Kama mfalme Zumaridi sio Mungu basi jeshi la polisi limpeleke Mungu halisi mahakamani kuthibitisha uongo wa mfalme Zumaridi

Hilo ni kosa kisheria au kiimani?
 
Hilo ni kosa kisheria au kiimani?
Katiba inagusa watu na wananchi husika.

Chochote unachofanya hata kama kikigusa kiimani na watu wengi wakafuata ila kikiwa hakikubaliki kikatiba ni Jinai.

Yeye kama amesema ni mungu kweli, amesemea kanisa gan? Limesajiliwa? Na je ametumiq Biblia ambao Roman, KKKT, TAG, SDA wanatumia,
Waumini wa haya makanisa watajisikiaje?
Na hili sasa ndio Kosa lake kijinai.
Kwasababu italeta taaluki kwa jamii.
Na katiba inakataza kufanya jambo ambalo litaleta taaruki.

Anaweza akisema yeye mungu hana kosa, ila matokeo ya mpokeo ndio yakaleta jinai
 
Yesu WA Tongeren.

Yohana mbatizaji Kenya.


Jehovahsua Kenya


Mfalme(Mungu) Zumaridi Tz

Nabii Mkuu Geordavid Tz .


Hawa kwanini wasikutanishwe kwenye mdahalo Sisi tusioelewa tuulize maswali wote wakiwa pamoja .


Mimi nitaenda Sana kuuliza iili swali Je tutarajie kwamba kuna siku na nyinyi mtapatwa na umauti?
 
Hizi ni hisia zako tu hakuna sheria iliyovunjwa
 
Taharuki umejiletea wewe na ujinga wako,hajakuita kanisani kwake ,na wafuasi wake wanamuelewa,dini zote ni upuuzi .kama zimekubaliwa tusipangiane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…