Kama miss grand ni JIhan, je nani anafaa kuwa miss jf?

Si bure unataka kunigombanisha na mdogo wangu.

Hebu niache ibakie hivyo hivyo. 😀

Wenye Mamiss wao watakuja wawataje ila kwangu naona mdogo wangu wa Kimanyema anafaa. 😂
Ila wewe bwanaa si kudhani kama utakuwa na tabia hii mbaya kwakweli, yaani huyu huyu bichwa anayesemaga yeye mwenyewe hajui jinsia yake..

Na anakomwe kubwa sana, mpaka lina PA uzi to kichwani awe miss jf kweli?

Hapana, aisee,

Sema basi ulisha wahi kuwa miss jf, maana kuna nyuzi nnilionaga kitambo wamekutaja wajuvi
 
labda JF MISS BANTU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…