Kama mlikuwa hamjui: CCM imeliongoza hili Taifa kwa uongo tangu ikiwa TANU hadi sasa.

Kwa hilo la corona nakupinga
 
CCM chama

Hiko ndio cha msingi wewe kuelewa, flip-flops za michango ya watu isikuzumbue.

Wanajua matusi ya wanachama wao, neutral party, wapinzani na kadhalika.

Mimi nipo katika hizo sehemu zote nne usinipe label.
Wewe Mayor Quimby una sifa za kusifia unachokiponda, nakumbuka kuna nyuzi ulimsema sana Saa100 ukakaa siku 3 nyingi ukaja na nyuzi nyingine ya kumsifia saa100 najiuliza hivi huyu kichwa chake kina matatizo gaani? Lord denning ukimsoma nyuzi zake za kitambo humu ni kuisifia CCM mwanzo mwisho sasa hivi kajivika mabomu anailipua CCM, sasa atakapobadirisha upepo lazima niruke nae maana mnazengua
 
Hatar sana !!
Huenda Karma imekaribia kufanya yake !
 
Kwanza mimi kuanzisha nyuzi ni nadra sana; kwa mwaka naweza anzisha nyuzi zisizozidi tano au chini ya hiyo number.

Pili mimi sina ugomvi binafsi na ‘bi-tozo’ uwa nachangia mada on merit kama kwa msimamo wangu sikubali msimamo wa chama husika iwe CDM, CCM, ACT na kadhslika nitaweka mtazamo wangu.

Na kama kuna misimamo nakubaliana nao utaona mtazamo wa support yangu.

Naegenea wapi zaidi, hilo liko wazi kwa muda mrefu; lakinj alizuhi ukosoaji wangu wa kila siku.
 
Sifa yangu kuu ni kusimamia ukweli.
Ukilifahamu hilo hautasumbuka.

Mimi sio muumini wa chama ila siku zote ni muumini wa Haki, Utawala Bora na Maendeleo ya Kweli. Yeyote akifanya vizuri kwenye hayo nitamsifia na yeyote akikengeuka kwenye hayo nitampa ukweli kama ilivyo.
 
Hajui tu! Hata mimi ukisoma nyuzi zangu humu ni uhalisia zinazoikosoa CCM na uongozi wake ni nyingi kuliko zilizowasifia wao na viongozi wake kwenye maeneo kadhaa.

Nyuzi zangu nyingi zimejikita kwenye kushauri masuala ya msingi kwa mustakabali mzuri wa Taifa kwa miaka mingi ijayo.
 
Nawapa muda ila najua nyinyi hamchelewi kuyarudia matapishi
 
Nawapa muda ila najua nyinyi hamchelewi kuyarudia matapishi
Hapana.
Nilimuunga mkono Magufuli na CCM uchaguzi wa 2015 na nyuzi zipo humu na nilitifautiana nae soon baada ya shambulio la mauaji dhidi ya Lissu.

Same to Samia na CCM, nilimuunga mkono Samia kwenye masuala kadhaa ikiwemo uwekezaji wa Bandari na Kuhamisha wakazi wa Ngorongoro ili kuilinda Ngorongoro na Serengeti na kwenye maeneo kadhaa ila nilianza kutofautiana nae baada ya kuachana na Mchakato wa Katiba Mpya na kuendelea kwa vitendo vya ukiukwaji haki za binadamu hasa kutekwa na mauaji ya wapinzani.

Nyuzi zimo na zinajieleza.
 
Kumbe una kumbukumbu ndio maana nikasema wewe na Mayor Quimby ni watoto wa Baba mmoja kabisa mnavyofanya havina tofauti
 
Tatizo ni kuwa watanzania walio wengi wana elimu ndogo - ya msingi, yaani darasa la saba.
 
Huyu mtoa mada kuna mada moja nilikuwa najibishana naye alikiri kuwa ni mwana CCM ila ni mfuasi wa No reforms no elections .
Yes sahihi kabisa. Mimi nina kadi ya CCM ya uanachama kabisa. Ila sio muumini wa CCM

Na kwa maslahi mapana ya Taifa naunga mkono No Reforms No Elections. Kwa sababu ninajua kwa sehemu kubwa kizingiti cha sisi kutoendelea kama Taifa ni Katiba hii tuliyonayo inayosababisha tupate Viongozi wasio na uwezo na maarifa sahihi.

So ukiniuliza kuhusu masuala ninayoamini nitakujibu naamini kwenye Haki, Utawala Bora na Maendeleo ya Kweli.
 
Tunajenga SGR Kwa fedha ZETU za ndani.... Tunajenga bwawa la Nyerere Kwa fedha ZETU za ndani, tumenunua ndege Kwa fedha ZETU za ndani,...n.k
 
Hata siku moja usije kuamini data au takwimu zozote zile zinazotolewa na Serikali ya Tanzania iliyo chini ya CCM.

Amini maneno yangu. HATA SIKU MOJA USIZIAMINI, maana almost 99.9% ni za kupika, kutengenezea kwa nia na maslahi wanayojua wao.
Wapiga kura Serikali za Mitaa ni wengi kuliko takwimu za Sensa ya 2022 ambapo watu waliokuwa na Umri wa miaka 15 kwenda juu ndio waliojiandikisha kupiga kura 2024 wamekuwa wengi kuliko taarifa ya sensa ..hiii ni maajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…