wengine wakamkataza. Au labda wasingefikia hatua ya ku-post utumbo wao uliooza.
Ninachoelewa, ni kwamba wanachofanya ni matokeo ya mafunzo waliyopitia. Kumbukeni kwamba zamani tulipoenda JKT tulifundisjwa kwa lengo la kuwa jeshi la akiba dhidi ya adui wa nje. NI wazi siku hizi vijana wanapelekwa JKT kuwa jeshi la akiba dhidi ya Watanzania wenyewe.
Nina mapendekezo hapa chini, ili JKT na JW iweze kujisafisha na hili tukio
Kama haya yasipofanyika, nawashauri wazazi wote nchini wakatae katakata kuwaruhusu vijana wao kwenda mafunzo ya JKT, kwa sababu ni wazi wanapelekwa huko ili kuja kuwa wauaji wa akiba dhidi ya Watanzania wenzao
- Vijana wote waliohusika na hii video wachukuliwe hatua kali za kinidhamu pamoja na kuwa blacklisted kutojiunga na jeshi lolote nchini
- JKT itoe tamko rasmi kukana kwamba kwamba haya sio aina ya mafunzo yanayotolewa kwa vijana wanaojiunga na JKT
Soma Pia: https://www.jamiiforums.com/threads...-wakikuta-mtu-akiandamana-watamdhuru.2472936/