Kama mlikuwa hamjui: CCM imeliongoza hili Taifa kwa uongo tangu ikiwa TANU hadi sasa.

Sasaivi wanasema wana Wanachama Milioni 12. Na bado mnawaamini.
Msajili wa vyama nchini ukimuomba hati ya CCM kusajiliwa kama chama mojawapo Cha siasa nchini katika mfumo wa vyama vingi,hatia hiyo Hana, na hajiulizi kwann yupo ofisini!
 
Msajili wa vyama nchini ukimuomba hati ya CCM kusajiliwa kama chama mojawapo Cha siasa nchini katika mfumo wa vyama vingi,hatia hiyo Hana, na hajiulizi kwann yupo ofisini!
We umesahau Lissu alipoibua issue ya Hati ya Muungano kwenye Bunge la Katiba hadi watu wakaenda kuitengeneza?

Hii nchi ni vile tu vilaza wengi ila tungekuwa na akili CCM wasingetakiwa kuwepo kabisa madarakani.
 
Tunajenga SGR Kwa fedha ZETU za ndani.... Tunajenga bwawa la Nyerere Kwa fedha ZETU za ndani, tumenunua ndege Kwa fedha ZETU za ndani,...n.k
CCM kwa hakika wana allergy na kuongea ukweli.

Miradi mingi ya nchi hii inafanywa kwa ufadhili, mikopo au msaada wa Mataifa ya Nje. Ila hata siku moja kutokana na ujinga wa Watanzania hawasemagi ukweli hata siku moja. Unashangaa tu siku ya uzinduzi wa mradi unaambiwa hapa kuna fedha za Saudi Fund sijui Kuwaid Fund mara Umoja wa Ulaya.

Pesa nyingi za ndani wanazitumia wao kwa matumizi ya anasa ya kujilimbikizia utajiri na mali.
 
Kumbe anang'ata na kupuliza?
 
Kumbe anang'ata na kupuliza?
Hapana. Sehemu nilipowahi kuwatetea niliwatetea kwa hoja. Sehemu nilipowakosoa nimewakosoa kwa hoja.

Upo uzi kabisa niliwahi andika humu kuhusu Kwa nini niliacha kuwaunga mkono CCM.
 
Huyu mtoa mada kuna mada moja nilikuwa najibishana naye alikiri kuwa ni mwana CCM ila ni mfuasi wa No reforms no elections .
 
Kumbe una kumbukumbu ndio maana nikasema wewe na Mayor Quimby ni watoto wa Baba mmoja kabisa mnavyofanya havina tofauti
 
Ungeanza kupambana ndani ya chama au ungehama chama. Lissu ambaye ni mtu unayekubali sera zake ameanza mapambano ndani ya chama.
 
Ungeanza kupambana ndani ya chama au ungehama chama. Lissu ambaye ni mtu unayekubali sera zake ameanza mapambano ndani ya chama.
Umeridhika na maelezo? Au ndo ushafanya ligi ya mabishano?
 
Hapana. Sehemu nilipowahi kuwatetea niliwatetea kwa hoja. Sehemu nilipowakosoa nimewakosoa kwa hoja.

Upo uzi kabisa niliwahi andika humu kuhusu Kwa nini niliacha kuwaunga mkono CCM.
Uliacha au umeacha? Mboni km hueleweki
 
Duuh kama yanaingia vile!
 
Hata siku moja usije kuamini data au takwimu zozote zile zinazotolewa na Serikali ya Tanzania iliyo chini ya CCM.

Amini maneno yangu. HATA SIKU MOJA USIZIAMINI, maana almost 99.9% ni za kupika, kutengenezea kwa nia na maslahi wanayojua wao.
Kwa hiyo no reform,no Elections ni sahihi?!!
 
Kwa hiyo no reform,no Elections ni sahihi?!!
Ni zaidi ya Sahihi. Haya mambo yote hayawezi kutokea kwenye nchi yenye mifumo imara ya checks and balance.

Hatuna budi kubadili Katiba yetu kuhakikisha tuna mifumo imara na kurekebisha Sheria zetu za Uchaguzi ili tupate Viongozi wanaowajibika kwa Wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…