wolverineGG
JF-Expert Member
- Feb 13, 2025
- 1,968
- 3,680
Hatari saana.. hakuna utumwa mbaya kama utumwa wa kifikra.Hapo Sasa ndiyo utaiona Dunia ilivyojaa unafiki

Nitajibu Yesu alifahamu kila hatua ambayo angepitia je Wao wanafahamu hatua wanazopitia kukabiliana na umauti?Akikwambia hata Yesu alipitia hiyo hali utajibu nini?
Simple!Mimi sio mfuasi wa mfalme zumaridi na simjui na sijawahi kuonana nae ! Nachokipenda kwa zumaridi ni shepu yake safi 👏tatizo langu ni jeshi la polisi mara zote wanamkamata kwa kosa hasa la yeye kujiita MUNGU !!
Si mara moja bali ni mara zote zumaridi amekuwa akijiita mungu na wafuasi wake maelfu ya watu wenye akili timamu ,wasomi na wasio wasomi wamekubali kwamba yeye ni mungu wao !! Ikiwa jeshi la polisi linamashaka na uungu wake ama polisi wao wanae mungu halisi ambae sio mfalme zumaridi itakuwa zumaridi anapotosha watu ,kwa hivyo nalishauri jeshi la polisi pasi na shaka yoyote wamlete huyo mungu wa kweli mahakamani ili kuthibitisha uongo wa mfalme zumaridi ,
Soma Pia: Mfalme Zumaridi akamatwa na Polisi Mwanza
Na kama polisi watashindwa kumleta Mungu halisi mahakamani basi mfalme zumaridi hana hatia yoyote !!! Kwa habari ya kelele waanze nà makanisa yote nchi nzima wachungaji wote wawekwe ndani kwa sababu hakuna kanisa kwa Sasa ambalo Lina soundproof na kwa habari ya kwamba kanisa lake halijasaliwa ukweli ni kwamba asilimia 75 ya makanisa ya kiroho hayajasajiliwa kabisa !!
Mtu tu anaamka anasema hili ni kanisa linaitwa mganguzi basi iyena iyena ! Wakamatwe wachungaji wote ambao hawajasajili makanisa wawekwe korokoroni !! Hapo mtakuwa mmefanya kwa usawa lakini kumlenga zumaridi pekee ni kumuonea !!!
Wanemvunjia Mfalme Zamaradi haki zake za msingi za kikatiba, hususan freedom of conscience.
Sijui kwa nini namkubali Zumaridi.Muacheni mama wa watu apige pesa za wapumbavu, au mnataka mama wa watu akajiuze wakati ameona fursa nyepesi bila kutumia jasho
View attachment 3337223
Kwani mkuu kikawaida binaadamu hadi kufikia kifo chake si anapitia hizo hatua?Nitajibu Yesu alifahamu kila hatua ambayo angepitia je Wao wanafahamu hatua wanazopitia kukabiliana na umauti?
Hivi umesema humjui na hujawahi onana nae? sasa hiyo shape yake wapi ulimuona hadi ukaipenda?Nachokipenda kwa zumaridi ni shepu yake safi
Mawakili wa jamhuri na mashahidi wao wanaingiaga mahakamani na mawazo kama haya, matokeo yake wakikutana na mawakili kama akina Kibatala wanajikuta wao wenyewe hawakielewi wanachokizungumzaKatiba inagusa watu na wananchi husika.
Chochote unachofanya hata kama kikigusa kiimani na watu wengi wakafuata ila kikiwa hakikubaliki kikatiba ni Jinai.
Yeye kama amesema ni mungu kweli, amesemea kanisa gan? Limesajiliwa? Na je ametumiq Biblia ambao Roman, KKKT, TAG, SDA wanatumia,
Waumini wa haya makanisa watajisikiaje?
Na hili sasa ndio Kosa lake kijinai.
Kwasababu italeta taaluki kwa jamii.
Na katiba inakataza kufanya jambo ambalo litaleta taaruki.
Anaweza akisema yeye mungu hana kosa, ila matokeo ya mpokeo ndio yakaleta jinai
Anamwonaga 'da Zuma' akiwa kajipodoaHivi umesema humjui na hujawahi onana nae? sasa hiyo shape yake wapi ulimuona hadi ukaipenda?
Wewe kuuziwa mbuzi kwenye gunia ni kugusa tu kwa kushindwa kutofautisha natural na filter
Sawa dadaIpo siku utashindwa kubeba mimba ya mumeo na kuilaumu ccm
Sidhani kuna kosa kujiita mungu. kwa wasiojua toka zamani mpaka sasa ilikuwepo na ipo miungu mingi sana.Ila pia yuko Mungu wa hiyo miungu yote.Yaani kuna dagoni Mungu aliye hai.Mimi sio mfuasi wa mfalme zumaridi na simjui na sijawahi kuonana nae ! Nachokipenda kwa zumaridi ni shepu yake safi 👏tatizo langu ni jeshi la polisi mara zote wanamkamata kwa kosa hasa la yeye kujiita MUNGU !!
Si mara moja bali ni mara zote zumaridi amekuwa akijiita mungu na wafuasi wake maelfu ya watu wenye akili timamu ,wasomi na wasio wasomi wamekubali kwamba yeye ni mungu wao !! Ikiwa jeshi la polisi linamashaka na uungu wake ama polisi wao wanae mungu halisi ambae sio mfalme zumaridi itakuwa zumaridi anapotosha watu ,kwa hivyo nalishauri jeshi la polisi pasi na shaka yoyote wamlete huyo mungu wa kweli mahakamani ili kuthibitisha uongo wa mfalme zumaridi ,
Soma Pia: Mfalme Zumaridi akamatwa na Polisi Mwanza
Na kama polisi watashindwa kumleta Mungu halisi mahakamani basi mfalme zumaridi hana hatia yoyote !!! Kwa habari ya kelele waanze nà makanisa yote nchi nzima wachungaji wote wawekwe ndani kwa sababu hakuna kanisa kwa Sasa ambalo Lina soundproof na kwa habari ya kwamba kanisa lake halijasaliwa ukweli ni kwamba asilimia 75 ya makanisa ya kiroho hayajasajiliwa kabisa !!
Mtu tu anaamka anasema hili ni kanisa linaitwa mganguzi basi iyena iyena ! Wakamatwe wachungaji wote ambao hawajasajili makanisa wawekwe korokoroni !! Hapo mtakuwa mmefanya kwa usawa lakini kumlenga zumaridi pekee ni kumuonea !!!
Hapa pagumu sanaMimi sio mfuasi wa mfalme zumaridi na simjui na sijawahi kuonana nae ! Nachokipenda kwa zumaridi ni shepu yake safi 👏tatizo langu ni jeshi la polisi mara zote wanamkamata kwa kosa hasa la yeye kujiita MUNGU !!
Si mara moja bali ni mara zote zumaridi amekuwa akijiita mungu na wafuasi wake maelfu ya watu wenye akili timamu ,wasomi na wasio wasomi wamekubali kwamba yeye ni mungu wao !! Ikiwa jeshi la polisi linamashaka na uungu wake ama polisi wao wanae mungu halisi ambae sio mfalme zumaridi itakuwa zumaridi anapotosha watu ,kwa hivyo nalishauri jeshi la polisi pasi na shaka yoyote wamlete huyo mungu wa kweli mahakamani ili kuthibitisha uongo wa mfalme zumaridi ,
Soma Pia: Mfalme Zumaridi akamatwa na Polisi Mwanza
Na kama polisi watashindwa kumleta Mungu halisi mahakamani basi mfalme zumaridi hana hatia yoyote !!! Kwa habari ya kelele waanze nà makanisa yote nchi nzima wachungaji wote wawekwe ndani kwa sababu hakuna kanisa kwa Sasa ambalo Lina soundproof na kwa habari ya kwamba kanisa lake halijasaliwa ukweli ni kwamba asilimia 75 ya makanisa ya kiroho hayajasajiliwa kabisa !!
Mtu tu anaamka anasema hili ni kanisa linaitwa mganguzi basi iyena iyena ! Wakamatwe wachungaji wote ambao hawajasajili makanisa wawekwe korokoroni !! Hapo mtakuwa mmefanya kwa usawa lakini kumlenga zumaridi pekee ni kumuonea !!!
😁maswali ya Kibatala hayo.Polisi huwa wanatia huruma huko mahakamani iwapo mshitakiwa ana mawakili watukutu.
DC Zomboko wa Ubungo na kamatakamata ya Dadapoa ile kesi itakuwa imefutwa kimyakimya.
"Wanauza miili yao halafu wao wanabaki na nini?"
"Wateja wao wako wapi?"
Mm manabii wote nawakubali mana wameona fursa 😂Sijui kwa nini namkubali Zumaridi.
Allah alimdharirisha sana mzee Mohamad. Alimpa Quran akashindwa kumfundisha kujua kusoma na kuandika.Simple!
Zumalidi hajaonewa amekamatwa kwa haki kigezo cha cha Uungu ni Kutoonekana dhahiri sasa kama yeye amekamatwa na Watu aliowaumba huyo ni Tapeli tu kama wale wanaosema yesu ni mungu kwa maana na yeye alikamatwa na watu aliowaumba na wakampa kisago wakamdhihaki (si ajabu walimshika na makalio)na ndio maana waislam tunapinga tukio hilo.
Mtume wa Mungu hawezi kudhalilishwa namna hiyo!
Waandishi wa Bible walisimuliwa Habari za Babu yake zumalidi wakaja kumpakazia Yesu.
Wasukuma wanazinguaMuacheni mama wa watu apige pesa za wapumbavu, au mnataka mama wa watu akajiuze wakati ameona fursa nyepesi bila kutumia jasho
View attachment 3337223