Ni makanisa mangapi hapa tanzania hayana usajili na yanaendelea na kazi kama kawa ?Zumaridi hajakatazwa kuhubiri TATIZO hapa ni kuwa hajafuata taratibu...
Kama unataka kuanzisha dhehebu lako tofauti na yaliyopo LAZIMA usajili ili ufahamike na upewe taratibu zinazofuatwa kwa nchi husika.
Tukiruhusu kila mtu akitoka usingizini aanze kuhubiri ndio tunaishia kwenye mauaji kama yale ya Mchungaji Kibwetere kule Uganda alivyo ua watu kwa mamia au mauaji ya hivi karibuni kule Kenya kwenye misitu ya Shakahola (mchungaji Mackenzie) ambaye ameua watu kwa mamia pia
Mimi sio mfuasi wa mfalme zumaridi na simjui na sijawahi kuonana nae ! Nachokipenda kwa zumaridi ni shepu yake safi 👏tatizo langu ni jeshi la polisi mara zote wanamkamata kwa kosa hasa la yeye kujiita MUNGU !!
Si mara moja bali ni mara zote zumaridi amekuwa akijiita mungu na wafuasi wake maelfu ya watu wenye akili timamu ,wasomi na wasio wasomi wamekubali kwamba yeye ni mungu wao !! Ikiwa jeshi la polisi linamashaka na uungu wake ama polisi wao wanae mungu halisi ambae sio mfalme zumaridi itakuwa zumaridi anapotosha watu ,kwa hivyo nalishauri jeshi la polisi pasi na shaka yoyote wamlete huyo mungu wa kweli mahakamani ili kuthibitisha uongo wa mfalme zumaridi ,
Soma Pia: Mfalme Zumaridi akamatwa na Polisi Mwanza
Na kama polisi watashindwa kumleta Mungu halisi mahakamani basi mfalme zumaridi hana hatia yoyote !!! Kwa habari ya kelele waanze nà makanisa yote nchi nzima wachungaji wote wawekwe ndani kwa sababu hakuna kanisa kwa Sasa ambalo Lina soundproof na kwa habari ya kwamba kanisa lake halijasaliwa ukweli ni kwamba asilimia 75 ya makanisa ya kiroho hayajasajiliwa kabisa !!
Mtu tu anaamka anasema hili ni kanisa linaitwa mganguzi basi iyena iyena ! Wakamatwe wachungaji wote ambao hawajasajili makanisa wawekwe korokoroni !! Hapo mtakuwa mmefanya kwa usawa lakini kumlenga zumaridi pekee ni kumuonea !!!
Mambo ya kibwetele usituletee hapa hata hizo dini zilizisajiliwa na nyie mnaziamini na kuona dini za kiafrika ni ulimbukeni angalieni Leo mashoga wengi ni viongozi wa hayo makanisa yenu makubwaWatu wote wanafundishwa wakiwemo watoto
LAKINI kama unataka kuanzisha dhehebu lako tofauti na yaliyopo LAZIMA usajili ili ufahamike na upewe taratibu zinazofuatwa kwa nchi husika.
Tukiruhusu kila mtu akitoka usingizini aanze kuhubiri ndio tunaishia kwenye mauaji kama yale ya Mchungaji Kibwetere kule Uganda alivyo ua watu kwa mamia au mauaji ya hivi karibuni kule Kenya kwenye misitu ya Shakahola (mchungaji Mackenzie) ambaye ameua watu kwa mamia pia
Hayo makanisa ambayo unahisi yako salama mungu WENU amewahi kujitokeza hadharani ? Hakuna Cha kibwetere Wala Nini ni chuki za kidini tuHuyo zumaridi inatakiwa atulizwe acheni Ujinga unanfahamu Mchungaji Kibwetele wakifa watu italaumiwa serikali ya zumaridi achana nayo Acha serikali ifanye kazi sometimes
Hilo sio kosa ndivyo anavyojitambulisha huo ndiyo utambulisho wake hao watoto wana wazazi ujue huko majumbani wazazi wa hao watoto wanaamini Zuma ni munguNaona kosa la msingi ni pale alivyokuwa anawaambia watoto wamtambue kuwa ni Mungu. Hapo ni Kosa kwa sababu hiyo kauli inaweza kupelekea makosa mengine mengi pale watoto watakapo muamini na kuanza kufuata kila anacho waelekeza wakijua ni maagizo ya Mungu hivyo hawastahili kupinga.
Kwa maana hiyo angekuwa anaongea na watu wazima wenye akili timamu halingechukuliwa kama Kosa kwani wanauwezo wa kujua mbivu na mbichi au niseme wanaweza kuwajibishwa kwa chochote watakachofanya kinyume na utaratibu bila kujali kama wameagizwa na mtu anayejiita mungu
LAKINI muhimu zaidi hajasajili ili atambulike rasmi na kupewa taratibu zinazofutwa katika nchi husika
Sasa iyo ni dini au katiba ?Haiwezekani mtu mmoja akawaendesha dunia nzima kwa stori zake za kusadikika, binadamu kaumbwa kudadisi na kusaka uhalisia...
Pumzi zinakuhadaaSiwezi kujuta kamwe.
Wala...Pumzi zinakuhadaa
Polisi wanatia aibu sanaMimi sio mfuasi wa mfalme zumaridi na simjui na sijawahi kuonana nae ! Nachokipenda kwa zumaridi ni shepu yake safi 👏tatizo langu ni jeshi la polisi mara zote wanamkamata kwa kosa hasa la yeye kujiita MUNGU !!