Kama michango ya kununua gari tu imemshinda Lissu kuitimiza. Sasa ni vipi atakusanya mamilioni ya pesa kwa ajili ya Uchaguzi na kujenga Chama?

Kuna jambo haliko sawa, Lissu alikuwa mbunge na magari ya wabunge yalinunuliwa yakiwa MAPYA SIO RECONDITION.Magari mapya ni rahisi kupata compressive insurance sio third party insurance.
Mheshimiwa Lissu mwenye kujikita na kujua sheria inakuwaje bila aibu anachangisha hadi walalahoi pesa ya gari kubwa huku akijua ana compressive insurance ya gari husika ambayo unalipwa gari mpya?
Lissu ni mbinafsi sana,mchague ili chadema imalizike.
Kwanza hana mapenzi na nchi yetu.
Kumbuka kwa tambwe zake alitaka ndege zetu zikamatwe popote duniani zilipo,amesahau wananchi ndio wenye ndege hizo.
 
Lisu hakuchangisha, bali watu waliamua kumchangia baada ya kuliona gari lake alipoenda kulichukua polisi. Kwa nini hamuelewi? Hakuna siku Lisu alitoa tamko kuomba watu wamchangie, bali watu walipoamua kumchangia hakuwazuia. Mnatumia nini kama ubongo?
 
Sisi sio Wajumbe bwana ambianeni huko kwenye chama cheni na mum Hague mbayemuona atawavusha. Tusio wanachama hayatuhusu.
 
My dear country man Lissu is a fraud.
Ukitaka kujua aliyonayo moyoni apande jukwaani na KVANT mfukoni ata rap sana.
Hana mipaka,hana privacy yupo yupo tu.
Lissu ni manipulator with zero acknowledgement period.
 
Kinachofurahisha hata wanalumumba wenzio wanakupuuza sababu huna msimamo kama malaya unatoa huduma kulingana na dau alilokuja nalo mtu.

Kuna missed call yako hapo
 
Sasa wewe ndio unazidi kujitoa ufahamu. Lisu ilikuwa lazima atoe kiasi kilichopataikana, lakini ulimsikia akihamasisha uchangiaje? Yaani watu wengine bwana sijui mlisoma shule gani. Labda hamkusoma, ndio tatizo.
UWT huwa hawaendi shule
 
Maajabu ya Mungu, hiyu chawa wa ccm kumbe pia ni chawa wa Mbowe? Hapo kuna harufu ya panya
 
Pesa ya msaada wa chama hailetwi na mbowe bali huletwa kwa sababu ya wanachama wote wa chadema, Mbowe kaiba pesa zote hataki kumnunulia gari makamu lazima watu wachange na hiyo pesa imechangwa imetosha kuonyesha kuwa ana watu ingawa wewe umeiona ni ndogo, mwambie mbowe peke yake aombe mchango kama atachangiwa, kila mmoja anajua uchoyo ubinafsi wa mbowe pesa zote za chama anamiliki yeye binafsi hata katibu mkuu wa chadema hana mamlaka juu ya pesa za chama, Mbowe hakubaliki kwa Wajumbe wenye Akili Timamu ndiyo maana anahaha kuununua uenyekiti kwa gharama yeyote kukwepa Aibu na fedheha pindi akiingia mwenyekiti mpya
 
Mbowe ni mchoyo amejaa ubinafsi na sasa anajuuta kugombea uenyekiti na Lisu kwani imemfanya kuishi kwa hofu na pressure kubwa huku chawa wakitumia fursa hizo kula pesa zake kwa wingi sana
 
Wewe umechangisha nini na ukafanikiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…