Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #21
Kaa kwa kutulia mpaka umalize dawa na siyo kuanza kulialia hapaHaya kaoshe vyombo uje uliwe kimaskhara
Kuna tusi hapo mwashamba mshambaWewe endelea kutukana tu maana nafahamu akili yako ni mbovu.
Mpaka unywe sumu maana naona tayari akili imeanza kukurukaMke kumsema sema mumewe ni kawaida
Huwezi ukaelewa maana huna akili.Kuna tusi hapo mwashamba mshamba
Ndugu zangu Watanzania,
Kujenga chama siyo lelemama,siyo kazi nyepesi wala rahisi wala kazi ya Mzaha mzaha.kujenga chama na kuwafikia wanachama na kutafuta wanachama wapya na kueneza sera ,itikadi ,misimamo na ajenda za chama Ni kazi Ngumu sana.
Ni kazi ya jasho na Damu,ni kazi ya kujitoa na kujitolea,ni kazi ya suruba lakini kubwa kuliko yote ni kuwa kujenga chama ni gharama kubwa sana tena sana inayohitaji rasilimali fedha za kutosha pamoja na watu wa kutosha na wenye weledi,ushawishi na kukubalika kwa watu.
Ndio Maana kuna vyama vinajitokezaga katika kutoa matamko tu au kuchukua Fomu ya Urais na kwenda kujifungia makabatini bila kwenda kufanya kampeni walau hata kata moja tu ndani ya wilaya moja tu. Ndio maana vipo vyama vingi tu hapa Nchini havina uwezo wala ubavu wa kuandaa mkutano au mawakala au kuweka mawakala katika kila kituo au kusimamisha wagombea katika kila nafasi na maeneo mbalimbali.
Hii ni kwa kuwa havina pesa wala watu wa kuvisaidia wala kuvichangia hata mafuta ya gari la kukodi wala hata pesa ya kukodi meza ya kuweka vitabu na makabrasha yao.
Chama kama CHADEMA kinahitaji kuwa na Mwenyekiti aina ya Mwamba na Jabali la siasa Mheshimiwa Mbowe mwenye Uwezo binafsi wa kiuchumi,marafiki kibao wenye pesa na uwezo mzuri wa kiuchumi,ushawishi wa jumuiya mbalimbali kuanzia wafanyabiashara wakubwa ,baadhi ya watumishi wa umma,wadau mbalimbali ndani na nje ya Nchi n.k.ambao wanaweza kukichangia chama hadharani na gizani kama ilivyokuwa kwa watu kama SABODO.
Ifahamike ya kuwa Ruzuku pekee ya chama haitoshi na ni kidogo sana kuweza kuendesha shughuli zote za chama kuanzia makao Makuu mpaka huku chini kabisa.kuzunguka nchi nzima na kufanya mikutano Maeneo mbalimbali ni gharama kubwa sana.hapo bado kipindi cha uchaguzi ambacho kinahitai pesa za kutosha kwa ajili ya zoezi hilo gumu,zito na lenye gharama kubwa sana katika kukamilisha mchakato wake wa kuhakikisha chama kinakuwa na uwezo wa kutoa ushindani wa kutosha.
Mbowe alijitahidi sana kukiwezesha chama kupata ufadhili kutoka kwa watu mbalimbali kutokana na ushawishi alio nao.
Lakini Leo hii CHADEMA ijiroge impatie Lissu uenyekiti wa chama Taifa ni wakati imesaini hati ya Kifo.Kwa sababu lissu hana ushawishi kwa watu kuweza kukichangia na kukiwezesha chama katika shughuli za kichama,lissu hana ushawishi kwa makundi muhimu yenye uwezo wa kukichangia chama mfano wafanyabiashara na matajiri wakubwa wakubwa.
Kwa sababu watu hao hawawezi na hawataki ukaribu na lissu kwa sababu wanajua lissu ni mropokaji , mkurupukaji na mwenye Mihemuko sana.ikumbukwe watu aina hiyo wanapenda kusaidia pasipo kujulikana au kutaka hata kutajwa hadharani.lakini kwa Mdomo wa lissu wanajua kuwa haujawahi kuwa na utulivu wala kutulia.ndio maana hawawezi kamwe kuwa karibu naye na kutaka mazoea naye iwe hadharani au gizani.
Hivyo basi chama kinaweza kukosa misaada na hivyo kushindwa kabisa kufanya lolote lile la maana la kujijenga .ikumbukwe ya kuwa uhai wa chama ni kuwepo midomoni mwa watu muda wote.na ili kufanikiwa katika hili ni kukipeleka kwa watu kila siku kwa ajenda,sera,n.k.
Sasa huyu lissu ameshindwa hata kupata na kutimiza michango ya kununulia gari la kutembelea. karibu mwaka sasa anahangaika tu kukusanya na bado haitoshi .ni vipi sasa atapata misaada kwa ajili ya kukijenga chama? Kama Ameshindwa kuwa na ushawishi kwa watu ndani na nje ya Nchi kumsaidia kupata gari mpya ni vipi ataiwezesha CHADEMA kupata uungwaji mkono kutoka kwa watu wenye uwezo na ushawishi? Hamuoni kuwa lissu amezungukwa na watu wababaishaji na wasio na misaada na mchango wowote ule? Sasa watu kama akina SATIVA ndio watasaidia nini kwa CHADEMA? Watu kama akina Maria Sarungi wataisaidia nini CHADEMA zaidi ya kuimaliza na kuingamiza?
CHADEMA ni wakati wenu wa kumpigia kura za ndio Mheshimiwa Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za Upinzani kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima .Msikosee wala kufanya majaribio katika jambo hilo nyeti na lenye kubeba Uhai wa chama.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sawa nikopeshe akili zako basi. Afu hivi kuna maslahi unapata ili nikusaidie kuedit nyuzi zakoHuwezi ukaelewa maana huna akili.
Amka hapo Sasa Kuna mvua za vuli...nenda safisha shamba anza kulima mkuu..achana na mbowe na lisu..Ndugu zangu Watanzania,

Jibu hoja na siyo kupuyanga na VirojaNaona ushapewa maelekezo na posho
Jibu hoja na siyo kupuyanga na Viroja
Maelekezo kutoka kwa nani.Si juzi tu kabla ujapata maelekezo ulikuwa unaongea tofauti au?
Habarii ndugu yangu Lucas mwashabwaa,ninakuja Tena kwako kwa unyenyekevu mkubwa kuomba connection kwako ya kuwa Chawa kama wewe ndugu yangu naahidi kufanya kazi kwa uaminifu mkubwaa na nitajitoa akili kabisaa ili niweze kufanya kazi ya uchawaa kwa uweledii mkubwa kama wewe.Ndugu zangu Watanzania,
Kujenga chama siyo lelemama,siyo kazi nyepesi wala rahisi wala kazi ya Mzaha mzaha.kujenga chama na kuwafikia wanachama na kutafuta wanachama wapya na kueneza sera ,itikadi ,misimamo na ajenda za chama Ni kazi Ngumu sana.
Ni kazi ya jasho na Damu,ni kazi ya kujitoa na kujitolea,ni kazi ya suruba lakini kubwa kuliko yote ni kuwa kujenga chama ni gharama kubwa sana tena sana inayohitaji rasilimali fedha za kutosha pamoja na watu wa kutosha na wenye weledi,ushawishi na kukubalika kwa watu.
Ndio Maana kuna vyama vinajitokezaga katika kutoa matamko tu au kuchukua Fomu ya Urais na kwenda kujifungia makabatini bila kwenda kufanya kampeni walau hata kata moja tu ndani ya wilaya moja tu. Ndio maana vipo vyama vingi tu hapa Nchini havina uwezo wala ubavu wa kuandaa mkutano au mawakala au kuweka mawakala katika kila kituo au kusimamisha wagombea katika kila nafasi na maeneo mbalimbali.
Hii ni kwa kuwa havina pesa wala watu wa kuvisaidia wala kuvichangia hata mafuta ya gari la kukodi wala hata pesa ya kukodi meza ya kuweka vitabu na makabrasha yao.
Chama kama CHADEMA kinahitaji kuwa na Mwenyekiti aina ya Mwamba na Jabali la siasa Mheshimiwa Mbowe mwenye Uwezo binafsi wa kiuchumi,marafiki kibao wenye pesa na uwezo mzuri wa kiuchumi,ushawishi wa jumuiya mbalimbali kuanzia wafanyabiashara wakubwa ,baadhi ya watumishi wa umma,wadau mbalimbali ndani na nje ya Nchi n.k.ambao wanaweza kukichangia chama hadharani na gizani kama ilivyokuwa kwa watu kama SABODO.
Ifahamike ya kuwa Ruzuku pekee ya chama haitoshi na ni kidogo sana kuweza kuendesha shughuli zote za chama kuanzia makao Makuu mpaka huku chini kabisa.kuzunguka nchi nzima na kufanya mikutano Maeneo mbalimbali ni gharama kubwa sana.hapo bado kipindi cha uchaguzi ambacho kinahitai pesa za kutosha kwa ajili ya zoezi hilo gumu,zito na lenye gharama kubwa sana katika kukamilisha mchakato wake wa kuhakikisha chama kinakuwa na uwezo wa kutoa ushindani wa kutosha.
Mbowe alijitahidi sana kukiwezesha chama kupata ufadhili kutoka kwa watu mbalimbali kutokana na ushawishi alio nao.
Lakini Leo hii CHADEMA ijiroge impatie Lissu uenyekiti wa chama Taifa ni wakati imesaini hati ya Kifo.Kwa sababu lissu hana ushawishi kwa watu kuweza kukichangia na kukiwezesha chama katika shughuli za kichama,lissu hana ushawishi kwa makundi muhimu yenye uwezo wa kukichangia chama mfano wafanyabiashara na matajiri wakubwa wakubwa.
Kwa sababu watu hao hawawezi na hawataki ukaribu na lissu kwa sababu wanajua lissu ni mropokaji , mkurupukaji na mwenye Mihemuko sana.ikumbukwe watu aina hiyo wanapenda kusaidia pasipo kujulikana au kutaka hata kutajwa hadharani.lakini kwa Mdomo wa lissu wanajua kuwa haujawahi kuwa na utulivu wala kutulia.ndio maana hawawezi kamwe kuwa karibu naye na kutaka mazoea naye iwe hadharani au gizani.
Hivyo basi chama kinaweza kukosa misaada na hivyo kushindwa kabisa kufanya lolote lile la maana la kujijenga .ikumbukwe ya kuwa uhai wa chama ni kuwepo midomoni mwa watu muda wote.na ili kufanikiwa katika hili ni kukipeleka kwa watu kila siku kwa ajenda,sera,n.k.
Sasa huyu lissu ameshindwa hata kupata na kutimiza michango ya kununulia gari la kutembelea. karibu mwaka sasa anahangaika tu kukusanya na bado haitoshi .ni vipi sasa atapata misaada kwa ajili ya kukijenga chama? Kama Ameshindwa kuwa na ushawishi kwa watu ndani na nje ya Nchi kumsaidia kupata gari mpya ni vipi ataiwezesha CHADEMA kupata uungwaji mkono kutoka kwa watu wenye uwezo na ushawishi? Hamuoni kuwa lissu amezungukwa na watu wababaishaji na wasio na misaada na mchango wowote ule? Sasa watu kama akina SATIVA ndio watasaidia nini kwa CHADEMA? Watu kama akina Maria Sarungi wataisaidia nini CHADEMA zaidi ya kuimaliza na kuingamiza?
CHADEMA ni wakati wenu wa kumpigia kura za ndio Mheshimiwa Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za Upinzani kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima .Msikosee wala kufanya majaribio katika jambo hilo nyeti na lenye kubeba Uhai wa chama.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Lucas Mwashambwa wewe chawa kubwa njoo utupe connection za uchawaHabarii ndugu yangu Lucas mwashabwaa,ninakuja Tena kwako kwa unyenyekevu mkubwa kuomba connection kwako ya kuwa Chawa kama wewe ndugu yangu naahidi kufanya kazi kwa uaminifu mkubwaa na nitajitoa akili kabisaa ili niweze kufanya kazi ya uchawaa kwa uweledii mkubwa kama wewe.
Natumaini ombi langu utalikubalia.
Wako mtiifu,
Ytfyy,
Mzalendo wa kwelii.
Kweli kabisa huyu ndio Lucas mwanshamba
Sasa hiyo inahusiana nini na kuweza au kutoweza michango? Ikiwa Lisu yeye mwenyewe angekuwa ndio alianzisha kampeni ya michango ya gari lake, hapo ungesema michango ilimshinda. Lakini yeye hakuomba au kuhamasisha hiyo michango, sasa utasemaje ilimshinda? Kwa mfano, CCM walichangia. Lisu aliwaomba wamchangie ndio akafanikisha kuchangiwa na CCM?Lissu anataka michango au hataki Michango?
Jibu swali na siyo kutoa mimaelezo mirefu isiyo na mantiki wala mashiko hapa.Sasa hiyo inahusiana nini na kuweza au kutoweza michango? Ikiwa Lisu yeye mwenyewe angekuwa ndio alianzisha kampeni ya michango ya gari lake, hapo ungesema michango ilimshinda. Lakini yeye hakuomba au kuhamasisha hiyo michango, sasa utasemaje ilimshinda? Kwa mfano, CCM walichangia. Lisu aliwaomba wamchangie ndio akafanikisha kuchangiwa na CCM?
Unajua sasa nimeelewa kwa nini na jitihada yako ya kumsifia Samia na CCM na kuweka namba zako za simu hata siku moja hujapewa hata ubalozi wa nyumba kumi ndani ya CCM. Wameshakuona huna uwezo wa kufikiri na inaonekana IQ yako iko chini sana. Mtu akisema Watanzania tuna akili kama Mwasha-mbwa ni tusi kubwa sana kwangu la kufanya niukane uraia!
Ni kupoteza muda wangu kuongea issue kama hii na mtu asie na uwezo wa kuelewa kiasi hiki. Tafuta kitu kingine cha kusifia watu wako achna na mambo ya Mbowe na Lisu, hayakuhusuJibu swali na siyo kutoa mimaelezo mirefu isiyo na mantiki wala mashiko hapa.
Haya kachukue laki yako kwa DJ nkurunzinza...kazi uliyotumwa umeifanya...japo kichwani ni ziroNdugu zangu Watanzania,