Kama misikiti inaweza kujengwa mitaani kwa uhuru, kwanini kujengwa kwa makanisa kuwe kero Zanzibar?

Kama misikiti inaweza kujengwa mitaani kwa uhuru, kwanini kujengwa kwa makanisa kuwe kero Zanzibar?

Kuna makanisa mtaani zaidi ya 6 moja limezidi kelele kuna siku nimechungulia ndani wapo wawili tu ila hizo kelele nje kama wapo million 2[emoji51][emoji51]
Uhuru wa kabudu..hata akiwa mmoja..wewe ulitaka wawe wangapi ndio uridhike na ibada..sidhani kama uislamu unaruhusu chuki kwa dini zingine..

#MaendeleoHayanaChama
 
Wagawe, watawale kisha uwafanye watakavyo! Kunusuru hili kwanza ni kuzikataa hizi dini ambazo zinashindwa kujitetea zenyewe mpaka zitetewe kwa upanga na marisasi na mabomu!

Dini zinaeneza chuki tu baina yetu, zinatugawa na zinatufanya kuwa watumwa huru..
 
Ndio ni wavamiz, kwan ikiwa wenyeji wote ni islam kwnn muwaazimishe kuwapelekea kanisa? Waangalie maeneo ambayo yatakuwa na wafuasi wao wa kikristu ndo wakajenge huko
Acha injili ihubiriwe ili muokolewe ile siku mwana wa adamu atakapo kuja..tarajia mission nyingi sana kuja zenji mana tayari imeonekana mnaleta ukinzani dhidi ya kanisa.

Soon ukombozi unakuja..

#MaendeleoHayanaChama
 
Hapa mtaani kuna kajamaa katikati ya mtaa kamezungusha maturubai basi kuanzia ijumaa usiku ni makelele ya kuimba na kuongea mpaka jumapili. Watu wenyewe hawafiki kumi.hii ni kero kwakweli
Ulitaka wawe wangapi?ili uone ni ibada stahiki kwako..chuki na wivu tu..hiyo ni dalili mbaya kwako uko na mapepo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Uhuru wa kabudu..hata akiwa mmoja..wewe ulitaka wawe wangapi ndio uridhike na ibada..sidhani kama uislamu unaruhusu chuki kwa dini zingine..

#MaendeleoHayanaChama
Hata kama kelele zipigwe marufuku wanakiomba kitu gani zaidi ya kutamka eeee bwana eeee bwana na kilio juu
 
Ili Zanzibar iwe kama bar, basi haitakuja kutokea mpaka mtawala haswa Rais atoke kwenye dini ya kikristu,
Zanzibar uvumilivu wa kidini ni ZERO kabisa kabisa na kitu ambacho hata hakikemewi na wakuu wa nchi
 
Acha injili ihubiriwe ili muokolewe ile siku mwana wa adamu atakapo kuja..tarajia mission nyingi sana kuja zenji mana tayari imeonekana mnaleta ukinzani dhidi ya kanisa.

Soon ukombozi unakuja..

#MaendeleoHayanaChama
Ukombozi gani hali ya kuwa Yesu alipogiliwa misumali kuwakomboa nyinyi
 
Wawaache wa-waste hizo resource si za kwaoo kwani wameomba mchango?Jibu ni jepesi and its clear They can'tstand the name of Jesus.Kuna ushetani mwingi sana hivyo Jina La Yesu linapotajwa kuna watu wanaathirika na mambo yao hivyo watatafuta kila excuse ya kuzuia injili isienee.

Aliyekudanganya nani?
 
Ukwel gan wa mungu kuuwawa na watu wake msalaban na ilhal muda huohuo anamuomba mungu amnusuru

Ukwel mnapaswa muujue ninyi ambao mungu wenu aliuwawa msalaban akafufuka ndan ya sik tatu na hujiuliz ixo siku tatu nan alikuwa anaendesha dunia
ukiwa na akili ya madrasa tuu huwezi kuelewa chochote.
 
...na wewe ukaubali kushushwa kwenye gari kwa sababu hiyo..?
utafanyeje ndugu yangu maustazi na mizuzu yao yametoa macho kwanzia dere, konda Hadi abiria shuuuukaaaa yakheeee, nikaashuka tuu maana yanaweza kuwa yameficha majambia kwenye kanzu zao
 
Unataka kubalance story sehemu gani Moshi wanakataa kujenga misikiti?
Machame 98% ni christians lakini misikiti ipo c chini ya 4 na msikitini mwingine unajengwa nkweshoo,mbona hakuna hizo chokochoko za kubomoa misikiti?
Kinachowasumbua huvumilivu kwenu ni 0 ,na mkienda ugenini mnataka wenyeji waifate Imani yenu kilazima watake wasitake lakini watu wapo cool tu
soma post namba 71 kwenye huu uzi
 
Acha injili ihubiriwe ili muokolewe ile siku mwana wa adamu atakapo kuja..tarajia mission nyingi sana kuja zenji mana tayari imeonekana mnaleta ukinzani dhidi ya kanisa.

Soon ukombozi unakuja..

#MaendeleoHayanaChama
Bas kaa kwa kutulia na muache kulalamika kunjiwa kwenu makanisa, mbona zumaridi hata hamtaki kumapoti kwamba uhuru wa kuabudu nae ana haki ya kufuga watu km wafuasi wake? La zanzibar ndo mnalibebea mbeleko zote
 
Ili Zanzibar iwe kama bar, basi haitakuja kutokea mpaka mtawala haswa Rais atoke kwenye dini ya kikristu,
Zanzibar uvumilivu wa kidini ni ZERO kabisa kabisa na kitu ambacho hata hakikemewi na wakuu wa nchi
Utasubir sana hadi unakufa mkristo kutawala zanzibar
 
Back
Top Bottom