Kama misikiti inaweza kujengwa mitaani kwa uhuru, kwanini kujengwa kwa makanisa kuwe kero Zanzibar?

Kwa kweli mswahili hana ustaarabu na hata umpigie kelele yeye sawa tu kama mbuzi tu

Unaingia kwenye Bus mziki mpaka mwisho sasa umeingia disco au unasafiri ukiwa na mambo yako kama unaenda msibani, au unaumwa uko hoi au unajisomea

Kanisa unakuta limeweka speakers nje makubwa na mziki kelele na fujo bila haya na majitu yanaona sawa tu wakati baba yake kalala ndani ana maradhi ya moyo
Ukiliuliza eti Sasaaa tufanye nini

Madukani mtu anaweka speaker la Matangazo masaa 10 bila kulizima na maneno yanajirudia yale yale mpaka majirani wanakariri mpo tu

Acheni ujinga na kukaa kusema ooh kila mtu ana uhuru wake

Badilikeni na nyie kelele mnaona sawa tu kwa sababu akili mbovu

Mimi nimetoa povu langu na mwingine apinge na sababu zake sasa
 
Ndio ni wavamiz, kwan ikiwa wenyeji wote ni islam kwnn muwaazimishe kuwapelekea kanisa? Waangalie maeneo ambayo yatakuwa na wafuasi wao wa kikristu ndo wakajenge huko
 
Ukwel gan wa mungu kuuwawa na watu wake msalaban na ilhal muda huohuo anamuomba mungu amnusuru

Ukwel mnapaswa muujue ninyi ambao mungu wenu aliuwawa msalaban akafufuka ndan ya sik tatu na hujiuliz ixo siku tatu nan alikuwa anaendesha dunia

Kipimo cha ubora wa imani yako ni kuruhusu imani zingine zishindane
 
Hapa mtaani kuna kajamaa katikati ya mtaa kamezungusha maturubai basi kuanzia ijumaa usiku ni makelele ya kuimba na kuongea mpaka jumapili. Watu wenyewe hawafiki kumi.hii ni kero kwakweli
 
Hilo jina la yesu kabla halijaja huko zanzibar mbona walikua wametulia na maisha yao? Kwanini mkija nyie na maigizo yenu watu wanaanza kujifanya wanaanguka na kuguta hovyohovyo? Wacheni utapeli nendeni mkalime hela hazitafutwi kirahisi rahisi namna hiyo.
 
Mkuu sio kujenga makanisa tu hata mtanganyika kununua na kumiliki kipande cha ardhi huko visiwani ni ndoto ya alinacha tena ukiwa mgalatia ndio usahau kabisa
Kwann utake ardhi zanzibar na umeacha huku bara ardhi ipo kubwa tuuu na ukenda huko kuwasumbua watu wana kiardhi kidogo sana, mi niko bara lakin nawasapo kwa hilo la mm n wew wabara kutopata ardhi kule
 
Mbona misikiti ipo uswahilini fresh tu?
Kwhaiyo ukimkuta mtu anajisaidia popote, na wewe utajisaidia popote? Siujui ukristo unaokubaliana na mambo ya kupuuzi. Lazima watu wawe civilised. Hatuwezi kufanya mambo ya kijinga kwa sababu waislamu wa Tanzania (Siyo wale wa Uarabuni) wamejaa ujinga.
 
Dah Ila Hawa jamaa Ni wajinga sijapata kuona...au kwasababu hawaendagi shule wanaishia madrassa Tu?
 
Uislam Ni Dini moja ya kionevu Sana Tena ukiwa majority..lakini huwa wanapenda kulialia Sana Kila kitu wao Tu ndo wanaonewa wakiwa minority...ndo maana hapa Tz wanalalamika Kuna mfumo kristo
 
Mkuu sio kujenga makanisa tu hata mtanganyika kununua na kumiliki kipande cha ardhi huko visiwani ni ndoto ya alinacha tena ukiwa mgalatia ndio usahau kabisa
Vipi Waarabu wanaruhusiwa kununua? Huku Bara mbona wao wananunua?
 
Ni sawa lakini Kilimanjaro inamjumuiko mkubwa kwa hiyo kuwepo misikiti mingi sio jambo la kustaajabisha.
Tulikuwa tunazungumzia ukubwa wa eneo, idadi ya wenyeji na Imani zao na idadi ya nyumba za ibada za upande wa pili.
Ni kweli ila kikubwa tuvumiliane tu hakuna namna.
Dini isiwe sababu ya kutufarakanisha wengine tuna ndugu wa damu ni waislam/wakristo
 
Zenji imejaa masikini wasio na elimu kwa maana hiyo wengi ni vilaza, sehem kama zenji usitegemee watafurahia wakiona mgeni unafanya maendeleo lazima watajaa wivu wafanye upumbav wao...
All in all acha waendelee kuwa wajinga tunafaidika na ujinga wao
 
Sahii kabisa,
Mimi Ni mkristo ila napingana vikali na mtoa mada.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe sio mkristo wewe ni mamruki hata siku moja mkristo hawezi furahia kuona injili ya kristo ina hujumiwa..na akafurahia.

Kuhusu hicho kilichofanyika zenji sio cha kiungwana kabisa...sijui wao wakibomolewa miskiti kama watafurahi..nadhani kinachowasumbua ni ujinga na upumbafu..halafu unalinda utamaduni mbele ya mwafrika mbona wazungu wanatembea na vikaptula vichupi hawasemi kitu..ujinga..umafikini na dini ni janga kwa waafrika.

Ila huu ndio mwanzo...tunaandika...mbona watafurahi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…