Kama mfalme Zumaridi sio Mungu basi jeshi la polisi limpeleke Mungu halisi mahakamani kuthibitisha uongo wa mfalme Zumaridi

Kama mfalme Zumaridi sio Mungu basi jeshi la polisi limpeleke Mungu halisi mahakamani kuthibitisha uongo wa mfalme Zumaridi

Kwani wewe Kuna siku hutajuta?


Hivi wanaojuta wote Dunia hii ni watu wasioamini hizo dini zenu ?


Acha kutisha watu ng'ombe wewe
Ficha hizo akili, watakuja kukuteka na dini zao. Inatakiwa tukutafutie ulinzi chap.. Kwanza kabla hujaenda mafichoni tupunguzie hizo akili kidogo boss.
 
Kwenye historia ya dunia yetu kuna visa mbalimbali vya mtu kujiita Mungu halafu akawadhuru watu.

Tumeona kwa Kibwetere, tumeona kwa Jim Jones na hivi karibuni tumeona Kenya.

Ujinga wa watu wengi ni kutoona zaidi ya wanachoonyeshwa, ubaya ni kwamba hawataki pia kutafuta. Diana alikua anawaambia hayo maneno watoto, mtoto ukimprogram kwa mtindo ambao anakua vulnerable kwako hilo ni kosa kisheria.

Sasa watu wenye smartphone na mabando au wifi za bure hua hawapotezi muda kuchunguza zaidi ya walicholetewa. Hata kama hana knowledge ya alicholetewa.

Kenge kabisa
 
Zumaridi hajakatazwa kuhubiri TATIZO hapa ni kuwa hajafuata taratibu...
Kama unataka kuanzisha dhehebu lako tofauti na yaliyopo LAZIMA usajili ili ufahamike na upewe taratibu zinazofuatwa kwa nchi husika.
Tukiruhusu kila mtu akitoka usingizini aanze kuhubiri ndio tunaishia kwenye mauaji kama yale ya Mchungaji Kibwetere kule Uganda alivyo ua watu kwa mamia au mauaji ya hivi karibuni kule Kenya kwenye misitu ya Shakahola (mchungaji Mackenzie) ambaye ameua watu kwa mamia pia
Sasa watoto na taratibu za kisheria za kusajili makanisa katika nchi husika kuna uhusiano gani bro?? mbona kama unatuvuruga hapo, hoja yako imebadilishwa gia angani mzee. Umesha pata redbull Au mimi ndo akili yangu ni ndogo sana mpaka nashindwa kuelewa.
 
Zumaridi ana utajiri mkubwa sana kuliko wachungaji wengi sana wanasema Mungu wao ndo wa kweli
 
Si Bora hawa wanamuona Mungu wao kuliko hawa wapumbavu wengine, watu wazima kama watoto wameaminishwa eti kuna mungu huko hewani aliwatuma waarabu na wazungu kuja kuwaambia hawa cheusi-dawa kuhusu yeye.
 
Kwani wewe Kuna siku hutajuta?


Hivi wanaojuta wote Dunia hii ni watu wasioamini hizo dini zenu ?


Acha kutisha watu ng'ombe wewe
Kuanza matusi ni kushindwa hoja jikite kwenye hoja hta ukiniita fisi lkn sibadiliki🤣🤣🤣🤒 pole sanaaa
 
Napenda watu wa kaliba ya ZUMARIDI wameamua kutumia ujinga na upumbavu wa watu na kugeuza fursa ya kupiga PESA, Safi kabisa. wamuachie Tu mama wa watu aendelee kujipodoa na kupiga hela za mafala
 
Katiba inagusa watu na wananchi husika.

Chochote unachofanya hata kama kikigusa kiimani na watu wengi wakafuata ila kikiwa hakikubaliki kikatiba ni Jinai.

Yeye kama amesema ni mungu kweli, amesemea kanisa gan? Limesajiliwa? Na je ametumiq Biblia ambao Roman, KKKT, TAG, SDA wanatumia,
Waumini wa haya makanisa watajisikiaje?
Na hili sasa ndio Kosa lake kijinai.
Kwasababu italeta taaluki kwa jamii.
Na katiba inakataza kufanya jambo ambalo litaleta taaruki.

Anaweza akisema yeye mungu hana kosa, ila matokeo ya mpokeo ndio yakaleta jinai
Kuna waumini wengi wa Kikristo hawafurahii wakatoliki kuwa na baba mtakatifu, kumuomba Maria na kuabudu kwa sanamu, kuna Wasabato wengi hawafurahii wengine kula kitimoto.
 
Kuna waumini wengi wa Kikristo hawafurahii wakatoliki kuwa na baba mtakatifu, kumuomba Maria na kuabudu kwa sanamu, kuna Wasabato wengi hawafurahii wengine kula kitimoto.
Mfano wako naona uko irrelevant kidogo.

Mm nimesema kuwa Zumaridi anatumia biblia na kudai yeye ni mungu ndio kosa.

Angeandika kitabu chake na kudai yeye ni mungu, anakuwa hajavunja sheria wala katiba.

Ila kutumia Biblia ambayo weng wanaiamini na kujiita ni mkuu wa hiyo biblia inaleta taharuki.
 
Mfano wako naona uko irrelevant kidogo.

Mm nimesema kuwa Zumaridi anatumia biblia na kudai yeye ni mungu ndio kosa.

Angeandika kitabu chake na kudai yeye ni mungu, anakuwa hajavunja sheria wala katiba.

Ila kutumia Biblia ambayo weng wanaiamini na kujiita ni mkuu wa hiyo biblia inaleta taharuki.
Nusu ya Biblia ni vitabu vya Wayahudi, Wakristo hawana hatimiliki na biblia.
Waislamu wanaamini watu wote kwenye Biblia agano la kale kuanzia Adam, Ibrahim hadi Yesu walikuwa Waislamu na haijaleta taharuki.
 
Hua naskiaga huyu zumaradi ana shepu ila sijawai kumuona. Mwenye picha yake bhc aitume humu nimuone na mm
 
Polisi huwa wanatia huruma huko mahakamani iwapo mshitakiwa ana mawakili watukutu.

DC Zomboko wa Ubungo na kamatakamata ya Dadapoa ile kesi itakuwa imefutwa kimyakimya.

"Wanauza miili yao halafu wao wanabaki na nini?"

"Wateja wao wako wapi?"
Kudadadeki
 
Back
Top Bottom