Kama mnamuona Rais Samia ameshindwa kusimamia Katiba na kulinda rasilimali zenu muwaombe Wabunge wamuondoe kwa Ibara ya 46A ya Katiba

Rubber stamp Parliament limeshindwa hata kujadili Ripoti ya CAG limebakia kupiga meza tu.
 
Tunawaomba wabunge tafadhali
 
We koma kama ulivyokoma juzi. Mama anatupeleka pazuri sana usimlinganishe na yule mungu wenu wa chato muuaji. Sasa hivi mauajji hayapo tena na demokrasia imeshamili. Ingekuwa enzi za yule jamaa inawezekana hata jamiiforums ingeshafutwa siku nyingi
 
Jikite kwenye mada, taifa halina umeme, maji na mafuta kila kitu hovyo. Katiba haisimamiwi
 
Mpuuzi wewe, mlaumu kwanza hayati JPM kwa kuwapambania wabunge wasio na tofauti na stempu za benki.

Aliyefeli wa kwanza ni JPM aliyependa kusikia akipigiwa makofi muda wote bila ya kupenda kukosolewa.
upuuzi wake uko wapi hapo? hakumsifu magufuli, anajuwa chanzo cha utawala huu mbovu ni magufuli, lkn bila magufuli samia milele asingeweza kuwa rais tz.

yeye anasema kutokana na matatizo mengi yanayoikabili nchi kwa sasa ni busara wabunge watumie katiba kumuondoa madaralani rais samia, kwa kuwa hana analoweza kulifanya likasaidi watanzania kuondokana na shida zinazowakabili..
 
Watanzania wachache wa mijini ndio wanaolialia mitandaoni. Yapo mengi yanaendelea kufanyika huko mikoani na huwezi kuyasoma kwenye media.
Hivi Tanzania kuna mji wa kueleweka kama Dar, Tanzania ni Dar; hao wa mikoani karibu wote ni wakulima, na mkulima wa Tanzania yaani peasant anajua nini? Mjini ndiyo wanajua
 
Wabunge wenyewe speaker 🔊 anawapa sheet bado ngumu
 
Mwenye akili ni wewe unayelialia tu humu JF, kila ukiandika uzi ni wa malalamiko. Kuna watanzania muda huu wanafaidika na awamu hii wewe ukiwa unalalama.
Ni wale majangili wenzenu, kinyozi hanyoi, mchomeleaji hachomi, muuza juice baridi anauza na nini umeme hakuna? petrol imepaa, maji hakuna ni mgao kila kitu
 
Mpuuzi wewe, mlaumu kwanza hayati JPM kwa kuwapambania wabunge wasio na tofauti na stempu za benki.

Aliyefeli wa kwanza ni JPM aliyependa kusikia akipigiwa makofi muda wote bila ya kupenda kukosolewa.

Jpm alikua na ajenda zake binafsi kuhusu hilo bunge,kwa sasa hayupo wabunge waisimamie serikali.
 
Bunge lipo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…