Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,415
- 29,584
Angalia hapa MkuuTuwekee Hako ka video tuone
Polisi walishakuwa wehu siku nyingi, JW wameanza kuwa wehu, na sasa JKT kumeingia wehu! Nchi hii itabadilishwa na nani sasa? Yaani CCM walichiifanya nchi hii basi tu. Yote kwa uroho wa madarakaAisee!Hao vijana wamedhihirisha ujinga wao.Mimi nawashauri;Waende kwenye familia ambazo watoto,ndugu,wazazi na jamaa wao walikufa kwa kupigwa risasi tarehe 29 Oktoba,2025 na wawaambie hayo maneno.Naamini watapongezwa mnoooo!
Hili tukio limetokea katika Kijiji cha Lamadi-Busega- Simiyu, sasa hao polisi wanaopiga RAIA hivi hadharani watashindwa KUUA sirini?MTU mmoja hana silaha unampigaje hivyo mbele za watu
Pia soma: Jeshi la Polisi Mkoa Simiyu kufanya uchunguzi kuhusu picha mjingea inayosambaa mitandaoni
Kama hadi kizazi kinachohesabika ni cha wasomi wanadanganywa kirahisi hivyo,basi tuna kizazi cha mazezeta tena mapooza watupu!Polisi walishakuwa wehu siku nyingi, JW wameanza kuwa wehu, na sasa JKT kumeingia wehu! Nchi hii itabadilishwa na nani sasa? Yaani CCM walichiifanya nchi hii basi tu. Yote kwa uroho wa madaraka
Huko Simiyu policcm wamefanyaje tena?Mmeona wehu mwingime wa Polisi huko Simiyu? Usikute hawa ndio Polisi walioajiriwa baada ya kupitia JKT
Hili tukio limetokea katika Kijiji cha Lamadi-Busega- Simiyu, sasa hao polisi wanaopiga RAIA hivi hadharani watashindwa KUUA sirini?MTU mmoja hana silaha unampigaje hivyo mbele za watu
Pia soma: Jeshi la Polisi Mkoa Simiyu kufanya uchunguzi kuhusu picha mjingea inayosambaa mitandaoni
Mkuu asante na hongera kwa Uzalendo na moyo wenye kujali maslahi ya hili Taifa.Nimesikiliza video za hawa vijana ambao ndio wanaomaliza mafunzo ya JKT wakiongelea kuhusu mtu atakaendamana atatolewa haja kubwa, au atoe Shs 20,000 nk.
Imenisikitisha sana.
Japo watu wanasema vijana hao ni mihemuko yao bonafsi, sikubali hilo hata kidogo. Haiwezekani vjana wote hao, wa kike na kiume, wakawa na mtazamo sawa. Ingekuwa ni mhemuko basi angalau angekuwa mmoja na wengine wakamkataza. Au labda wasingefikia hatua ya ku-post utumbo wao uliooza.
Ninachoelewa, ni kwamba wanachofanya ni matokeo ya mafunzo waliyopitia. Kumbukeni kwamba zamani tulipoenda JKT tulifundisjwa kwa lengo la kuwa jeshi la akiba dhidi ya adui wa nje. NI wazi siku hizi vijana wanapelekwa JKT kuwa jeshi la akiba dhidi ya Watanzania wenyewe.
Nina mapendekezo hapa chini, ili JKT na JW iweze kujisafisha na hili tukio
Kama haya yasipofanyika, nawashauri wazazi wote nchini wakatae katakata kuwaruhusu vijana wao kwenda mafunzo ya JKT, kwa sababu ni wazi wanapelekwa huko ili kuja kuwa wauaji wa akiba dhidi ya Watanzania wenzao
- Vijana wote waliohusika na hii video wachukuliwe hatua kali za kinidhamu pamoja na kuwa blacklisted kutojiunga na jeshi lolote nchini
- JKT itoe tamko rasmi kukana kwamba kwamba haya sio aina ya mafunzo yanayotolewa kwa vijana wanaojiunga na JKT
Soma Pia: https://www.jamiiforums.com/threads...-wakikuta-mtu-akiandamana-watamdhuru.2472936/
Unajua indoctrination* ina nguvu sana, na siku zote CCM wamejua hiloKama hadi kizazi kinachohesabika ni cha wasomi wanadanganywa kirahisi hivyo,basi tuna kizazi cha mazezeta tena mapooza watupu!
Yani hapo hatupati Samuel Doe wala Thomas Sankara wa Kitanganyika.Unajua indoctrination* ina nguvu sana, na siku zote CCM wamejua hilo
Indoctrination = the process of teaching a person or group to accept a set of beliefs, values, or ideas completely, without questioning or examining them critically
Ukiona kobe juu ya mti ujue kapandishwaNimesikiliza video za hawa vijana ambao ndio wanaomaliza mafunzo ya JKT wakiongelea kuhusu mtu atakaendamana atatolewa haja kubwa, au atoe Shs 20,000 nk.
Imenisikitisha sana.
Japo watu wanasema vijana hao ni mihemuko yao bonafsi, sikubali hilo hata kidogo. Haiwezekani vjana wote hao, wa kike na kiume, wakawa na mtazamo sawa. Ingekuwa ni mhemuko basi angalau angekuwa mmoja na wengine wakamkataza. Au labda wasingefikia hatua ya ku-post utumbo wao uliooza.
Ninachoelewa, ni kwamba wanachofanya ni matokeo ya mafunzo waliyopitia. Kumbukeni kwamba zamani tulipoenda JKT tulifundisjwa kwa lengo la kuwa jeshi la akiba dhidi ya adui wa nje. NI wazi siku hizi vijana wanapelekwa JKT kuwa jeshi la akiba dhidi ya Watanzania wenyewe.
Nina mapendekezo hapa chini, ili JKT na JW iweze kujisafisha na hili tukio
Kama haya yasipofanyika, nawashauri wazazi wote nchini wakatae katakata kuwaruhusu vijana wao kwenda mafunzo ya JKT, kwa sababu ni wazi wanapelekwa huko ili kuja kuwa wauaji wa akiba dhidi ya Watanzania wenzao
- Vijana wote waliohusika na hii video wachukuliwe hatua kali za kinidhamu pamoja na kuwa blacklisted kutojiunga na jeshi lolote nchini
- JKT itoe tamko rasmi kukana kwamba kwamba haya sio aina ya mafunzo yanayotolewa kwa vijana wanaojiunga na JKT
Soma Pia: https://www.jamiiforums.com/threads...-wakikuta-mtu-akiandamana-watamdhuru.2472936/
Mkuu, hii ni coordinate move nyingine inayoonyesha ujinga wa CCM. CCM inazidi kuchimba kaburi lake, trust me. Hawa watarudi mitaani, maisha yatawapiga na ujinga waliopandikizwa ndiyo itakuwa silaha ya kuiondoa CCM. Njaa haikopeshi na haivumiliki. Wakikaa mitaani miezi mitatu tu watajua hiyo clip walijirekodi wamefanya upumbavu wa hali ya juu. Na hata kama wataajiriwa kwenda jeshini au popote pale..... maisha ya Bongo yatawanyoosha.Nimesikiliza video za hawa vijana ambao ndio wanaomaliza mafunzo ya JKT wakiongelea kuhusu mtu atakaendamana atatolewa haja kubwa, au atoe Shs 20,000 nk.