Kama mke wako ni pisi Kali na anafanya kazi kwenye makao makuu ya halmashauri au kwa DC nakuapia wale vijana wa idara pendwa wakimtaka hachomoi

Kama mke wako ni pisi Kali na anafanya kazi kwenye makao makuu ya halmashauri au kwa DC nakuapia wale vijana wa idara pendwa wakimtaka hachomoi

Sinning is heroism to the fools only, utombe shimo la mwenzio halafu ujisifie wakati huo shimo lako ukiamiani unatomba mwenyewe? Nuksi za kubeba husambaa. Think twice, thrice etc. Dont f.u.ck others belongings avoid at any cost. Hakuna watu fragile kama hao mbwa habari zikifika kwa wakubwa zao ni doa kubwa sana.
Unaweza usigonge wa mwezio lakini wako akagongwa.
Simba hawezi kukuacha msituni Lisa wewe hauli nyama ya Simba.
 
Mbona unaongea vitu vya hovyo, Hawa jamaa mbona njaa kali sana tunakaa nao na mikuki Yao ya bia kibao mara nauli, mkuu usiseme vitu ambavyo huna uhakika navyo kuwapaisha watu hawana lolote naongea kwa experience siyo hearsay!!
Mambo mengine siwezi zungumza hapa ila machache nimesema wazazi, madogo, binamu, Kaka, dada was there and others still there don't live live with assumptions man of God
Hao labda ni informers tu, sio officers kamili wa TISS, hao ni vibaraka.

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Wenzetu mnaoaga wanawake wa wapi? Sina mke ila Nina MPENZI. Nina muamini zaidi ya 100% na ni kisu cha haja with brain.
Naweza kua nae mbali miez hata miwili na hana tatizo na sijawahi ona dalili wala matendo ya uhuni. Kifup ni Mwanamke na Nusu.
Kwa anaebisha mimi najitolea kumpa namba ajaribu aone nachosema. Kifupi ni kisu na nusu
Acha kabisa kusema hivi bro! Hii jinsia ina akili za ziada kuliko hiyo uliyonayo wewe hapo na kusema una muamini 100% unajidanganya sana haki tena. Mwanamke ana tabia kama Amoeba au kirusi, yaani anaishi kulingana na ugumu wa mazingira aliyopo wakati huo.
 
Wenzetu mnaoaga wanawake wa wapi? Sina mke ila Nina MPENZI. Nina muamini zaidi ya 100% na ni kisu cha haja with brain.
Naweza kua nae mbali miez hata miwili na hana tatizo na sijawahi ona dalili wala matendo ya uhuni. Kifup ni Mwanamke na Nusu.
Kwa anaebisha mimi najitolea kumpa namba ajaribu aone nachosema. Kifupi ni kisu na nusu
Next time usirudie, unless upo tayari kumpoteza.
Asante
 
Ila tu mke wa mtu ni sumu

Unaweza ukawa na nguvu nk

Ila ukakutana na mme chuma hakubali

Utashugulikiwa hutakuja sahau

Ova
Ukiwa na pesa na mamlaka unakula Tu,Mobutu alikula sana pisi za wasaidizi wake mfano mawaziri na ma gavana na amewahi kumchezea make wa balozi wa Zaire nchini ufaransa na JAMAa akiwepo hapo hapo na hakusema kitu Yani mke alotulia huku mumewe anacheka cheka
 
Wenzetu mnaoaga wanawake wa wapi? Sina mke ila Nina MPENZI. Nina muamini zaidi ya 100% na ni kisu cha haja with brain.
Naweza kua nae mbali miez hata miwili na hana tatizo na sijawahi ona dalili wala matendo ya uhuni. Kifup ni Mwanamke na Nusu.
Kwa anaebisha mimi najitolea kumpa namba ajaribu aone nachosema. Kifupi ni kisu na nusu
Japo sikusifii ila kuna hao wanawake, mi mke wangu hata sijawahi kuhisi achilia mbali kutia shaka, nimekutana nae karibia miaka 9 iliopita, nikamuoa miaka mitatu kasoro iliopita, Aisee acha
 
Usipime kina kwa kudumbukia, ipo siku hutaamini macho yako!!! Again don't ever trust a waman

Hapana mimi ni Legend najua. Huyu Dada ananipenda sana sana. Na Mimi nampenda na Kumheshimu mkuu.
Yaan daah kuna wanawake wanajua kupenda hadi raha yaan kila ukitazama kasoro yake ya kusema ni kasoro kubwa huioni. Mungu akuweke S..
 
Wenzetu mnaoaga wanawake wa wapi? Sina mke ila Nina MPENZI. Nina muamini zaidi ya 100% na ni kisu cha haja with brain.
Naweza kua nae mbali miez hata miwili na hana tatizo na sijawahi ona dalili wala matendo ya uhuni. Kifup ni Mwanamke na Nusu.
Kwa anaebisha mimi najitolea kumpa namba ajaribu aone nachosema. Kifupi ni kisu na nusu
Kama unayoyaongea ni ya kweli nachelea kusema wewe ni mpumbavu.

Na kinacho kupumbaza ni hiki ulichoandika hapa.
 
Alafu ukishajua utafanya Nini?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] itafahamika[emoji16][emoji16][emoji16] na kuwa kwake TISS ndo atajua kuwa wengine ni judge, jury and executioner,, kama nyinyi mnawaona ni demi gods ni nyie,,, eti kisa ana ka Glock 17 baaaas mnaogopaaa
 
Nimekusoma

Ila wanakutanaga na vyuma kuna wanaume

Wengine wakishajua kinguvu hawawezi wao
Wana mshtakia mungu

Kuna mtu alikuwa mzito alikuwa anajipigia mke wa jamaa tena kibabe dharau

Mme akasoteshwa,akaamua kukaa pembeni

Yule kigogo mpk leo mtu wa kukaa kitandani tu

Sijui nn alifanyiwa😂😂😂

Ova
Predator hiyo....kaliwa mchana mchana.

Kuna mafundi wako misitu huko ndanu ndani Satelite yenyewe inasuburi kutoa takwimu😀😀😀😀 wanazoom unaulizwa ndiyo huyu?
Ukisema ndiye basi kazi yaisha.Unatumwa ziwani huko unatupa mzigo.
Hesabh siku saa sekunde ndio hayo sasa.
 
Back
Top Bottom