Kama mke wako ni pisi Kali na anafanya kazi kwenye makao makuu ya halmashauri au kwa DC nakuapia wale vijana wa idara pendwa wakimtaka hachomoi

Aise pole Sana. Kama mke wako ni pisi na huoni dalili hata za kutongozwa pole Sana.Wanawake wa hivo ndoo wamemaliza watu kwa ngoma. Wanawake ambao siku zote wanafanya matukio na hawaachi ushahidi. Anyways nikuulize ulimkuta nayo?.
 
Eehee sawa! ,kwani wanaondoka nayo si wanambakizia mwenye mke,anarudi nayo nyumbani mume nae anatumia!?
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] itafahamika[emoji16][emoji16][emoji16] na kuwa kwake TISS ndo atajua kuwa wengine ni judge, jury and executioner,, kama nyinyi mnawaona ni demi gods ni nyie,,, eti kisa ana ka Glock 17 baaaas mnaogopaaa
Shida ni kwamba ameshafanywa
 
Nimejiuliza ni hawa ninaowajua mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Watu tunadanganywa sana.

Mtu umsaliti Mumeo kisa mfanyakazi wa Idara?

Huyo Mke Uhuni ni tabia yake.
πŸ˜€πŸ˜€ ujue watu wanaogopa wasichokijua, Wasaidizi wa mama wenyewe maisha yao tunayajua, tunapeleka watoto shule sehemu moja, nje ya kaunda suti wana maisha ya kawaida tu mbona sembuse hawa wa kwa DSO! Come on people!

Mtu kama ni mhuni ni mhuni tu!
 
Hahahah

Ova
 
Aise noma San

Ova
 
Aise pole Sana. Kama mke wako ni pisi na huoni dalili hata za kutongozwa pole Sana.Wanawake wa hivo ndoo wamemaliza watu kwa ngoma. Wanawake ambao siku zote wanafanya matukio na hawaachi ushahidi. Anyways nikuulize ulimkuta nayo?.
Mh. Acha majungu kwa mke wa mwenzio. πŸ˜€
 
Eti wana hela chafu! Hela chafu ni bei gani? Ile million kasoro na posho ya katikati ya mwenzi?
Hahhah ndio nilitaka kusema ni hawa hawa maofisa usalama kwa ufupi wana maisha ya kawaida sana, afadhali hata PSU tena upate mgongo nje ya hapo utachapa lindo hadi akili ikukae sawa.

Tena hao ma FO ndio bure kabisa wanagongea bia kama zote huku mtaani plus madeni kila kona, kwa ufupi nimewachalaza dada zao hadi nimechoka.

Top officers ndio wanafaidi ila hawa wengine ni tia njaa kama kawaida
 
Enzi za ujana nilikuwa na mawazo kama yako ila kuna siku niligundua nachapiwa nikawa mpole
 
Hahahahaaaaa!
Haya mambo bwana ni shida tupu, akiwa mfanyakazi ndo hivyo. Akiwa mama wa nyumbani kuna mabodaboda na mahouseboy........yaani shida tupu. Kuna comment #3 hapo juu muhimu sana kuishi nayo katika maisha haya.
Hata mm nimempongeza yule jamaa wa ile comment sasa ule ndio uanaume. Kama unaishi nyumba ya kupanga halafu kuna wapangaji bachelor hawana mishe za maana muda mwingi wapo magetoni ujue pia umeumia. Chamsingi kula maisha usijitie stress
 
Kabisa aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…