Mganguzi ni kweli hata ww tukikuita mjinga lazima tupeleke vielelezo kama hivi unavyoandika na jamii watathibitisha huu ujinga wako.
Kama kweli yeye kasema ni mungu, hana kosa kikatiba,
Kuna miungu weng sana Tanzania, na hata ww mtoa mada unaweza ukachonga sanamu yako na ukasema ni mungu, hakuna kosa.
Kosa ni kutumia Kanisa na Biblia ambayo ilikuwepo maelfu ya miaka kutakasa uungu wako na kuaminisha watu wengine.
Kumbuka alishawah walisha nyasi waumini wake, ina maana aliwaaminisha kuwa wao ni Ng'ombe.
Mtu kama huyu ana nia ya dhati ya kudhuru watu, anatakiwa athibitiwe.
Yatatokea ya Kibwetere na wafuasi wake.