Huvioni kazi yake ni kusifia tu mambo ya mama. Na chadema haitaki watu wengine wagombea uenyekiti, isipokuwa Mbowe tuPumbav maccm hivyo vyama vingine 19 vinakazi gani?!View attachment 3179211
Kabisa mkuu. Wanatia kinyaa kwenye demokrasia kwa kukataza watu wengine kugombea uenyekiti. Hiki bila shaka ni mradi wa familia ya Mbowe.Chadema ni ofisi ya Mbowe.
Jamaa anapiga mpunga mrefu sana kwa kupoozwa na ccm.
Nina wasiwasi Lowasa na Mbowe lilikuwa dili la ccm.
Bora tupate chama kipya kinachomaanisha
Hapana! Kirusi kinapewa nafasi ya kuwa makamu mwenyekiti wa chama? Tena kampeni alipiga kwa Zoom wakati huo.Lissu ni adui wa demokrasia na kirusi ndani ya chama rafiki CHADEMA.
Nina mashaka tuhuma za Lissu kuundiwa zengwe la kudhuriwa, hilo dongo amemrushia Mbowe kwa akili sana, akirejea kifo cha WangweKabisa mkuu. Wanatia kinyaa kwenye demokrasia kwa kukataza watu wengine kugombea uenyekiti. Hiki bila shaka ni mradi wa familia ya Mbowe.
Mbowe asome alama za nyakati, akituvurugia chama atabakia na wanachama wa kuhesabika kma CUF ya Lipumba1. Mbowe alizingua kwa Zitto.
2. Mbowe alizingua kwa Dr. Slaa.
3. Mbowe alizingua kwenye maridhiano.
Kote huko alifanikiwa kuwapiga sound watanzania wakaingia king.
Sasa;-
4. Akizingua kwa Lisu, imekula kwake.
Kwasabb, watanzania wameamka na watamstukia akidanganya tena.
You cannot lie all people all the time.
Watanzania wanataka mabadiliko, chadema mkizingua watayatafuta kwingine.
Unaongea na chawa wa Samia mkuuHapana! Kirusi kinapewa nafasi ya kuwa makamu mwenyekiti wa chama? Tena kampeni alipiga kwa Zoom wakati huo.
Huo ukirus wa Lisu umeonekana kwenye kugombea nafasi ya uenyekiti tu??
Ndio nashangaa, mpaka anagombea Urais hawakuona kirusi mpaka alipotaka kiti? Ajabu sanaHapana! Kirusi kinapewa nafasi ya kuwa makamu mwenyekiti wa chama? Tena kampeni alipiga kwa Zoom wakati huo.
Huo ukirus wa Lisu umeonekana kwenye kugombea nafasi ya uenyekiti tu??
Chama kipya ni kupoteza muda, wabanane mumo kwa mumo.Chadema ni ofisi ya Mbowe.
Jamaa anapiga mpunga mrefu sana kwa kupoozwa na ccm.
Nina wasiwasi Lowasa na Mbowe lilikuwa dili la ccm.
Bora tupate chama kipya kinachomaanisha
Ndg umeona genge la Mbowe limecharuka na Mbowe anachekelea.Chama kipya ni kupoteza muda, wabanane mumo kwa mumo.
CHADEMA kipate mwenyekiti mpya ambae atakiweka njia sahihi na fikra mpya.
Freeman Mbowe awe mlezi wa chama.
Pia ipo nafasi ya kufanya mabadiliko ya katiba ya CHADEMA kwamba Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti wa chama na Tundu Lissu awe kiongozi wa chama ambae ndie atakuwa mgombea wa uraisi kupitia CHADEMA.
Utaratibu huu watumika katika nchi nyingi duniani chama kinakuwa na mwenyekiti na makamu wake lakini katika kuongoza chama khasa katika chaguzi ni kiongozi wa chama (Leader) ambae baadae chama kikishinda uchaguzi anakuwa ndie raisi akiingia na baraza lake kivuli la mawaziri alowaandaa.
Zote ni njia sahihi za kumpata kiongozi sahihi ambae kwa wakati huu ni Tundu Lissu.
Ndo watanzania wafahamu jinsi nchi hii inavyochezewa na hao wote ndo wajitokeza sasa ili watanzania wawatambue.Ndg umeona genge la Mbowe limecharuka na Mbowe anachekelea.
Alikuwa na nafasi ya kuwaonye viumbwa koko vyake akina @yerico nyerere vitulize viherehere lkn yupo kimys
Nakubaliana nawe1. Mbowe alizingua kwa Zitto.
2. Mbowe alizingua kwa Dr. Slaa.
3. Mbowe alizingua kwenye maridhiano.
Kote huko alifanikiwa kuwapiga sound watanzania wakaingia king.
Sasa;-
4. Akizingua kwa Lisu, imekula kwake.
Kwasababu, watanzania wameamka na watamstukia akidanganya tena.
You cannot lie all people all the time.
Watanzania wanataka mabadiliko, CHADEMA mkizingua watayatafuta kwingine.akubaliana nawe
Ukishawaweka Slaa na Zitto kama wanamageuzi(hasa Slaa) maelezo yako yote yanakuwa takataka, sellouts wawe mifano? So childish.1. Mbowe alizingua kwa Zitto.
2. Mbowe alizingua kwa Dr. Slaa.
3. Mbowe alizingua kwenye maridhiano.
Kote huko alifanikiwa kuwapiga sound watanzania wakaingia king.
Sasa;-
4. Akizingua kwa Lisu, imekula kwake.
Kwasababu, watanzania wameamka na watamstukia akidanganya tena.
You cannot lie all people all the time.
Watanzania wanataka mabadiliko, CHADEMA mkizingua watayatafuta kwingine.
majitu mengine ni kuyapuuza tu, usijibu upuuzi wao wanaoandika!Unaongea na chawa wa Samia mkuu
Haahaa kirusi kilichukuliwa fomu kikiwa kitandani Nairobi ya makamu mwenyekiti, Yaani demokrasia inayohubiriwa na boni yai wakiwa wanapambana na ccm utashangaaHapana! Kirusi kinapewa nafasi ya kuwa makamu mwenyekiti wa chama? Tena kampeni alipiga kwa Zoom wakati huo.
Huo ukirus wa Lisu umeonekana kwenye kugombea nafasi ya uenyekiti tu??