Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhuru wa kabudu..hata akiwa mmoja..wewe ulitaka wawe wangapi ndio uridhike na ibada..sidhani kama uislamu unaruhusu chuki kwa dini zingine..Kuna makanisa mtaani zaidi ya 6 moja limezidi kelele kuna siku nimechungulia ndani wapo wawili tu ila hizo kelele nje kama wapo million 2[emoji51][emoji51]
Imani bora ushinda imani dhaifuHicho kipimo itakuwa ni kwa mujibu wako wewe.
Acha injili ihubiriwe ili muokolewe ile siku mwana wa adamu atakapo kuja..tarajia mission nyingi sana kuja zenji mana tayari imeonekana mnaleta ukinzani dhidi ya kanisa.Ndio ni wavamiz, kwan ikiwa wenyeji wote ni islam kwnn muwaazimishe kuwapelekea kanisa? Waangalie maeneo ambayo yatakuwa na wafuasi wao wa kikristu ndo wakajenge huko
Ulitaka wawe wangapi?ili uone ni ibada stahiki kwako..chuki na wivu tu..hiyo ni dalili mbaya kwako uko na mapepo.Hapa mtaani kuna kajamaa katikati ya mtaa kamezungusha maturubai basi kuanzia ijumaa usiku ni makelele ya kuimba na kuongea mpaka jumapili. Watu wenyewe hawafiki kumi.hii ni kero kwakweli
Hata kama kelele zipigwe marufuku wanakiomba kitu gani zaidi ya kutamka eeee bwana eeee bwana na kilio juuUhuru wa kabudu..hata akiwa mmoja..wewe ulitaka wawe wangapi ndio uridhike na ibada..sidhani kama uislamu unaruhusu chuki kwa dini zingine..
#MaendeleoHayanaChama
Ukombozi gani hali ya kuwa Yesu alipogiliwa misumali kuwakomboa nyinyiAcha injili ihubiriwe ili muokolewe ile siku mwana wa adamu atakapo kuja..tarajia mission nyingi sana kuja zenji mana tayari imeonekana mnaleta ukinzani dhidi ya kanisa.
Soon ukombozi unakuja..
#MaendeleoHayanaChama
Wayabomoe basi kwakua tayari yapo katikati ya makazi ya watu.
Hayo mapepo nadhani watakua nayo hao wanaopiga makelele na kuguta guta hovyo [emoji1787][emoji1787]Ulitaka wawe wangapi?ili uone ni ibada stahiki kwako..chuki na wivu tu..hiyo ni dalili mbaya kwako uko na mapepo.
#MaendeleoHayanaChama
Wawaache wa-waste hizo resource si za kwaoo kwani wameomba mchango?Jibu ni jepesi and its clear They can'tstand the name of Jesus.Kuna ushetani mwingi sana hivyo Jina La Yesu linapotajwa kuna watu wanaathirika na mambo yao hivyo watatafuta kila excuse ya kuzuia injili isienee.
maadili gani mliyo nayo nyie mashoga???Naam walifanya vizur hawatak madhalimu huko wanalinda maadili
ukiwa na akili ya madrasa tuu huwezi kuelewa chochote.Ukwel gan wa mungu kuuwawa na watu wake msalaban na ilhal muda huohuo anamuomba mungu amnusuru
Ukwel mnapaswa muujue ninyi ambao mungu wenu aliuwawa msalaban akafufuka ndan ya sik tatu na hujiuliz ixo siku tatu nan alikuwa anaendesha dunia
ndio maana katumbuliwaNdio maana lukuvi alisema waislamu ni magaidi ndio maana tanganyika inaidhibiti zanzibar
utafanyeje ndugu yangu maustazi na mizuzu yao yametoa macho kwanzia dere, konda Hadi abiria shuuuukaaaa yakheeee, nikaashuka tuu maana yanaweza kuwa yameficha majambia kwenye kanzu zao...na wewe ukaubali kushushwa kwenye gari kwa sababu hiyo..?
soma post namba 71 kwenye huu uziUnataka kubalance story sehemu gani Moshi wanakataa kujenga misikiti?
Machame 98% ni christians lakini misikiti ipo c chini ya 4 na msikitini mwingine unajengwa nkweshoo,mbona hakuna hizo chokochoko za kubomoa misikiti?
Kinachowasumbua huvumilivu kwenu ni 0 ,na mkienda ugenini mnataka wenyeji waifate Imani yenu kilazima watake wasitake lakini watu wapo cool tu
Bas kaa kwa kutulia na muache kulalamika kunjiwa kwenu makanisa, mbona zumaridi hata hamtaki kumapoti kwamba uhuru wa kuabudu nae ana haki ya kufuga watu km wafuasi wake? La zanzibar ndo mnalibebea mbeleko zoteAcha injili ihubiriwe ili muokolewe ile siku mwana wa adamu atakapo kuja..tarajia mission nyingi sana kuja zenji mana tayari imeonekana mnaleta ukinzani dhidi ya kanisa.
Soon ukombozi unakuja..
#MaendeleoHayanaChama
Utasubir sana hadi unakufa mkristo kutawala zanzibarIli Zanzibar iwe kama bar, basi haitakuja kutokea mpaka mtawala haswa Rais atoke kwenye dini ya kikristu,
Zanzibar uvumilivu wa kidini ni ZERO kabisa kabisa na kitu ambacho hata hakikemewi na wakuu wa nchi