Kama Mbunge ulipita bila kupingwa au uliiba kura lazima utambue wewe ni "Mtumwa" wa DED hadi 2025

Yatima mataga baba yenu kafa kifo cha fedheha na aibu kwa ukuda aliofanya. Hakuna mbunge ccm 2020 alishinda uchaguzi. Ndio mana yanakufa kama uyoga
 
Yatima mataga baba yenu kafa kifo cha fedheha na aibu kwa ukuda aliofanya. Hakuna mbunge ccm 2020 alishinda uchaguzi. Ndio mana yanakufa kama uyoga
 
Hehehehee 🤣🤣! Sent and well delivered
 
Usijifungamanishe na ujinga na unafiki, bali jivunie werevu na roho ya haki.

Hivi wakati wa awamu ya 5, kulikuwa na mahakama au bunge? Wenye akili wanajua kuwa wakati wa utawala wa marehemu, Serikali ilikuwa ni Magufuli, Bunge lilikuwa ni Magufuli, mahakama ilikuwa ni Magufuli. Huwezi kuonewa na Magufuli halafu ukatafute haki kwa Magufuli.

Tulikuwa kwenye full dictatorship ambayo inabidi iwekwe kwenye historia ili siku moja hata wana wa wana wetu waisome na kuyaona madhira ambayo Taifa letu liliwahi kuyapitia.

Mungu mwenye huruma amsamehe huko aliko kwa maana hakujua alilokuwa akitenda.
 
HIVI NI KWANINI VYOMBO VYA HABARI VINAWATAMBULISHA HAWA WABUNGE KUWA NI WA CHADEMA WAKATI CHAMA CHENYEWE KIMETOA TAMKO LA KUTOWATAMBUA? JE, WANGEJITAMBULISHA KUWA NI WABUNGE WA CCM, NA CCM IKAWAKATAA HIVI VYOMBO VYA HABARI VINGEENDELEA KUNGÁNGÁNIA KUWATAMBULISHA KUWA NI WABUNGE WA CCM?
 
Kazi iendelee na viti maalumu
 
Yohana ukuje huku haraka. Kuna mtu kaiba nembo yako.
 
Asilimia kubwa sana ndani ya bunge wapo kwa mbereko. Mbereko za maDED, JPM, Mahera etc..... Wengi wanawaza hali itakavyokua 2025 kwa sababu mazingira yaliyowapitisha 2020 hayatakuwepo tena. Kama ulifuatilia wakati wa kuaga mwili wa JPM pale mjengoni, wabunge wanawake wengi "waliangua" vilio sana. Pamoja na nature ya wanawake kulia kwenye misiba, lakini ile iliambatana na kuwaza future yao.
 
Nime quote hii comment kwaajili ya kumbukumbu kuhusiana na hao Covid 19.
 

Amka boss kumekucha, naona umejiunga hapa jukwaani baada ya dhalimu kufariki, hivyo bado una hangover ya utawala wa kikatili. Kwa taarifa yako hakuna mahakama ya kuwapa wapinzani haki.
 
Huo ni wivu wa kike yaani ukimuona mwenzio analiwa na wewe unataka uliwe kaeni kimya subirini 2025 nayo msipokaa vizuri mnatiwa vidole ten
Halafu ww msichana unakuwaga na story za kitoto vibaya sana.
 
Ila kuwa mkweli tu baada ya kuondoka hayati uzalendo umekutoka ..sababu ni Nini hasa?
Anajitahidi kama kulazimisha kubaki na "uzalendo" lakini hali iliyopo inakataa. Hadi tufike 2025, wengi watakua wamerudiwa na utu wao maana waliporwa utu na asiye na utu. Sasa mama ameshika usukani, wameanza kuona jinsi gari linavyotakiwa kuendeshwa.
 
Wewe ulitaka waitwe wabunge wa chama gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…