Pre GE2025 Kama Mbowe atachukua fomu kugombea uenyekiti, ni bora kuanzisha chama kipya cha siasa. Watanzania wanataka mabadiliko lakini CHADEMA ni tatizo

Pre GE2025 Kama Mbowe atachukua fomu kugombea uenyekiti, ni bora kuanzisha chama kipya cha siasa. Watanzania wanataka mabadiliko lakini CHADEMA ni tatizo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lakini katiba ya CHADEMA ina mpa haki ya kugombea.

Kuchaguliwa tuwaachie wajumbe, na akipita kwa uchaguzi halali thats means, bado yuko relevant.
 
A
Hata km ulikua hufuatilii siasa inafikia kipindi unajiuliza mbona Lissu kugombea uenyekiti inaonekana ni dhambi! Uenyekiti inatakiwa ugombewe na binadamu, mbona Lissu akigombea inakua kesi
😀

Yaani lisu kutangaza nia inakua kama uhaini, anataka kufanya kama jiwe
 
Kwa hiyo una amini kuwa asingetangaza hadharani angenyimwa fomu? Hata baada ya Mwenyekiti kusema hadharani ( Lissu akiwepo) kuwa hajawahi kumzuia mtu kugombea na hamna mtu atakayezuiwa?

Amandla...
Kutokana na uulizaji wako naamini hivyo mkuu.
 
Na huo utakuwa ndio mwisho wa chadema kutamba kwenye siasa za tanzania. Kitapoteza exposure kwa wanachi na kitaonekana si cha kidemokrasia, hakitakuwa na uhalali wa kutaka mabadiliko ya kisiasa wakati chenyewe hakibadiliki kwendana na mahitaji ya wakati huu
 
1. Mbowe alizingua kwa Zitto.

2. Mbowe alizingua kwa Dr. Slaa.

3. Mbowe alizingua kwenye maridhiano.

Kote huko alifanikiwa kuwapiga sound watanzania wakaingia king.

Sasa;-
4. Akizingua kwa Lisu, imekula kwake.

Kwasababu, watanzania wameamka na watamstukia akidanganya tena.

You cannot lie all people all the time.

Watanzania wanataka mabadiliko, CHADEMA mkizingua watayatafuta kwingine.
Chama kina hubiri demokrasia afu kina leta mambo ya kiimla. Mtu mmoja tu kila wakati yeye
 
Back
Top Bottom