Ni maneno tu haya tushayazoea ila kuna siku utakuja kujuta sana na hayatokufaa majuto ykoHata mtume alifanya alilohisi ni sawa kwa kuanzisha uislam.
Inaonekana ni nchi isiyojua inachokisimamia, ipo ipo tu.Nchi hii mara ni secular state, mara hawataki watu wajiite miungu yaani haieleweki!
Na Kabudi alipomuita Magufuli 'mheshimiwa mungu' hakuna aliyemsumbua yeye wala huyo mungu wake
Ni aibu sana kuwa na watu mbumbumbu aina ya zombokoko.Polisi huwa wanatia huruma huko mahakamani iwapo mshitakiwa ana mawakili watukutu.
DC Zomboko wa Ubungo na kamatakamata ya Dadapoa ile kesi itakuwa imefutwa kimyakimya.
"Wanauza miili yao halafu wao wanabaki na nini?"
"Wateja wao wako wapi?"
sio kosa hata kidogo maana serikali haina dini. Na mungu ni kitu cha kufikirika hakuna ajuae kama ni huyu au ni yule. So hata wewe ukijiita mungu ni sawa tu maana miungu yenyewe ipo kibao. Nashangaa sana watu mitaani wanaitana makamanda lakidi wanadunda tu toad, akati ni cheo cha wanajeshi wetu.Hivi kujiita Mungu ni kosa kisheria? Kwa kifungu gani?
Hua ananifurahisha sana anavokata mauno. Anaonekana moto sana yule dada.. Anaekula pale anafaidi aiseeeMuacheni mama wa watu apige pesa za wapumbavu, au mnataka mama wa watu akajiuze wakati ameona fursa nyepesi bila kutumia jasho
Hua ananifurahisha sana anavokata mauno. Anaonekana moto sana yule dada.. Anaekula pale anafaidi aiseeeMuacheni mama wa watu apige pesa za wapumbavu, au mnataka mama wa watu akajiuze wakati ameona fursa nyepesi bila kutumia jasho
Mimi sio mfuasi wa mfalme zumaridi na simjui na sijawahi kuonana nae ! Nachokipenda kwa zumaridi ni shepu yake safi 👏tatizo langu ni jeshi la polisi mara zote wanamkamata kwa kosa hasa la yeye kujiita MUNGU !!
Si mara moja bali ni mara zote zumaridi amekuwa akijiita mungu na wafuasi wake maelfu ya watu wenye akili timamu ,wasomi na wasio wasomi wamekubali kwamba yeye ni mungu wao !! Ikiwa jeshi la polisi linamashaka na uungu wake ama polisi wao wanae mungu halisi ambae sio mfalme zumaridi itakuwa zumaridi anapotosha watu ,kwa hivyo nalishauri jeshi la polisi pasi na shaka yoyote wamlete huyo mungu wa kweli mahakamani ili kuthibitisha uongo wa mfalme zumaridi ,
Soma Pia: Mfalme Zumaridi akamatwa na Polisi Mwanza
Na kama polisi watashindwa kumleta Mungu halisi mahakamani basi mfalme zumaridi hana hatia yoyote !!! Kwa habari ya kelele waanze nà makanisa yote nchi nzima wachungaji wote wawekwe ndani kwa sababu hakuna kanisa kwa Sasa ambalo Lina soundproof na kwa habari ya kwamba kanisa lake halijasaliwa ukweli ni kwamba asilimia 75 ya makanisa ya kiroho hayajasajiliwa kabisa !!
Mtu tu anaamka anasema hili ni kanisa linaitwa mganguzi basi iyena iyena ! Wakamatwe wachungaji wote ambao hawajasajili makanisa wawekwe korokoroni !! Hapo mtakuwa mmefanya kwa usawa lakini kumlenga zumaridi pekee ni kumuonea !!!
Kwa hiyo hayo mambo ya Mungu inatakiwa wafundishwe watu wazima tu siyo watoto?Kosa la msingi ni pale alivyokuwa anawaambia watoto wamtambue kuwa ni Mungu. Hapo ni Kosa kwa sababu hiyo kauli inaweza kupelekea makosa mengine mengi pale watoto watakapo muamini na kuanza kufuata kila anacho waelekeza wakijua ni maagizo ya Mungu hivyo hawastahili kupinga.
Kwa maana hiyo angekuwa anaongea na watu wazima wenye akili timamu halingechukuliwa kama Kosa kwani wanauwezo wa kujua mbivu na mbichi au niseme wanaweza kuwajibishwa kwa chochote watakachofanya kinyume na utaratibu bila kujali kama wameagizwa na mtu anayejiita mungu
Zumaridi Si MkristoUkristoni kila mtu anafanya analolihisi yy ni sawa
weKatiba inagusa watu na wananchi husika.
Chochote unachofanya hata kama kikigusa kiimani na watu wengi wakafuata ila kikiwa hakikubaliki kikatiba ni Jinai.
Yeye kama amesema ni mungu kweli, amesemea kanisa gan? Limesajiliwa? Na je ametumiq Biblia ambao Roman, KKKT, TAG, SDA wanatumia,
Waumini wa haya makanisa watajisikiaje?
Na hili sasa ndio Kosa lake kijinai.
Kwasababu italeta taaluki kwa jamii.
Na katiba inakataza kufanya jambo ambalo litaleta taaruki.
Anaweza akisema yeye mungu hana kosa, ila matokeo ya mpokeo ndio yakaleta jinai
Hivi ni kweli huyo Kabudi ameshawahi kumwita Magu ni mungu? Mwenye hiyo clip basi apost nipate kuthibitisha uzwazwa wa huyu Mzee 😂😂
Kwani wewe Kuna siku hutajuta?Ni maneno tu haya tushayazoea ila kuna siku utakuja kujuta sana na hayatokufaa majuto yko
Watu wote wanafundishwa wakiwemo watotoKwa hiyo hayo mambo ya Mungu inatakiwa wafundishwe watu wazima tu siyo watoto?
Hakuna tatizo lolote, kunatofauti gani watoto kumfuata mungu wanaemuona (zumaridi), na kumfuata mungu wasie muona (wa kwenye vitabu vya wazungu na waarabu)???GREAT THINKER WANAONA AMEFANYA KOSA!
Kosa la msingi ni pale alivyokuwa anawaambia watoto wamtambue kuwa ni Mungu. Hapo ni Kosa kwa sababu hiyo kauli inaweza kupelekea makosa mengine mengi pale watoto watakapo muamini na kuanza kufuata kila anacho waelekeza wakijua ni maagizo ya Mungu hivyo hawastahili kupinga.
Kwa maana hiyo angekuwa anaongea na watu wazima wenye akili timamu halingechukuliwa kama Kosa kwani wanauwezo wa kujua mbivu na mbichi au niseme wanaweza kuwajibishwa kwa chochote watakachofanya kinyume na utaratibu bila kujali kama wameagizwa na mtu anayejiita mungu
Hakuna tatizo lolote, kunatofauti gani watoto kumfuata mungu wanaemuona (zumaridi), na kumfuata mungu wasie muona (wa kwenye vitabu vya wazungu na waarabu)???