Kama mnamuona Rais Samia ameshindwa kusimamia Katiba na kulinda rasilimali zenu muwaombe Wabunge wamuondoe kwa Ibara ya 46A ya Katiba

Kila kona mnalalama, eti mafuta yanapatikana kwa bei juu, Chakula bei juu, umeme umekuwa unakatika masaa 24, rushwa na uonevu kila kona hii ni ishara mbaya.

Mkuu wa nchi yetu anapoapa ili atuongoze huwa anaapa kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.

Sasa kama Katiba ilitungwa ili Watanzania tusikwame kwa kila kitu tunapoishi hapa nchini, halafu sasa kila kitu hovyo. Maana yake Mkuu wa nchi amekwama kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.

Watanzania kila jimbo tuwatume Wabunge wetu waungane ili wapitishe Azimio la kumuondoa Rais Samia ili tusiteseke kama sasa.
Changamoto za kiuchumi zinashughulikiwa kiuchumi sio kisiasa
 
Siasa ndio kila kitu kwenye nchi. Tambua hilo acha ubwege
ndio maana umasikini hauishi africa kwa fikra kama zako changamoto za kiuchumi zinatatuliwa kiuchumi na sio kisiasa ni sawa tu na kumpa fundi seremala akutengenezee tv yako ni ukosefu wa maarifa na fikra za kutatua changamoto.
 
Sasa kama unashindwa kuelewa kuwa siasa ni kila kitu .Mbona unapoteza muda humu?
 
Kila kona mnalalama, eti mafuta yanapatikana kwa bei juu, Chakula bei juu, umeme umekuwa unakatika masaa 24, rushwa na uonevu kila kona hii ni ishara mbaya.

Mkuu wa nchi yetu anapoapa ili atuongoze huwa anaapa kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.

Sasa kama Katiba ilitungwa ili Watanzania tusikwame kwa kila kitu tunapoishi hapa nchini, halafu sasa kila kitu hovyo. Maana yake Mkuu wa nchi amekwama kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.

Watanzania kila jimbo tuwatume Wabunge wetu waungane ili wapitishe Azimio la kumuondoa Rais Samia ili tusiteseke kama sasa.
Yaani rais aache kuhangaika na 'mambo ya maana' na kucheza na vichengelwa vyake mnataka ahangaike kusimamia hicho kitabu cha hadithi za Adili na Nduguze? Kitamsaidia nini hicho kitabu?
 
Kila kona mnalalama, eti mafuta yanapatikana kwa bei juu, Chakula bei juu, umeme umekuwa unakatika masaa 24, rushwa na uonevu kila kona hii ni ishara mbaya.

Mkuu wa nchi yetu anapoapa ili atuongoze huwa anaapa kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.

Sasa kama Katiba ilitungwa ili Watanzania tusikwame kwa kila kitu tunapoishi hapa nchini, halafu sasa kila kitu hovyo. Maana yake Mkuu wa nchi amekwama kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.

Watanzania kila jimbo tuwatume Wabunge wetu waungane ili wapitishe Azimio la kumuondoa Rais Samia ili tusiteseke kama sasa.
Mkuu wa Nchi anayo mamlaka ya kulivunja Bunge kabla hata wabunge hawajaamua kupiga hiyo kura !!
 
Kwa swala la umeme ni kweli kwamba Serikali hii ya sasa haina huruma na wananchi wake.

Awamu ya 5 hatukuona shida ya kukatika kwa umeme lakini sasa tangu serikali ya awamu ya 6 iingie madarakani tumekuwa na shida sana ya umeme. Tuliwahi kuwambiwa kuwa gesi inayotokea Mtwara ikikamilika hatutaona tena umeme unakatika, kumbe tulikuwa tunadanganywa. Viongozi wajuu hawakemei wanaona ni kawaida wakati watu tunateseka
 
Kila kona mnalalama, eti mafuta yanapatikana kwa bei juu, Chakula bei juu, umeme umekuwa unakatika masaa 24, rushwa na uonevu kila kona hii ni ishara mbaya.

Mkuu wa nchi yetu anapoapa ili atuongoze huwa anaapa kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.

Sasa kama Katiba ilitungwa ili Watanzania tusikwame kwa kila kitu tunapoishi hapa nchini, halafu sasa kila kitu hovyo. Maana yake Mkuu wa nchi amekwama kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.

Watanzania kila jimbo tuwatume Wabunge wetu waungane ili wapitishe Azimio la kumuondoa Rais Samia ili tusiteseke kama sasa.
Watoto wanataka wamshinikize mama yao aombe talaka kwa kuwa baba kashindwa kutekeleza majukumu yake kwa familia?
Nchi gani Afrika isiyokuwa na changamoto?
 
Kila kona mnalalama, eti mafuta yanapatikana kwa bei juu, Chakula bei juu, umeme umekuwa unakatika masaa 24, rushwa na uonevu kila kona hii ni ishara mbaya.

Mkuu wa nchi yetu anapoapa ili atuongoze huwa anaapa kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.

Sasa kama Katiba ilitungwa ili Watanzania tusikwame kwa kila kitu tunapoishi hapa nchini, halafu sasa kila kitu hovyo. Maana yake Mkuu wa nchi amekwama kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.

Watanzania kila jimbo tuwatume Wabunge wetu waungane ili wapitishe Azimio la kumuondoa Rais Samia ili tusiteseke kama sasa.
Wabunge wapi hao?
Hawa wa sasa hawawezi sababu hakuna hata mmoja alie na uhakika kurudi bungeni endapo hilo likitokea na kuitishwa kwa uchaguzi mpya ghafla!
 
Mpuuzi wewe, mlaumu kwanza hayati JPM kwa kuwapambania wabunge wasio na tofauti na stempu za benki.

Aliyefeli wa kwanza ni JPM aliyependa kusikia akipigiwa makofi muda wote bila ya kupenda kukosolewa.
Kwani ni wakati wa utawala upi ambao Bunge halikuwa Rubber-stamp?
Wabunge wa CCM wote akili zao zinafanana tu haijalishi wapo awamu gani!
 
Sasa kama unashindwa kuelewa kuwa siasa ni kila kitu .Mbona unapoteza muda humu?
Kwa fikra hizo za kutatua masuala ya kiuchumi na kuuongoza uchumi kisiasa tegemea tu umasikini utaendelea kutamalaki tu kuna vitu ambavyo hauweki maamuzi ya kisiasa unaachia wenye professional zao wafanye maamuzi mtambuka ya kisekta wewe peleka siasa kote kwenye uchumi, kwenye elimu ,kwenye kilimo etc matokeo ni umasikini tu utaendelea kutamalaki na ndio africa ilivyo.
 
Back
Top Bottom