Yeye kujiita MUNGU ni kosa? Kama watumishi wanafanya mambo ya hovyo mara Saba ya huyuMganguzi ni kweli hata ww tukikuita mjinga lazima tupeleke vielelezo kama hivi unavyoandika na jamii watathibitisha huu ujinga wako.
Kama kweli yeye kasema ni mungu, hana kosa kikatiba,
Kuna miungu weng sana Tanzania, na hata ww mtoa mada unaweza ukachonga sanamu yako na ukasema ni mungu, hakuna kosa.
Kosa ni kutumia Kanisa na Biblia ambayo ilikuwepo maelfu ya miaka kutakasa uungu wako na kuaminisha watu wengine.
Kumbuka alishawah walisha nyasi waumini wake, ina maana aliwaaminisha kuwa wao ni Ng'ombe.
Mtu kama huyu ana nia ya dhati ya kudhuru watu, anatakiwa athibitiwe.
Yatatokea ya Kibwetere na wafuasi wake.
Dini gani? Twambie nduguzumaridi ni mkristo? Acha mzaha basi!
Kama paulo alivofanyaNi sahihi kwa sababu hakuna mwenye uhakika na ushahidi wa ukweli halisi zaidi ya kubuni
umeambiwa anajiita mungu, mungu ana dini?Dini gani? Twambie ndugu
Ipo siku utashindwa kubeba mimba ya mumeo na kuilaumu ccmWaambie sisiem wenzio wawaamuru polisisiem wamwache mungu wa mataahira waliotiwa utaahira na sisiem
Ukweli haujifichiumeambiwa anajiita mungu, mungu ana dini?
Mimi sio mfuasi wa mfalme zumaridi na simjui na sijawahi kuonana nae ! Nachokipenda kwa zumaridi ni shepu yake safi 👏tatizo langu ni jeshi la polisi mara zote wanamkamata kwa kosa hasa la yeye kujiita MUNGU !!
Si mara moja bali ni mara zote zumaridi amekuwa akijiita mungu na wafuasi wake maelfu ya watu wenye akili timamu ,wasomi na wasio wasomi wamekubali kwamba yeye ni mungu wao !! Ikiwa jeshi la polisi linamashaka na uungu wake ama polisi wao wanae mungu halisi ambae sio mfalme zumaridi itakuwa zumaridi anapotosha watu ,kwa hivyo nalishauri jeshi la polisi pasi na shaka yoyote wamlete huyo mungu wa kweli mahakamani ili kuthibitisha uongo wa mfalme zumaridi ,
Soma Pia: Mfalme Zumaridi akamatwa na Polisi Mwanza
Na kama polisi watashindwa kumleta Mungu halisi mahakamani basi mfalme zumaridi hana hatia yoyote !!! Kwa habari ya kelele waanze nà makanisa yote nchi nzima wachungaji wote wawekwe ndani kwa sababu hakuna kanisa kwa Sasa ambalo Lina soundproof na kwa habari ya kwamba kanisa lake halijasaliwa ukweli ni kwamba asilimia 75 ya makanisa ya kiroho hayajasajiliwa kabisa !!
Mtu tu anaamka anasema hili ni kanisa linaitwa mganguzi basi iyena iyena ! Wakamatwe wachungaji wote ambao hawajasajili makanisa wawekwe korokoroni !! Hapo mtakuwa mmefanya kwa usawa lakini kumlenga zumaridi pekee ni kumuonea !!!
Watu wenye kusema hivyo hupotosha tu maksudi ila kilichotokea ni ulimi hauna mfupa na alisahisha palepale ila watu wameshikilia kama Kabudi alikusudia kusema hivyo. Ni sawa na Mbowe aliwahi kutamka akisema "ccm wenzangu" akiwa jukwaani ila watu walijua hakukusudia ulimi tu hauna mfupa.Hivi ni kweli huyo Kabudi ameshawahi kumwita Magu ni mungu? Mwenye hiyo clip basi apost nipate kuthibitisha uzwazwa wa huyu Mzee 😂😂
Hata mtume alifanya alilohisi ni sawa kwa kuanzisha uislam.Ukristoni kila mtu anafanya analolihisi yy ni sawa
Pumba na mchele zitajitengaWatu wenye kusema hivyo hupotosha tu maksudi ila kilichotokea ni ulimi hauna mfupa na alisahisha palepale ila watu wameshikilia kama Kabudi alikusudia kusema hivyo. Ni sawa na Mbowe aliwahi kutamka akisema "ccm wenzangu" akiwa jukwaani ila watu walijua hakukusudia ulimi tu hauna mfupa.
Akikwambia hata Yesu alipitia hiyo hali utajibu nini?Yesu WA Tongeren.
Yohana mbatizaji Kenya.
Jehovahsua Kenya
Mfalme(Mungu) Zumaridi Tz
Nabii Mkuu Geordavid Tz .
Hawa kwanini wasikutanishwe kwenye mdahalo Sisi tusioelewa tuulize maswali wote wakiwa pamoja .
Mimi nitaenda Sana kuuliza iili swali Je tutarajie kwamba kuna siku na nyinyi mtapatwa na umauti?