Pre GE2025 Kama Mbowe atachukua fomu kugombea uenyekiti, ni bora kuanzisha chama kipya cha siasa. Watanzania wanataka mabadiliko lakini CHADEMA ni tatizo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lakini katiba ya CHADEMA ina mpa haki ya kugombea.

Kuchaguliwa tuwaachie wajumbe, na akipita kwa uchaguzi halali thats means, bado yuko relevant.
 
A
Hata km ulikua hufuatilii siasa inafikia kipindi unajiuliza mbona Lissu kugombea uenyekiti inaonekana ni dhambi! Uenyekiti inatakiwa ugombewe na binadamu, mbona Lissu akigombea inakua kesi
😀

Yaani lisu kutangaza nia inakua kama uhaini, anataka kufanya kama jiwe
 
Kwa hiyo una amini kuwa asingetangaza hadharani angenyimwa fomu? Hata baada ya Mwenyekiti kusema hadharani ( Lissu akiwepo) kuwa hajawahi kumzuia mtu kugombea na hamna mtu atakayezuiwa?

Amandla...
Kutokana na uulizaji wako naamini hivyo mkuu.
 
Na huo utakuwa ndio mwisho wa chadema kutamba kwenye siasa za tanzania. Kitapoteza exposure kwa wanachi na kitaonekana si cha kidemokrasia, hakitakuwa na uhalali wa kutaka mabadiliko ya kisiasa wakati chenyewe hakibadiliki kwendana na mahitaji ya wakati huu
 
Chama kina hubiri demokrasia afu kina leta mambo ya kiimla. Mtu mmoja tu kila wakati yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…