kajekudya
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 2,466
- 4,916
Aise pole Sana. Kama mke wako ni pisi na huoni dalili hata za kutongozwa pole Sana.Wanawake wa hivo ndoo wamemaliza watu kwa ngoma. Wanawake ambao siku zote wanafanya matukio na hawaachi ushahidi. Anyways nikuulize ulimkuta nayo?.Wenzetu mnaoaga wanawake wa wapi? Sina mke ila Nina MPENZI. Nina muamini zaidi ya 100% na ni kisu cha haja with brain.
Naweza kua nae mbali miez hata miwili na hana tatizo na sijawahi ona dalili wala matendo ya uhuni. Kifup ni Mwanamke na Nusu.
Kwa anaebisha mimi najitolea kumpa namba ajaribu aone nachosema. Kifupi ni kisu na nusu