Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kwa kweli mswahili hana ustaarabu na hata umpigie kelele yeye sawa tu kama mbuzi tu
Unaingia kwenye Bus mziki mpaka mwisho sasa umeingia disco au unasafiri ukiwa na mambo yako kama unaenda msibani, au unaumwa uko hoi au unajisomea
Kanisa unakuta limeweka speakers nje makubwa na mziki kelele na fujo bila haya na majitu yanaona sawa tu wakati baba yake kalala ndani ana maradhi ya moyo
Ukiliuliza eti Sasaaa tufanye nini
Madukani mtu anaweka speaker la Matangazo masaa 10 bila kulizima na maneno yanajirudia yale yale mpaka majirani wanakariri mpo tu
Acheni ujinga na kukaa kusema ooh kila mtu ana uhuru wake
Badilikeni na nyie kelele mnaona sawa tu kwa sababu akili mbovu
Mimi nimetoa povu langu na mwingine apinge na sababu zake sasa