Kama mke wako ni pisi Kali na anafanya kazi kwenye makao makuu ya halmashauri au kwa DC nakuapia wale vijana wa idara pendwa wakimtaka hachomoi

Unaweza usigonge wa mwezio lakini wako akagongwa.
Simba hawezi kukuacha msituni Lisa wewe hauli nyama ya Simba.
 
Hao labda ni informers tu, sio officers kamili wa TISS, hao ni vibaraka.

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Acha kabisa kusema hivi bro! Hii jinsia ina akili za ziada kuliko hiyo uliyonayo wewe hapo na kusema una muamini 100% unajidanganya sana haki tena. Mwanamke ana tabia kama Amoeba au kirusi, yaani anaishi kulingana na ugumu wa mazingira aliyopo wakati huo.
 
Next time usirudie, unless upo tayari kumpoteza.
Asante
 
Ila tu mke wa mtu ni sumu

Unaweza ukawa na nguvu nk

Ila ukakutana na mme chuma hakubali

Utashugulikiwa hutakuja sahau

Ova
Ukiwa na pesa na mamlaka unakula Tu,Mobutu alikula sana pisi za wasaidizi wake mfano mawaziri na ma gavana na amewahi kumchezea make wa balozi wa Zaire nchini ufaransa na JAMAa akiwepo hapo hapo na hakusema kitu Yani mke alotulia huku mumewe anacheka cheka
 
Japo sikusifii ila kuna hao wanawake, mi mke wangu hata sijawahi kuhisi achilia mbali kutia shaka, nimekutana nae karibia miaka 9 iliopita, nikamuoa miaka mitatu kasoro iliopita, Aisee acha
 
Usipime kina kwa kudumbukia, ipo siku hutaamini macho yako!!! Again don't ever trust a waman

Hapana mimi ni Legend najua. Huyu Dada ananipenda sana sana. Na Mimi nampenda na Kumheshimu mkuu.
Yaan daah kuna wanawake wanajua kupenda hadi raha yaan kila ukitazama kasoro yake ya kusema ni kasoro kubwa huioni. Mungu akuweke S..
 
Kama unayoyaongea ni ya kweli nachelea kusema wewe ni mpumbavu.

Na kinacho kupumbaza ni hiki ulichoandika hapa.
 
Alafu ukishajua utafanya Nini?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] itafahamika[emoji16][emoji16][emoji16] na kuwa kwake TISS ndo atajua kuwa wengine ni judge, jury and executioner,, kama nyinyi mnawaona ni demi gods ni nyie,,, eti kisa ana ka Glock 17 baaaas mnaogopaaa
 
Predator hiyo....kaliwa mchana mchana.

Kuna mafundi wako misitu huko ndanu ndani Satelite yenyewe inasuburi kutoa takwimu😀😀😀😀 wanazoom unaulizwa ndiyo huyu?
Ukisema ndiye basi kazi yaisha.Unatumwa ziwani huko unatupa mzigo.
Hesabh siku saa sekunde ndio hayo sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…