Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yatima mataga baba yenu kafa kifo cha fedheha na aibu kwa ukuda aliofanya. Hakuna mbunge ccm 2020 alishinda uchaguzi. Ndio mana yanakufa kama uyogaTume iliendesha Uchaguzi kwa kufuata Sheria za Uchaguzi na kama Mbunge au Diwani kapita bila kupingwa basi ni dhahiri Sheria zilitumika ipasavyo . Kama Mgombea hakulidhika na mato0keo mbona mpaka leo hawakwenda Mahakamani maani Mahakama ndiyo inayotoa haki kama haki yako ilinyang'anywa basi Mahakama itarejesha haki yako. Pia Wabunge wale 19 wa CHADEMA , Chama kiliwasilisha majina yao Tume kwa barua na Tume iliwathibitisha na kuwatangaza na wala Mkurugenzi wa Uchaguzi hajafanya kosa lolote.
Taratibu mkuu shusha pumzi..Yatima mataga baba yenu kafa kifo cha fedheha na aibu kwa ukuda aliofanya. Hakuna mbunge ccm 2020 alishinda uchaguzi. Ndio mana yanakufa kama uyoga
Hehehehee 🤣🤣! Sent and well deliveredHuo ndio ukweli mchungu.
Kwa mfano wale wabunge 19 wasiofungamana na upande wowote ni lazima wamwamkie Dr Mahera popote wanapomwona tena kwa kupiga goti hata kama wanamzidi umri.
Hizo ndio gharama za kubwebwa ukishikwa makalio ili ukae vizuri mgingoni usianguke basi usipigipe makelele vinginevyo ungekaa kimya.
MaDED wote nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano
Ramadhan Kareem
Usijifungamanishe na ujinga na unafiki, bali jivunie werevu na roho ya haki.Tume iliendesha Uchaguzi kwa kufuata Sheria za Uchaguzi na kama Mbunge au Diwani kapita bila kupingwa basi ni dhahiri Sheria zilitumika ipasavyo . Kama Mgombea hakulidhika na mato0keo mbona mpaka leo hawakwenda Mahakamani maani Mahakama ndiyo inayotoa haki kama haki yako ilinyang'anywa basi Mahakama itarejesha haki yako. Pia Wabunge wale 19 wa CHADEMA , Chama kiliwasilisha majina yao Tume kwa barua na Tume iliwathibitisha na kuwatangaza na wala Mkurugenzi wa Uchaguzi hajafanya kosa lolote.
Aisee!Kumbe MATAGA hatimaye mmekubali kuwa mliiba kura!
Ila kweli nchi ilipitia pagumu sana!
View attachment 1758953
HIVI NI KWANINI VYOMBO VYA HABARI VINAWATAMBULISHA HAWA WABUNGE KUWA NI WA CHADEMA WAKATI CHAMA CHENYEWE KIMETOA TAMKO LA KUTOWATAMBUA? JE, WANGEJITAMBULISHA KUWA NI WABUNGE WA CCM, NA CCM IKAWAKATAA HIVI VYOMBO VYA HABARI VINGEENDELEA KUNGÁNGÁNIA KUWATAMBULISHA KUWA NI WABUNGE WA CCM?Huo ndio ukweli mchungu.
Kwa mfano wale wabunge 19 wasiofungamana na upande wowote ni lazima wamwamkie Dr Mahera popote wanapomwona tena kwa kupiga goti hata kama wanamzidi umri.
Hizo ndio gharama za kubwebwa ukishikwa makalio ili ukae vizuri mgingoni usianguke basi usipigipe makelele vinginevyo ungekaa kimya.
MaDED wote nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano
Ramadhan Kareem
Kazi iendelee na viti maalumuHuo ndio ukweli mchungu.
Kwa mfano wale wabunge 19 wasiofungamana na upande wowote ni lazima wamwamkie Dr Mahera popote wanapomwona tena kwa kupiga goti hata kama wanamzidi umri.
Hizo ndio gharama za kubwebwa ukishikwa makalio ili ukae vizuri mgingoni usianguke basi usipigipe makelele vinginevyo ungekaa kimya.
MaDED wote nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano
Ramadhan Kareem
Yohana ukuje huku haraka. Kuna mtu kaiba nembo yako.Huo ndio ukweli mchungu.
Kwa mfano wale wabunge 19 wasiofungamana na upande wowote ni lazima wamwamkie Dr Mahera popote wanapomwona tena kwa kupiga goti hata kama wanamzidi umri.
Hizo ndio gharama za kubwebwa ukishikwa makalio ili ukae vizuri mgingoni usianguke basi usipigipe makelele vinginevyo ungekaa kimya.
MaDED wote nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano
Ramadhan Kareem
Asilimia kubwa sana ndani ya bunge wapo kwa mbereko. Mbereko za maDED, JPM, Mahera etc..... Wengi wanawaza hali itakavyokua 2025 kwa sababu mazingira yaliyowapitisha 2020 hayatakuwepo tena. Kama ulifuatilia wakati wa kuaga mwili wa JPM pale mjengoni, wabunge wanawake wengi "waliangua" vilio sana. Pamoja na nature ya wanawake kulia kwenye misiba, lakini ile iliambatana na kuwaza future yao.Huo ndio ukweli mchungu.
Kwa mfano wale wabunge 19 wasiofungamana na upande wowote ni lazima wamwamkie Dr Mahera popote wanapomwona tena kwa kupiga goti hata kama wanamzidi umri.
Hizo ndio gharama za kubwebwa ukishikwa makalio ili ukae vizuri mgingoni usianguke basi usipigipe makelele vinginevyo ungekaa kimya.
MaDED wote nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano
Ramadhan Kareem
Nime quote hii comment kwaajili ya kumbukumbu kuhusiana na hao Covid 19.mkuu hiki chama ni kikundi cha wahuni fulani tu kama walivyo wahuni wengine mbowe anajuwa kila kitu kuhusu hawa kina mama 19 ndiyo maana humsikii akilivalia njuga hili suala anakula taratiiibu vuruzuku vyake shida iko kwa huyu aliyekuja na kandambili kwenye chama kakma alivyosema halima na hajawahi kukanusha, huyu hakushirikishwa na mbowe ndiyo maana kila siku yuko kuwahadaa wanachama wenzie sasa mbona hawawaiti kuwahoji kwenye kamati kuu kama walivyosema? wanaona wanaenda kuumbuka live halima anaakili timamu siyo kichaa yule kama kina pambalu
Tume iliendesha Uchaguzi kwa kufuata Sheria za Uchaguzi na kama Mbunge au Diwani kapita bila kupingwa basi ni dhahiri Sheria zilitumika ipasavyo.
Kama Mgombea hakulidhika na mato0keo mbona mpaka leo hawakwenda Mahakamani maani Mahakama ndiyo inayotoa haki kama haki yako ilinyang'anywa basi Mahakama itarejesha haki yako.
Pia Wabunge wale 19 wa CHADEMA , Chama kiliwasilisha majina yao Tume kwa barua na Tume iliwathibitisha na kuwatangaza na wala Mkurugenzi wa Uchaguzi hajafanya kosa lolote.
Huo ni wivu wa kike yaani ukimuona mwenzio analiwa na wewe unataka uliwe kaeni kimya subirini 2025 nayo msipokaa vizuri mnatiwa vidole ten
Halafu ww msichana unakuwaga na story za kitoto vibaya sana.mkuu hiki chama ni kikundi cha wahuni fulani tu kama walivyo wahuni wengine mbowe anajuwa kila kitu kuhusu hawa kina mama 19 ndiyo maana humsikii akilivalia njuga hili suala anakula taratiiibu vuruzuku vyake shida iko kwa huyu aliyekuja na kandambili kwenye chama kakma alivyosema halima na hajawahi kukanusha, huyu hakushirikishwa na mbowe ndiyo maana kila siku yuko kuwahadaa wanachama wenzie sasa mbona hawawaiti kuwahoji kwenye kamati kuu kama walivyosema? wanaona wanaenda kuumbuka live halima anaakili timamu siyo kichaa yule kama kina pambalu
Anajitahidi kama kulazimisha kubaki na "uzalendo" lakini hali iliyopo inakataa. Hadi tufike 2025, wengi watakua wamerudiwa na utu wao maana waliporwa utu na asiye na utu. Sasa mama ameshika usukani, wameanza kuona jinsi gari linavyotakiwa kuendeshwa.Ila kuwa mkweli tu baada ya kuondoka hayati uzalendo umekutoka ..sababu ni Nini hasa?
Wewe ulitaka waitwe wabunge wa chama gani?HIVI NI KWANINI VYOMBO VYA HABARI VINAWATAMBULISHA HAWA WABUNGE KUWA NI WA CHADEMA WAKATI CHAMA CHENYEWE KIMETOA TAMKO LA KUTOWATAMBUA? JE, WANGEJITAMBULISHA KUWA NI WABUNGE WA CCM, NA CCM IKAWAKATAA HIVI VYOMBO VYA HABARI VINGEENDELEA KUNGÁNGÁNIA KUWATAMBULISHA KUWA NI WABUNGE WA CCM?
Huyo mama anajitahidi kusifu na kuabudu ila anaabudu kiutuuzima
Mwagito leo upo kilabu cha wapi? Cha Mlandege au?Peleka vidumu vya mbege kilabuni akina Macha wanakusubiri!
Hujaelewa maswali yangu. Soma uelewe. Ukielewa wewe jibu kulingana na nilivyoulizaWewe ulitaka waitwe wabunge wa chama gani?