Kama mawazo ya binadamu yangekuwa yanaonekana kwa wengine, heshima yako ingebaki ilivyo au tungekukimbia?

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Kama mawazo ya binadamu yangekuwa yanaonekana kwa wengine, heshima yako ingebaki ilivyo au tungekukimbia?

Eti, wakuu ungebaki unaheshimika au tungeona vitu vya ajabu mpaka tukakumbia?
 
Swali hili ni vyema lijibiwe kwanza na Gerson Msigwa au boss wake "waziri" Paulo Makonda hapo ndio jibu litaeleweka vizuri
 
Back
Top Bottom